taarifa zinaenea kwamba zile karatasi za kura zilizokuwa zimekamatwa kule Tunduma kwenye lori inasemekana zimerudishwa Zambia na badala yake zimeingizwa nchini kwa ndege bila kutua kwenye kiwanja...
Kuna uvumi unaenea kasi kuwa:
-Zile kura za Tunduma, zilirudishwa hadi Zambia
-Zikapakiwa kwenye ndege mbili
-Moja ikatua Ngerengere jeshini (airbase)
-Nyingine ikatua serengeti kwenye hotel moja...
Wananchi wa Kyela wameuambia ndugu Harrison kitambo tuu kuwa apumzike aachane na kampeni bse kura za ubunge ameshazipata.
Na kuhusu uraisi wana kyela walimwambia kuwa yeye ubunge sawa ila uraisi...
Marando atinga Maswa kumsaidia Shibuda, baadae Mara na Mwanza atakapowakampenia familia ya Nyerere, Vicent (Musoma Mjini) na Leticia (Magu) na baadae kwenda kuhitimisha kwa Waziri Kijana...
Habari nilizozipata kupitia Clouds Fm radio ni kwamba mgombea wa ccm, rais Jakaya Mrisho Kikwete atafanya mkutano na waandishi wa habari ikiwa ni sehemu ya kampeni zake kwa ajili ya uchaguzi mkuu...
Ndugu wana JF na wale ambao tumechangia kampeni kwa namna mbalimbali,
Uamuzi wa kuchangia kampeni za Dr. Slaa na CHADEMA kwa kupitia njia mbali mbali ulikuwa mzuri sana. Hivi karibuni kuna kundi...
CUF kungoa vigogo CCM
CUF kimeanza kujigamba wazi wazi kwa kutoa tathmini inayoitwa ya kisayansi kuonyesha kwamba, kina uhakika wa kutwaa bila jasho jingi majimbo 47 ya ubunge...
Ndugu wana JF na wapenda maendeleo na mabadiliko ya nchi hii bado siku 2 kuingia kwenye fainali za kinyang'anyiro cha Urais,Ubunge na Udiwani. Fainali hizo zitakuwa hapo tarehe 31/10/2010 kuanzia...
kama mh kinanana leo anamalalamikia mgombea kiti cha ubunge wa chadema kupitia jimbo la temeke kuwa jana katika hotuba yake alimkashifu mh rais kikwete je, leo kwa masikio yangu nilikuwepo mwembe...
BARAZA la Makanisa ya Pentekoste (PCT) limeeleza kuwa hakuna mgombea ambaye anapewa kipaumbele na baraza hilo kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumapili.
Akizungumza kwenye mkutano na vyombo...
Historia inaonyesha watu wengi wamekuwa wakijihusisha na ushabiki wakati wa kampeni lakini inapofika kwenye kufanya kweli (yaani kupiga kura) kila mmoja anakuwa na mtazamo tofauti.
Inatia moyo...
Ukisoma magazeti ya leo na baadhi ya TV zenye ubia na serikali ya kifisadi ya JK na CCM yake utaona kuna msukumo wa kukichafua Chadema na hususani Dr. Slaa kuwa ni chama cha wahuni na hawafai...
Kuna taarifa kuwa mgombea wa CCM jimbo la bukombe yuko kwenye kashfa kubwa ya kuuza kinyemela eneo la pori la bukombe ambalo linasemekana lina akiba ya dhahabu nyingi kuzidi hata mgodi wa...
ORODHA ya majina ya wateule wanaosubiri kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalumu kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambayo uteuzi wake ulikwama katika njia ya demokrasia za ndani...
Kuna mengi yanazungumzwa mitaani kwa sasa masaa machache kabla ya Uchaguzi. Katika yanayosemwa kuna MBINU CHAFU inapangwa kuwakamata vijana wanaoonekana kuwa ni washabiki wa CHADEMA na kuwasweka...
Katika hali inayoonysha maji kuwa ya shingo, Mama Salma Kikwete amewasili Arusha ASUBUHI HII kutokea Dar kwaajili ya kujaribu kuwahamasisha wakazi na wanawake wa Arusha wamchague Batilda...Habari...
Nilikua nasikiliza BBC mcahan huu huyu mama mgombea wa Arusha alikua anahojiwa na BBC kuhusu green guards wa CCM.
Ajabu ameshindwa kujibu lolote...anongea kwa panic na anachodai ni kuwa hata...
Wandugu, baada ya kuhakikisha ushindi mjini Arusha, leo tarehe 28 October, Mbowe atakuwa Jimboni kwake kurejesha taarifa ya kazi ya ukombozi aliyotumwa na wana Hai.
Ungependa kujua jambo gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.