Jana kwenye mdahalo wake pale Movenpick, Prof. Lipumba alionekana kukerwa na utawala wa bora liende wa JK na CCM yake kwa kufanya maamuzi makubwa bila ya kuongozwa na tafiti.
Akitoa mfano wa...
Hali hii kweli inashangaza kabisa. Ungelitegema JK na CCM kwa kile wanachokiita ni wazoefu wa utawala wangelikuwa mstari wa mbele kusema "YOTE YANAWEZEKANA" lakini wao sasa wamekuwa mstari wa...
Usherekeapo siku yako ya kuzaliwa leo,zawadi yangu nitakupatia juma pili ingawa itakua zawadi kwa watanzania wote pia,....
watanzania tunakutakia maisha marefu
Wanafunzi 919 wa chuo cha ualimu Tandara Makete watakosa haki yao ya msingi ya kupiga kura
Sababu ya msingi ni kuwa chuo kimefungwa na mbaya zaidi walijiandikisha uko uko
MY TAKE
Where is the...
Naomba mawakala wa Chadema wafanye yafuatayo ili kudhibiti wizi au udanganyifu wa matokeo ya uchaguzi kwa ujumla:
1. Kabla ya kufungua kituo wawe na idadi ya wapiga kura kutokana na majina...
Katika mdahalo Mh Slaa alisema kuwa Tanzania ni nchi ya 2 au 3 kwa umasikini Barani Afrika. Aliyasema hayo bila kutoa Chanzo (source) cha kuthibitisha maelezo hayo.
Huu ni uwongo LIVE, kama...
Wakuu habari za jioni
NInawaletea habari zilizotua kwenye meza yangu kutoka kwenye source ya ndani kabisa ya CCM anayehusishwa mipango muhimu lakini asiyependa kutekelezwa kwa hila hizo za Chama...
Nawashauri wa TZ wenzangu bila kujali itikadi zetu tumpigie kura DR Slaa, kwani kama tumewapa haw ndugu miaka yapata 50 na tumepotea hadi sasa tunakumbwa na lindi la umasikini na ufisadi usioisha...
Kuiba kura, kuchakachua matokeo ya uchaguzi ni kitendo cha uhaini kwani ni sawa na kupindua serikali. Serikali halali inachaguliwa na wananchi halafu vibosile vichache vinakaa na kula njama na...
Ktk wiki hii ya mwisho nimekuwa nikipokea taarifa kwamba ziara ya makamba iliyoanzia kanda ya kaskazini akimnadi Dr Buriani, ilienda sambamba na kuwaahidi waislamu kwamba TZ itajiunga na OIC na...
MGOMBEA URAIS WA CHADEMA W.SLAA ANATAMBA KUFUATA KATIBA NA UTAWALA WA SHERIA!! LAKINI WACHAMBUZI WA SIASA NA SHERIA WANAONA HIYO NI DANGANYA TOTO NA NI KAULI ZA KITAPELI TU!!!
GONGA HAPA UPATE...
Ndugu Watanzania wenzangu:
Zikiwa zimebakia siku 3, tunayokazi kubwa tu ya kufanya; kuhakikiaha tunaleta mabadiliko ya kweli kwa kupiga kura kwa kiongozi mwenye dhamira ya kweli kuiondoa...
Katika hali isiyo ya kawaida, nimemsikia mke wa kikwete akitoa agizo kwa wamama wa chama cha CCM wakawakanye watoto wao hasa wa kiume ( akidai wa kike hawana matatizo) waipigie kura CCM eti ndo...
ZIkiwa zimebaki siku 2 uchaguzi mkuu ufanyike kikosi cha wandishi wa habari waandamizi wakiongozwa na wakongwe kutokea DSM wamepelekwa mjini Moshi kwa lengo la kutengeneza habari za kumchafua...
ZIkiwa zimebaki siku 2 uchaguzi mkuu ufanyike kikosi cha wandishi wa habari waandamizi wakiongozwa na wakongwe kutokea DSM wamepelekwa mjini Moshi kwa lengo la kutengeneza habari za kumchafua...
Wakuu habari za usiku?
Jana niliwaahidi kuwaletea picha juu ya mikutano ya kampeni za Mbowe jimboni Hai mchana wa leo.
Naomba mnisamehe kwa kushindwa kuziweka hapa kwani kifaa changu cha...
Miaka ya 1996 while in Primary school, kulikuwa na mwanafunzi mmoja hajui kabisa lolote,
yaani ni mbumbumbu, mjinga whatever you call him au Mungu hakumjalia kipaji cha kujifunza, siku moja...
20th October 10
Serikali: Bei za saruji, nondo zishushwe
Richard Makore
Serikali imeviagiza viwanda vya saruji na nondo nchini kuhakikisha vinapunguza bei ya bidhaa hizo kwa...
Anataka kulisambaratisha taifa la Tanzania hivi hivi mbele ya macho yetu kwa kukitumia chama kilichokwisha kupoteza dira na kimebakia kuwa kama pango la mafisadi. Watanzania lazima tuamke tumkatae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.