Today we mourn the passing of a beloved old friend, Common Sense, who has been with us for many years. No one knows for sure how old he was, since his birth records were long ago lost in the...
Watanzania wameaswa kupeleka bungeni wabunge wenye uwezo wa kutoa michango katika maendeleo badala ya kuchagua kwa nia ya kujaza idadi ya wabunge wanaohitajika.
Wito huo umetolewa jana jijini...
Moja ya vitu ambavyo Rais mpya anahofiwa ni zile pesa za watu maskini waliokopa ili wavune kupitia DECI, na serikali ikazificha na haijulikani zilipo.
Rais Slaa akifika tu ikulu wale mafisadi wa...
Nimeona sasa hivi habari ya uchaguzi Bbc World. Hawakuongelea kuhusu ushindani wa vyama, bali tu hali ya amani iliyopo inayodumishwa kwa kutokuwa na ukabila.
Mauaji Maswa: Shibuda aachiwa huru
Polisi yasema hakuhusika
na Samwel Mwanga, Maswa
JESHI la Polisi limemwachia huru mgombea ubunge wa Jimbo la Maswa Magharibi kwa tiketi ya Chama cha...
Kuna tetesi kuwa JWTZ na vikosi vyake vinaandaa gwaride rasmi la kumuaga JK kwa kumaliza kipindi chake cha kwanza cha uraisi siku ya Jumamosi katika viwanja vya chuo cha Polisi temeke.
Wanafanya...
Ni Vyema sana kwa watanzania wakazingatia kuwa kiongozi wa Taifa letu anatakiwa awe na ufahamu na upeo kiasi gani na ni vipi alivyokwishaweza kujenga uwezo na mtazamo wa kijamii katika kukabiliana...
President Kikwete (L) campaigned with Edward Lowassa (R) who resigned amid corruption claims
As he gets set to vote for the first time in his life in Tanzania, there is one thing at the top...
Pamoja na JK kuviita vyama vya upinzani ni "photocopy" ya CCM lakini nyendo zake zimenithibitishia ya kuwa yeye JK ndiyo "fotokopi" murua ya Dr. Slaa na huu ndiyo uthibitisho wake:-
a) Kila...
Baada ya Mkutano wa Dr.Slaa wa Mwembe yanga ambao umepelekea mgombea ubunge wa jimbo la Temeke kupitia Chadema kufikishwa kituo cha polisi kwa madai kwamba alitoa lugha ya Matusi,Mgombea Urais...
Kesho anakutana na waandishi wa habari swali langu ni hili:-
Ilani ya uchaguzi ya Mwaka 2005 alisema once akichaguliwa kuwa rais ataingiza mahakama ya KADHI na kujiunga na OIC, miaka mitano...
Leo ndio leo, moro patawaka moto wakati rais dr slaa atakapo kuja kuhutubia wananchi wake pale kwenye uwanja wa fire uliopo masika kuanzia saa 8 mchana.njooni mumuone rais sio msanii.
Aksanteni...
Nimejiuliza leo ni miaka mingapi imepita tangu enzi hizo tunafundishwa semi mbalimbali za kiswahili, mojawapo ikiwa ni methali mbalimbali mojawapo ikiwa hii "asiye funzwa na mamaye hufunzwa na...
Maswali yangu kwa Mgombea wa CCM Jakaya Kikwete.
Ndugu mgombea Jakaya Kikwete utakubaliana na mimi huwezi Kujenga Uchumi imara bila kuwa na MIUNDOMBINU imara - SWALI
Je CCM ilichukua hatua...
CCM walipoambiwa ni chma cha mafisadi waling'aka na kusema kwamba ufisadi ni wa mtu mmoja mmoja sio CCM yote. But the truth is wajumbe wa kamati kuu (kikao kikubwa kabisa cha chama) zaidi ya...
Kama CCM watachukua dola seriously speaking watanzania tujiandae kufunga mikanda na kunza ishi katika hali ngumu.
Kwa nini nasema ivyo ni kwa sababu ya wingi wa hela zilizotumika katika kampeni za...
Wakati Kamala anamtukana Dr. Slaa kwamba ni Mbumbumbu, wakati wagombea Ubunge wa CCM wakimtukana Dr. Slaa juu ya Mahusiano yake akina Kova walikuwa Wanakenua Meno. Sasa Yamemkuta Mku wa Kaya...
Nakala chapishi
Mtumie mwenzio
Jiandikishe utaarifiwe
Ndiyo maana nasema wanauza utu wao pamoja na miili yao, bora hata dada poa
Hidaya
Oktoba 20, 2010
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.