Waandishi wetu
MGOMBEA urais kwa tiketi ya CUF, Prof Ibrahim Lipumba jana alitumia muda mwingi kuchambua kwa njia ya kejeli ahadi za mgombea wa CCM, Jakaya Kikwete akitumia lugha na mifano...
Senior Member wa ZED ametundika thread juu ya wasiwasi ya Kuwa Tume Ya Uchaguzi NEC Tanzania na Mgombea wa Urais kwa CCM, kwa pamoja wanatumia huduma ya mawasiliano ya Intaneti inayotolewa na...
Katika moja ya sifa ambazo Hayati Baba wa Taifa alijijengea ni kutokumbatia mambo ya kipuuzi yaliyokuwa yakifanywa na Viongozi. Bado sijasahau namna Mwalimu alivyozima jaribio la kuunda Serikali...
CCM itakapoangushwa 10/31/2010 unafikiri kesho yake kutakuwa na vichwa gani vya habari kwenye magazeti yetu?
1. HISTORY MADE.
2. KWAHERI MAFISADI.
3 KIKWETE KUKATA RUFAA.
3. MH. RAIS DR. SLAA
4...
Wale mliosikiliza Clouds FM leo mtakubaliana na mimi moja kwa moja. Kwa wengine someni hizi facts;
1. Hajawahi kuonyesha presidential power ya kumtisha mtu
2. Hamna alichofanya zaidi ya kujaribu...
Jana nimemsikiliza vizuri sana mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama cha CUF kuna baadhi ya tafiti zimenikuna na kwa kweli kwa kiasi kikubwa sana zimenifumbua macho na kuona kujua kila...
kupitia power breakfast ya 88.4 live kikwete amekiri kuwa hana kumbukumbu sahihi ya ahadi za papo kwa papo azitoazo kwenye kampeni, anasema wazinakili kisha wampelekee.:peep:
DK SLAA KUHUTUBIA WANANCHI WA MKOA WA IRINGA KUPITIA REDIO COUNTRY FM LEO SAA 3 USIKU
Baada ya kushindwa kuwahutubia wananchi wa manispaa ya Iringa leo jioni ,mgombea urais kupitia chama...
Wakuu kweli nimeamini Watz tulifanya makosa makubwa sana kumwingiza JK Ikulu. Kumbe alikuwa mtupu kiasi hiki hatukuja . Haki ya Mungu, walahi Mtume. Yaani alifaa tu kuimba taarabu na sio kuwa...
Kuna tetesi kwamba baadhi ya maboksi ya kupigia kura yana kura hewa ndani yake. inasemekana kwamba maboksi hayo yamefungwa kitaalamu kiasi kwamba si rahisi kugundua hila hizo. ukiunganisha na...
Ndugu zangu nimekuwa nikihisi kuwepo kwa ubabaishaji mkubwa katika Tume ya Uchaguzi, awali walituambia wapiga kura wamefikia milioni 21, baadae wakasema wamefanya marekebisho sasa wapiga kura ni...
Viongozi wa CUFwako live Mlimani tv. Moja kati ya mambo mazito waliyosema dhidi ya Chadema ni
1. Chadema kwenda kujaribu kumshawishi Hamad Rashid Hamad kujiunga na Chadema ili apewe ugombea...
Kikwete aanza hujuma kumzuia Dr. Slaa asimalizie kampeni Mbeya
Kuna tetesi zimeanza kuvuja toka ndani ya CCM (hapa Dar) na Mkoani Mbeya kuwa wakati Dr. Slaa ameamua kufungia kampeni Mkoani...
Kauli ya mheshimiwa anayeondoka madarakani kuwa kuna viongozi wanataka kutumia mii ya watanzania kama ngazi kuingia ikulu inatimia. Marehemu STEVEN KWILASA MASANJA ameingia kwenye vitabu vya...
Wakati CCM ni Mwendo wa Bongo Flava, CUF Taarabu kwa sana.
Jamaa anaipiga nyundo CCM kwa songi la Taarabu, Mwingine kulinda kura kwa mashairi hadi raha jamani
SIKU chache kabla ya kupiga kura Jumapili ijayo, wagombea watatu wa urais wanaochuana, Jakaya Kikwete wa CCM, Dk. Willibrod Slaa wa CHADEMA na Profesa Ibrahim Lipumba wa CUF, wamekuwa na vigezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.