Wewe unayemshikilia Adv.Tundu Antipas Lissu bila kuzingatia Mahitaji yake ya Kiafya utawajibika binafsi kwa Madhara yeyote yatakayo mfika. Hakuna kosa lolote alilotenda. Yeye na Wenzake waachiwe...
Habari njema kutoka Mbeya
Vijana wa CHADEMA waliokuwa kituo cha Polisi Utengule Mbalizi wameachiwa usiku huu bila masharti yoyote.
Updates
Catherine Ruge: Wameachiwa wote isipokuwa wanawake 19...
TAARIFA KWA UMMA
12 Agosti, 2024
Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kufuatia katazo na kupiga marufuku kongamano la vijana wa CHADEMA lililokuwa limepangwa kufanyika katika uwanja wa...
Kama Karibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi anaweza akaelekeza waliokamatwa waachiwe na Vyombo vikatii, upo uwezekano huyu ndiye aliyeagiza wakamatwe.
Tukumbuke Juzi alimtaka Lissu ajiunge CCM then...
Hili ni jambo kubwa kama chama cha siasa hatua ya kwanza ni kuandaa daftari Yao ya wanachama vizuri.
Leo nimeona wamefika shule sasa na kuanza kuandikisha wanafunzi kuingizwa kwenye daftari ya...
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Mhe. John Pambalu wamekamatwa na Polisi muda huu uwanja wa ndege Songwe wakijiandaa kuelekea Mbeya, Ukamataji huu...
Angalia huu mlolongo wa Siku ya Vijana Duniani, Halafu Toa maoni yako
Haya hapa ni Maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani kwa UVCCM kwenye Uwanja wa Amani, lilihutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa ccm...
Barua inajieleza, niliwaambia ACT-WAZALENDO msione mpo salama sana sasa kazi imeanza. Lengo msusie uchaguzi wa Serikali za mitaa na polisi ndiyo wameanza kazi rasmi, kilichotokea 2020 sahivi...
Askari wa Jeshi la Polisi wametanda katika Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya kulipopangwa kufanyika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani yaliyokuwa yameandaliwa na Baraza la Vijana la Chadema...
Ningeshangaa sana mtu anayeombewa na Maaskofu wote Tanzania ( Kasoro Mwamakula) eti alishwe sumu, ingekuwa ajabu sana!
Pia soma: Tetesi: - Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba...
"Tunalaani vikali Jeshi la Polisi kukamata Viongozi wetu Wakuu wa Chama ikiwemo Viongozi wa Baraza la Vijana wa Chadema, BAVICHA.
Aidha, tunalaani mkakati wa Msajili wa Vyama vya Siasa kwa...
Viongozi wa CHADEMA, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Makamu Mwenyekiti Taifa na Katibu Mkuu wamekwishawasili Mkoani Mbeya kwa ajili ya kongamano la siku ya Vijana.
Wamejiapiza kwamba hawatatii amri...
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia waandishi wa habari wa kituo chetu cha Jambo Tv Ramadhan Khamis na Fadhil Kirundwa jijini Mbeya wakiwa katika utekelezaji wa majukumu yao ya kitaaluma...
Huyu kijana nimemwangalia sana na kumfuatilia sana utendaji wake wa kazi. Nadiriki kusema Tanzania baada ya Samia 2030 huyu kijana ana faa na ana sifa zote muhimu kama kiongozi wa nchi. Kwanini...
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu amewaasa wananchi kuacha kugombana kwa sababu za siasa kwani kitendo hicho kinasababisha maafa, yatima, wajane na kukosekana kwa amani.
Dkt...
Salaam, Shalom!!
Kwa Hali tuliyonayo hivi sasa, Nchi yetu inamuhitaji Rais wa aina hii. Muumini wa mifumo na upatikanaji wa KATIBA mpya.
1. Rais mwenye Maono na upeo mkubwa juu ya Tanzania Kwa...
Sidhani kama kuna mtu atabisha kwamba, kwenye nchi hii hakuna wakati sekta ya kilimo imepata mazingatio makubwa sana kuliko wakati wowote ule kwenye historia ya nchi yetu.
Ushahidi wa kwanza wa...
Sasa ni dhahiri kwamba Uhai wa ccm uko mikononi mwa Jeshi la Polisi pekee, hii imedhihirika rasmi baada ya Jeshi hilo kuanza kuzuia Vijana wa Chadema kuhudhuria maadhimisho ya siku ya Vijana...
Kipindi kile kabla kidogo na baada ya uchaguzi wa kanda ya Nyasa Msigwa alijinasibisha na Lissu kila mahali alipokuwa .. Ni kipindi ambapo Msigwa alikuwa keshafika bei na kupokea advance! Na ni...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA - Bara, Tundu Lissu akizungumza katika Mtandao wa Club House amesema kuna Kiongozi wa CHADEMA ambaye ameshanunuliwa kwa Fedha za Kuhongwa na mtu aliiyemtaja kwa jina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.