Alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara juzi maeneo ya makao mapya badala ya kuwaeleza wananchi namna atakavyotatua matatizo yao lukuki,mgombea huyu kwa tiketi ya ccm Arusha mjini alionyesha jinsi...
Kuna baadhi ya maeneo ya Tanzania kuna watu wanafanya kampeni very creative.
Kuna mzee huwa anapanda daladala toka Kyela anakuja nayo mpaka boda/Kasumulu na kushuka.
Akiingia huwa anawaongoza...
Wakuu nani mwenye taarifa ya hali ilivyo jimboni kwa kamanda Tundu Lissu???? Maana ni muda sasa hajasikika habari zake. Wenye data za uhakika nijulisheni mwenzenu
Ndugu zangu wanajamiiforum, naomba mnikaribishe rasmi kuwa mwanachama mpya. Nimeamua kujiunga nanyi katika kutoa michango ya kimawazo kwa Taifa letu. Na ninawapongeza sana wale wote walioanzisha...
Niliwaoji watu wa makamo kama 50 hv kila nilipohuzuria mikutano ya CCM hasa ya urais,kila mtu alikuwa na maoni yake ila yote yalilenga hapa,Ebu soma,"Ndugu zangu watanzania ni wazi kwamba kwa...
Kwa mara ya kwanza niliuangalia Mdahalo wa Mh Slaa kupitia Michuzi blog. Alipoulizwa maswali na mwendesha kipindi, hakika nawaeleza hakuna point aliyojibu. Kitu alichhofanya ni kama alivyofanya...
Katika siku za hivi karibuni,CCM Rorya wanamtumia Mwanamziki maarufu kutoka Kwenye kampeni zao za uchaguzi huko Rorya.ITV jana wamemwonyesha Mwanamuziki huyo Osogo Winyo akitumbuiza kwenye kampeni...
Makamu mwenyekiti wa REDET Dr. Benson Benza amelalamikia kitendo cha mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa kudai kuwa yeye ni mshauri wa Rais aliyemaliza muda wake Bwana Jakaya...
WanaJf, with only two days to go for general elections (ukiondoa leo), nasikitika kutokuwepo nyumbani ili nimchague kiongozi (viongozi) nayeona atafaa kutukomboa katika matatizo haya tuliyonayo...
Waraka wa kudai Sh 4 bilioni wasambazwa
Monday, 25 October 2010
Mwananchi
Mwandishi Wetu, Mwanza
WARAKA unaodaiwa ni wa polisi wa kawaida umepatikana jijini hapa ukiihoji serikali ya awamu...
Tafadhali..kwa wale wote wapendao maendeleo..na wanaotaka kuleta mageuzi..ingia katika site ya tume ya uchgazi..na kuangalia jina lako. Ni rahisi tu..ingia katika website ya tume..www.nec.go.tz
Ule mdahalo uliokuwa ufanyike kesho, unafanyika leo ndani ya hotel ya Movenpick, ukumbi wa Kivukoni. Kuanzia saa1 hadi saa3 usiku na kurushwa live kupitia ITV. Kutokana na kuwa short notice...
Nimetazama vimbwenga vya wenje kupitia TBC1. Umati unatisha! Hakuwa anaomba kura kwa sababu ni wazi kashapata. Alikuwa anahamasisha ulinzi wa kura.
Hivi hadi sasa tuna uhakika wa majimbo mangapi?
Tangu Jumatatu list ya wapiga kura imeshabandikwa vituoni. Hivyo muda wote wa wiki hii ni muda wa mtu kuhakikisha jina lake lipo kama lilivyoandikwa kwenye kitambulisho cha kupigia kura na kama...
-Kwanza hakikisha kadi yako ya kupigia kura umeishatafuta na kuiweka mahala ambapo utakumbuka kirahisi.
-Kutokana na uwezekano wa kuwepo foleni kubwa sana jiandae kwa kubeba maji ya kunywa mengi...
Fuatilia matangazo maalum ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC, moja kwa moja kutoka Dar Es Slaam.
Kila siku kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa tatu usiku. Bofya hapa.
Mwangalizi wa SADC ashangaa CCM inashinda kwa kishindo
S
Thursday, 28 October 2010 08:10
Elias Msuya
MWANGALIZI mmoja wa uchaguzi mkuu kutoka kundi la SADC ECF, jana alionyesha...
Ridhiwani atua Zenj kumpa tafu Masauni
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Ridhiwani Kikwete...
Website ya NEC ina habari zilizopitwa na wakati na nyingine kutokuwepo kabisa. Mfano, results database - ilibidi database ya 2010 iwe tayari na mara matokeo yanapotumwa kutoka kwenye majimbo basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.