Wakuu habari kwenu
Napenda tu kuwashirikisha katika furaha yangu ya leo.
Nilienda katika kituo changu cha kupigia kura kuangalia kama jina langu limerudi au la? Bahati nzuri namshukuru Mungu kuwa...
Polisi huko Songea wanamtafuta mtoto wa darasa la Sita kwa kumvisha mbwa tisheti ya CCM. Hata watoto wamechoshwa na CCM. Huyo mtoto asisumbuliwe. Ameonyesha uzalendo wake. Watanzania wote waige...
Mabibi na mabwana heshima mbele.
Taarifa za uhakika kabisa walimu walioomba kusimamia uchaguzi jimbo la Karagwe wamemwagwa pwa! Kwa mfano kata za Kayanga na Ndama wamechukuliwa watu wa kawaida...
Sasa tupo mlangoni, tunaingia katika hatua ya mwisho ya uchaguzi nayo ni kupiga kura. Ni Jumapili Oktoba 31, mwaka huu. Wazanzibari wote waliowahi kujiandikisha na wanazo shahada zao watapiga kura...
Jaman hii nchi inasikitisha, kama waziri wa Elimu anakuja na mpya bila kushirikisha wadau na taasisi za Elimu kuhusu mwanafunzi akimaliza std 7 avuke aingie moja kwa moja kidato cha nne. Hii ni...
Nimekuwa nikikerwa sana sana na mabango ya kijani yaliyoonea nchi nzima yanayotaka kutuaminisha kwamba mgombea urais wa thithiem ni mtu wa watu hivyo tumpe nafasi nyingine. Alipewa nafasi ya miaka...
Zimebaki siku kadhaa,sekunde kadhaa,ni wakati mkubwa kwenye maisha yetu kuamua kufa ama kuendelea kuishi,,ni wakati wa kungalia ndani ya miaka mitano tulichokuwa na raisi kikwete uchafu ngapi...
Leo gazeti la RAI linalomilikiwa na mwizi wa Sh bilioni 40/- kutoka EPA, Rostam Aziz limemtukana Dr Slaa na kumuita kila majina machafu – udini, umbumbumbu, ulaghai etc.
Mtakumbuka...
Nimesoma post moja humu jamvini kwamba, akiwa viwanja vya Mwembeyanga, Kikwete aliwatukana Watanzania waliohudhuria mkutano wa Dr. Slaa kwa kuwaita "majuha".
Juha maana yake ni mtu asiyejua...
Daily News limeripoti kuwa JK amekiri ya kuwa hatma ya wagombea wote ipo mikononi mwa wapiga kura...kauli hii inatia matumaini kwani kumekuwa na jitihada ya kumshinikiza Dr. Slaa tu kukubali...
Sababu ya kuanzisha hoja hii ni baada ya maneno haya ya Kitila Mkumbo:
"Mimi nafikiri akina MKJJ na wenzako ndiyo wenye matatizo kwa kuendelea kuwa na matumaini na huyu ndugu yetu. Sisi wengine...
Shirika la fedha la kimataifa (IMF) limesema matumizi ya serikali ya Tanzania yamekuwa yakiongezeka kwenye mambo ambayo sio maendeleo ya kama vile kulipa mishahara.
Akizungumza na jijini Dar es...
Zikiwa zimebakia siku tatu tunazidi kuona ni kwa jinsi gani watawala wetu wanazidi kukosa mwelekeo na kubaki kutapatapa tu. Watanzania wenzangu nani asiyejua kuwa hapo awali midaharo ya kisiasa...
Kwa muda mrefu sana yamekuwepo malalamiko kuwa Tanzania imefika hapa ilipo kutokana na wasomi kushindwa kutimiza wajibu wao ipasavyo wa kutoa maoni na ushauri kwa mujibu wa taaluma hata kama...
kwanza walitukatili ambao tulikosa mahojiano na Dr. Slaa. Sasa leo wamempa kikwete muda mreefu kuongea lakini Prof. Lipumba kule kigoma amefanyiwa usanii, yaani ameruhusiwa sekunde chache kisha...
Leo asubuhi 28/10/2010 kwenye kipindi cha kumekucha ITV nimemsikia na kumuona Kamanda wa polisi wa mkoa wa kipolisi DSM na pia ni Kamishina msaidizi wa jeshi la polisi, Sule Kova, akisema...
Katika hali ya kustaajabisha ndani ya campaign trail inaripotiwa kwamba mgombea wa uraisi kwa tketi ya CCM hauziki. Hili linasemwa chini chini na wenyeviti wa CCM wa wilaya kadhaa. Kutokuuzika kwa...
Ndugu great Thinkers,
Sijui kama nakosea!
Nimelazimika kuamini kuwa CCM haipo peke yake katika kuhakikisha kuwa inashinda. Baada ya kuona kuwa imeboronga sehemu kadhaa, nimetazama na kuona kuwa...
Mwenyekiti wa nec jaji makame aliwaambia waangalizi wa kimataifa kuwa matokeo ya urais ni hadi nov 3. Haya mazingira yatakuwa salama? Scm si wanaweza chakachua sana hawa? Ila matokeo ya ubunge na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.