Tumeshuhudia raisi Karume akiagwa last week na gwaride la nguvu.
Ivi katiba inasemaje kuhusu JK manake to me is common sense aagwe kabisa manake Slaa akichukua nchi hatutakuwa na mda wa kumuaga...
Nimepata habari kwamba leo hii Jk alikuwa anahutubia eneo la Kipunguni Moshi Bar jijini Dar na ilipofikia kusema wangapi watampigia kura? Wachache mno walionyesha mkono juu!
Bye Bye JK...
Hii makala imekaa kisomi na ni jibu la wale wasiowapenda watoto wetu.
Kwa nini elimu bure inawezekana?
Dk. Kitila Mkumbo
CHANZO: Kwa nini elimu bure inawezekana...
Watanzania tuliofikisha umri wa kupiga kura na ambao tumejiandikisha kupiga kura, tafadhali tusiwaangushe hawa watoto ambao ni taifa la kesho kwa kumchagua Jakaya Kikwete na CCM ambao...
Kama kituo kina wapiga kura 500. Kila mpiga kura atahitaji si chini ya dakika tatu (3) kuingia kwenye chumba kupiga kura na kutoka ( kwa uzoefu wangu wapo wanaochukuwa hata dakika kumi)...
wanajamii naomba kuuliza je Serikali ya Tanzania inawapa ulinzi wa aina gani wagombea wa kiti cha uraisi.Kama tulivyoona wakati wa uchaguzi wa Marekani obama,clinton,mccain walipewa secret service...
kabla ujahesabu salaa au jk kapata kura ngapi nilazima kwanza kuhesabu jumla ya kura zilizopigwa, wasiwasi wangu ni kwamba kuna idadi kubwa ya watu wamejiandikisha kwenye vituo majina yao yapo...
At the end of counting exercise the results will be displayed at the polling stations, will it be permitted for the general public to come at the polling stations to view them? Several times i...
Zimebakia siku 3 tuu hadi uchaguzi mkuu Tanzania...Na nimejaribu kukaa na kusoma post za watu wengi sana humu na naona wengi mnataka change In Tanzania which is good so do i...Lakini nani kasema...
Hata mtandao wa NEC ambao ni nec.go.tz kama unavyoonekana hapo chini una leta wasiwasi kama kweli NEC ni chombo kitakachotuhakikishia uchaguzi huru na wa haki. Hivyo ndivyo mtandao wao...
http://4.bp.blogspot.com/_8wYlUz4nTtk/TMaP2XFo_qI/AAAAAAAABGI/JubBRaJTDXg/s1600/Monica+Jimotoli.jpg
Jamani hii picha nimeichukua kwa michuzi na inamuunyesha huyu "kingozi wa chadema" akirudisha...
Ama kweli CHADEMA imeishika pabaya CCM. Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Moshi mjini,Bernadette Kinabo leo amepiga marufuku sherehe za mahafali ya sekondari ya Majengo inayomilikiwa na Kanisa...
Hawa jamaa wameanza kuchanganyikiwa, angalia yafuatayo:
Kinana: Elimu Bure haiwezekani
Kikwete: Elimu Bure haiwezekani
Prof. Magembe: Elimu bure ni sera ya CCM, wanafunzi wakimaliza darasa la...
Wana JF,
Leo Nimetinga Jiji la Arusha na kukutana na Shamla Shamla za mapokezi ya M/Kiti wa CHADEMA Mr. F. Mbowe nilicho kiona duuuh ni kama vile mji wote watapigia kura CHADEMA.
Wana JF...
Ndugu zanguni habari.
Ikiwa zimebaki siku nne watanzania tuchague viongozi wetu watakatuongoza kwa miaka mingine mitano nimekuwa kwenye dilema. Nina imani kabisa kuwa upinzani wakipewa nafasi...
Wakuu kuna igizo linaendelea TBC 1 'linaiua' ccm hasa. Linaelezea vigezo vyote vya ufisadi wa ccm kama rushwa kwa wakuu wa wilaya na wakurugenzi. Pia wananchi wanahamasishana kuchagua viongozi...
Wagombea wengi wa CCM ikiwa ni pamoja na mgombea wake wa uraisi wako chali, tunamsubiri refa amalize pambano tu. Masumbwi mazito ya CHADEMA inaonekana yametua vilivyo kwa CCM na kuna kila dalili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.