Mheshimiwa Waziri (Mstaafu) [MB] ulikua mbunifu sana katika sekta ya Mawasiliano. Toka Uhuru hakuna Waziri aliyewahi kupanda kwenye minara ya Mawasiliano Ila wewe umeweza.
Na umeacha alama...
Wakati wote na mahali pote Mchungaji Msigwa anaelezea ubaya wa Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe tu na huwezi kumsikia akielezea ubaya wa Chadema kama chama
Ogopa sana Mtu wa namna kwani ni...
Mdahalo uwe live hapa hapa JF. Jukwaa la kisiasa la JF sasa liwe la midahalo ya kisiasa hapa nchini Tanzania.
Mada mojawapo kati ya hizi mbili, au zingine vile mtakavyoona:
1 - Itikadi za...
Shalom.
Makada wa CCM Nape Nnauye na January Makamba wamefurushwa kutoka nafasi zao za Uwaziri. Kwamba sasa ni Wabunge tu wa Mtama (Lindi) na Bumbuli (Tanga).
Si mara ya kwanza kwa vijana hawa...
Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby amesema “Ubaya wenu nyie mawaziri mkishapewa Uwaziri mnajiona mnaweza kuwa Rais, naacha kazi za Uwaziri mnaanza mipango ya kuwa mtakuwaje Rais, mnasahau aliyekuteua...
Bila kuwachosha kichwa habari kunajitosheleza. Si watz wanataka wasema Ukweli. Basi nape ni msema ukweli.
Ccm hawawapendi wasema ukweli.
Hivyo upindazi na hasa chadema achague hii karata...
Mchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni
Msigwa amesema CHADEMA hakunaga Dira wala Sera bali husubiri kusikia Chama Dume CCM...
Wanaosema mi5 tena wanamaanisha.
Katika kipndi cha miaka minne nimepanda cheo mara mbili, nimefikia pale nilipo dream go years back Na sasa napata mshahara wa daktari Bingwa. Asante Mama samia...
Ame tweet mwenyewe kwenye mtandao wa X zamani Twitter
====
Kupitia ukurasa wake wa X Peter Madeleka ameweka ujumbe akisema amekamatwa na polisi na anashikiliwa katika kituo che Central Dar...
Rais Samia amewaonywa Viongozi wote walio pewa dhamana kukumbuka kuwa cheo ni sawa na nguo ya kuazima hivyo wanapaswa kutenda kazi kwa uadilifu na kwa masilahi ya nchi, ameyasema hayo wakati...
Akihojiwa na Mwanahalisi Digital, aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA na baadaye kuhamia CCM, Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa kuna orodha kabisa imewekwa ya Watu wa kuondoka...
Mwaka 2020 alizurura na kundi kubwa na mlinzi mwenye mishale kama anaenda kuwinda swala. Hakuna cha maana alichokisema kwa Watanganyika zaidi ya kuwa na jazba ya kupigwa masasi
Tanganyika...
Harakati za uchaguzi mkuu zinakaribia lakini naona watu imara tunaotaka wakatusaidie kwenye mhimili wa bunge tunaweza kuwapoteza kwa kutamani kugombea urais na kukosa fursa ya kutusaidia kutunga...
Hii yaweza kuwa rekodi ya Dunia ya mikutano hafifu ya hadhara iliyotia aibu ya Mahudhurio, Haijulikani Mbunge kama Huyu alipataje watu wa kumchagua.
Akihutubia mkutano huo duni, huku akitetemeka...
Wakifika kwako wanataka kujua idadi ya watu wenye miaka 18+ na wanataka uwaite mmoja baada ya mwingine kila mmoja ajitambulishe na aseme yeye yuko chama gani.
Wanakuwa na daftari wanaandika, sasa...
Wakuu,
Mambo ni moto, Nape kaondoa kaunti yake X kama TCRA :KEKLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh:. Jamaa kavurugwa mpaka ameamua kuzira?
Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out...
Mchambuzi nguli wa Magazeti Maulid Kitenge amesema katika fyekafyeka ya Mawaziri bado Mmoja
Kitenge ameuliza: Ni nani huyo?
Source: Wasafi media
Mlale Unono 😀
Umeelewa nini kwenye katuni hii?
Kijana Mtanzania, badili mtazamo
Tuwasihi vijana wetu wagombee nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa Serikali za Mtaa kuanzia mwaka huu na hatimaye...
Ni kama vile DC Magoti anaona kama wananchi wanadhani yeye sio DC, lakini kawadhihirishia kwamba yeye sio DC wa Mpeche Mpeche, ni DC wa kimataifa, na kwamba wasidhani kwa umbile yeye ni mtoto...
QUUR-JUWAAN . Nikimnukuu Magoma, Mwanachama wa Yanga aliyekwenda mahakamani kuishtaki Bodi ya wadhamini wa Dar Young African, aliulizwa haogopi Ju-Ju- Man akajibu hapo ndio wasijaribu, kwasababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.