Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, Aungana na Wanachama wa CCM Katika Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Ndg. Stephen Wasira , Leo Lamadi Busega. Mwenyekiti wa Chama Cha...
0 Reactions
5 Replies
338 Views
Najuwa wengi wamesha chafuka mavumbi najuwa wengi watapiga bia nyingi majumbani mwao nakulala maana kile kimetokea kule dodoma kimewavuruga woote. Sitaki saana kuwandika ila wakati wote...
5 Reactions
18 Replies
803 Views
Ndani ya CCM katika Watu waliopikwa na Chama na kuiva vizuri hakunaga wa kumshinda Mzee Kikwete, akifuatiwa na Dr SheIn kisha Dr Nchimbi na Ndio sababu hata Mzee Mgaya wa CCM huwa anazipa uzito...
4 Reactions
61 Replies
1K Views
Hii thread ni Political Speculations tu. Kwa trend inavyoenda na upepo wa kisiasa usipobadilika inaonekana Magufuli akamrecommend Prof. Kabudi kugombea nafasi ya Rais wa Tanzania 2025 maana Prof...
9 Reactions
69 Replies
7K Views
Inaonekana kuna wanaCCM wengi wapo kimya lakini bado wanaamini kuwa hakikuwa kifo cha kawaida na wanataka kujua nini kilimkumba hayati JPM mpaka umauti ukamkuta katika mazingira kama yale. Ila...
8 Reactions
45 Replies
3K Views
Mpendwa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan! Kama nilivyoandika hapo awali, ninapenda kuchukua tena nafasi hii kutoa salaam zangu za pole kwako wewe binafsi kufuatia kifo cha Rais wa Jamhuri ya...
55 Reactions
224 Replies
19K Views
Nimemsikiliza rais Jakaya Kikwete (JK) jana na hotuba yake ya kujibaraguza mbele ya Watanzania. Sikutegemea jipya kwenye story zake za jana na wale Wazee wa vijiwe vya CCM ila hili la yeye kama...
17 Reactions
265 Replies
34K Views
Japo simpigii kampeni, nani ajuaye mipango ya Mungu. Katika gombea gombea ikatokea Tundu Lissu akachaguliwa kuwa rais, utanya nini au utajisikiaje? Nakumbuka. Alimuonya Magufuli juu ya uvunjaji wa...
5 Reactions
35 Replies
896 Views
Unaposimama katika nafasi ya mwananchi wa kawaida ndio utaelewa ninachomaanisha. Ni majuzi tu nilisafiri kwenda Mozambique. Ile nchi haijatulia na haijawahi kutulia lakini nimeshangaa kukuta bei...
61 Reactions
273 Replies
15K Views
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewasilisha hoja kwa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mwenyeiti wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan awe mgombea urais wa Tanzania...
19 Reactions
342 Replies
13K Views
Ndugu zangu Watanzania, tuwape nafasi ya kutuongoza kwa sababu kama wanavunja katiba ya Chama chao, watashindwa nini kuvunja katiba ya Nchi? Wameshaonesha kwamba hawawezi tena kuheshimu hata...
0 Reactions
0 Replies
108 Views
Niliuliza swali hapa, Hivi Dola na CCM Ina uhakika kua Wagombea wa mkutano Mkuu , wanauzika? Hawajaingizwa kwenye mtego wa matumizi makubwa ya nguvu?. Kilichotokea DODOMA ni mshangao , hamna...
3 Reactions
13 Replies
659 Views
  • Redirect
Vice kashajiuzulu je ikitokea ndiye anatakiwa kuwa Rais itakuwaje wataalamu wa katiba nisaidieni? Mtu ambaye ameshawasilisha barua ya kujiuzulu itakuwaje Nani atakuwa Rais ?
1 Reactions
Replies
Views
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amemwandikia barua ya kuomba apumzike Umakamu wa Rais ambapo amesema baada ya kutafakari ameridhia ombi hilo...
28 Reactions
263 Replies
16K Views
Wakuu, Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ameendelea kufuatilia mwenendo wa kesi zinazopinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, ambazo chama...
0 Reactions
1 Replies
312 Views
Wasalaam. Kuna taarifa kwamba ccm wamechukua baadhi ya mabasi ya yutong yalioagizwa kwa ajili ya jeshi la Tanzania na kuyapaka rangi ya kijani na kuwa mali ya ccm. Huu ni wizi km wizi mwingine...
4 Reactions
15 Replies
459 Views
Bismillah Rahman Rahim , Asalaam Aleykhum , mara baada ya salamu naomba pia niwatakie watukufu Waislam funga njema yenye baraka za Mwenyezi Mungu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ningependa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Haya mambo haya ndio yanafanya MTU akitwae Kiti hata kama ni Kwa Hila. Kama Rais Samia ataishia 2030, Makamo wake atakubali habari zake za Siasa kuishia hapo, na kwa kua atakua keshajijenga...
0 Reactions
3 Replies
191 Views
Moja ya utetezi aliokuja nao Rais Kagame kwenye mkutano wa wakuu wa nchi za SADC na EAC kuhusu kutatua mgogoro wa DRC ni kutaka serikali ya DRC iwatambue kwanza waasi wa M23 ambao wanajumuisha...
15 Reactions
129 Replies
3K Views
Taarifa iliyotolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Amani Golugwa imeeleza kwamba, Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ataongoza Mazishi ya Mwenyekiti wa zamani wa Chadema Mkoa wa Manyara, Derrick...
16 Reactions
84 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…