JK anatarajiwa kukutana na waandishi wa habari, katika ukumbi wa Arnatoglo-ilala, siku ya ijumaa, waandishi hao watapata mwaliko maalumu na watakuwa waandishi wa digital media i.e radio and Tv...
Kwa watakaopata nafasi msikilize nabii joshua akigusia mambo ya uchaguzi leo kuanzia saa 12.00 hadi saa 1.00 jioni. .........si tu kumsikiliza pweza .....!!
Ndugu zangu watanzania,
Tuache ushabiki usio na mantiki. Tusibadili siasa kuwa kama ushabiki wa Simba na Yanga. Wenzetu waghana ilifika wakati wakaacha ushabiki wa kijinga wakaunga mkono chama...
Katika mkutano wa kampeni wa CUF unaoendelea sasa hivi hapa jangwani Dar es Salaam Juma Haji Duni Mgombea mwenza wa Kiti cha urais kwa tiketi ya CUF ametoa hadharani ushahidi wa barua pamoja na...
Wakuu, jana 27/10/2010, Kamanda Mbowe alikuwa Arusha, ambapo walifanya mkutano wa kampeni wa Historia hapa mjini, katika viwanja vya NMC!...Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini Bwana G.Lema alihutubia...
Kativii kangu ka black n white kamepona so uchaguzi niko nao beneti kwa sasa, Jana Dr. slaa nilimuona Jangwani kapata nyomi hata tiviii ilikuwa ndogo, lakini leo huyu Jeykey kapata manyomi...
Ndugu zanguni Watanzania, nimekuwa nikifuatilia uchaguzi hapo nyumbani kwa karibu sana. Nimesoma nakala nyingi zinazo husu uchaguzi wa 2010. Sasa tukiwa tumefika kwenye dakika za lala salama ni...
Namfananisha Kinana na Waziri wa Ulinzi wa Iraq enzi za anguko la utawala wa Saddam Husein. Jamaa (muhammad Saeed al sahhaf) alikuwa anakanusha kila kitu kuhusu kuzidiwa na Wamarekani. Hata...
Just on my way from Lunch, passed through Mwembe togwa fields, Lots of ppl have gathered around. Sorry I couldn't take Pictures but just Expect a Tsunami Crowd. hope my colleague Njowepo may be...
WanaJF naamini wengi wetu kama si wote tutakuwa tumejiandikisha kupiga kura. Lakini kuna huu utaratibu uliowekwa wa kwenda kucheki kama majina yetu yapo. Tafadhari nendeni mkakague kama majina...
Kuna taarifa za uhakika kuwa UWT kwa kushirikiana na ikulu walimbana Mengi kutokuruhusu marudio ya mdahalo wa DR SLAA katika kituo chake cha ITV hapo juzi kama ilivyokuwa imetangazwaa awali.
Ni...
Jamani, hivi mnaona kwamba tangu Shehe Yahya amwahidi Bw Kikwete ulinzi wa majini, yaani mashetani, JK hajaanguka tena? Hii inaonyesha kuwa JK alilikubali pendekezo la Shehe Yahya na amelipokea...
Habari zenu mabibi na bwana, pole sana kwa mihangaiko ya kusaka mkate wa kila siku. Napenda kuchukua fursa hii kuwapeni ushauri wa bure kabisa. Ushauri ambao utatusaidia sisi sote na vizazi vyetu...
Mimi napendekeza kwa CHADEMA kuwa kuna haja kubwa ya mbowe kumsaidia kampeni WEnje hata kwa siku moja tu.Nawaangalia hawa watu kwa mtazamo kwamba Masha anajifanya mtoto wa mjini, Sasa akipelekewa...
Jamani. Hata kama ni kujipendekeza, this is too much.
Kwamba Maghembe anatangaza kuwa watoto wa Tanzania wakihitimu elimu ya msingi sasa watakuwa wanakwenda moja kwa moja sekondari.
Hivi...
Natazama TBC,
Wamemtafuta mwanzilishi wa kiwanda cha Tanga Cement ili ajibu kama Cement inaweza kuuzwa kwa shilingi elfu tano kwa mfuko mmoja kama asemavyo Wilbrod Slaa(PhD). Kwa mujibu wa mzungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.