Shirika la fedha la kimataifa (IMF) limesema matumizi ya serikali ya Tanzania yamekuwa yakiongezeka kwenye mambo ambayo sio maendeleo ya kama vile kulipa mishahara.Akizungumza na jijini Dar es...
Nauliza swali.
Je, kuna utaratibu wowote ule ulioandaliwa kupata matokeo ya upigaji kura, kadri kila kituo kitakavyokuwa kinatoa taarifa zake, kwenye Internet, ili kuwe na uhakiki na ulinzi mzuri...
viongozi wanatukana arharani, alafu wanatuomba ridhaa ya kuwachagua,mi naona wangekuwa wanashindana kwa sera zenye kujenga na si kutumia lugha za matusi na jaziba,maana mie kama mtanzania...
Kwa sasa hivi fujo zinaendelea Tarakea Rombo, Polisi wameogopa kwenda eneo la Tukio.
Kisa ni Kada wa CCM amgonga kwa gari mwendesha pikipiki wa Chadema
Nataka kuwakumbusha wale ndugu zangu tuliodhulumiwa pesa za DECI wakati ni huu.
Msipotumia nafasi hii basi hatutapata tena muda mwingine. Maana pesa zetu ZILICHAKACHULIWA sasa tutumie rungu hili...
Habari nilzopata sasa hivi ni kwamba NEC imekisimamisha Chadema kufanya kampeni katika jimbo la Maswa. Hiyo imemuaffect Marando ambaye amezuiwa kuingia Maswa kufanya kampeni.
Na Francis godwin, mzee wa matukio
FFU WATAWANYA WANANCHI WALIOKUWA WAKIMSUBIRI DK SLAA IRINGA MJINI
FFU wakipita mitaani eneo la uwanja wa Mwembetogwa kuwatawanya wananchi waliokuwa...
Katika hali inayo onesha JK amejipanga kupata kura za walimu, wiki hii waalimu wamepandishwa madaraja na barua zao zimeambanishwa na fomu maalum ya kukubali ama kukataa daraja. Jambo hili...
wazalendo wote wanaoipenda nchi yetu TUSIMAME tupaze sauti na tuombe LAANA Ya MUNGU Kwa yeyote ATAKAYE FISADI Au Kuchakachua uchaguzi aidha kutangaza mshindi aliye shindwa kuiba kura kupiga kura...
Oct 28th 2010 | BUMBULI
Makamba (right) networks on the mount
THE parliamentary campaign in Bumbuli, a constituency of 167,000 souls in the mountainous Lushoto district of Tanzania, is a...
Nataka kuwakumbusha wale ndugu zangu tuliodhulumiwa pesa za DECI wakati ni huu.
Msipotumia nafasi hii basi hatutapata tena muda mwingine. Maana pesa zetu ZILICHAKACHULIWA sasa tutumie rungu hili...
Naaam leo hii,,, leo jioni Mgombea wa ubunge Moshi Mjini ndugu Salakana amepita kwenye baadhi ya maofisi na kugawa fedha. Mojawapo ni kampuni maarufu ya utalii hapa Moshi. Taarifa za ndani ya...
Tetesi kutoka Iringa zinasema Slaa kazuiliwa kuhutubia Iringa kwa vile amechelewa kufika. Taarifa za uhakika zinaonyesha kuwa alicheleweshwa maksudi Dodoma ili azima hiyo itimie. Sasa hivi anaomba...
Wakuu kama ilivyokua 2005,mwaka huu zikiwa zimebaki siku 3 vitu vimeanza kupanda bei hapa Dar,Pentrol imeadimka,Sembe bei juu 1000 kwa kilo,Mtindi wa Tanga Freshi kutoka 700 hadi 1000,mafuta ya...
Nimegundua moja ya mbinu za kuiba kura inaweza kuwa ni ile ya kutumia advantage ya kura zisizopigwa vituoni. Kutokana na idadi kubwa ya wanavyuo wa Higher Learning Institutions kuwa katika...
Gazeti la kila siku la Tanzania Daima limeripoti leo ya kuwa Chuo cha Monduli kimefungwa kutokana na kampeni ya Dr. Slaa ambayo imeonyesha kwa uwazi ya kuwa wanafunzi hapo chuoni watakipigia kura...
Heshima kwenu wakuu,
Mama Salma Kikwete aingia Arusha kwa staili ya kutupa fulana,kofia na scuff.Nilikuwa maeneo ya Stadium chini ya mti eneo maarufu kwa wacheza draft na madereva taxi ghafla...
Natoa shukrani kwa BBC kwa mchango wao katika vipindi vyao kuelekea uchaguzi kuanzia tarehe 27.10.2010.Mpaka tarehe 2.11.2010.Kwa uchambuzi wa kina na uhakika katika vipindi vyao bila ubaguzi.CCM...
Jamani kama mmesikiliza tokea juzi na jana na hapa tulipofikia kuna vyombo mbalimbali vimesikika vikionya kuwa matokeo yapokewe kwa amani na utulivu ?
Je mnakubaliana na mavuvuzela hao ...
ndugu zangu jamvini mahali ambapo dk slaa angezoa robo tatu ya kura ni mererani lakini cha ajabu katika uongozi wa chadema hakuna aliyefikiria hilo pale kuna kura zaidi ya 22,000.Bahati mbaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.