MBUNGE OLIVER SEMUGURUKA: WANAWAKE CHUKUENI FOMU MGOMBEE SERIKALI ZA MITAA
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajia kufanyika mwezi Novemba mwaka huu, Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika leo 22/07/2024 amezindua Mafunzo ya mapitio na tathmini ya sera ya Jinsia, Walemavu na ushirikishwaji wa Wanawake, Washa...
NI wazi kuwa hawa vijana wamekuwa wakitazamwa kwa makini kabisa na kiongozi wa nchi jinsi wanavyofanya kazi tangu awateue kumsaidia kazi amekusanya ushahidi wote juu ya utendaji wao, haya...
Kuelekea Uchaguzi mkuu 2025 Prof Kitila Mkumbo ameweka wazi kabisa Boniface Jacob wa Chadema aendelee kuuza Mayai swala la Ubunge pale Ubungo asahau kabisa
Majibishano yao wameyafanya Ukurasani X...
Mambo ambayo hayajafanyiwa kazi katika ilani ya CCM ya miaka 2020 hadi 2025. Ni muhimu ili ilani mpya ya 2025 hadi 2030 iweze kutekelezwa vizuri. Herehapa mapendekezo yangu:
1. Ujenzi wa...
Tukumbushane zile kelele zenu za DP world ziliishia wapi? Na zile kelele za report ya CAG ziliishia wapi?
Kwa ufupi watanzania wengi ni wasahaulifu na bendera fuata upepo,
Ni vyema vijana...
Ikumbukwe kuwa wakati hayati JPM alipokuwa anazindua daraja la Kijazi Ubungo aliahidi kuanza na ujenzi wa barabara za Kimara lakini mpaka sasa hakuna barabara moja iliyotengenezwa. Ukienda Temeke...
Nape akiwa Waziri na akiwa amevaa kichwani kofia ya CCM amesema anataka kumfundisha Byabatto namna ya kushinda uchaguzi hatakama hapendi na wananchi wake. Amezitaja mbinu anazozifahamu na...
Wakuu,
Tumeona mkeka wa mama, kamla kichwa Byabato, Makamba na Nape, huku baadhi ya watu wakikisia ni matukio yaliyotokea hivi karibuni ndio yamewaondoa kwenye nafasi walizokuwa wakikalia.
Pia...
Kwa maoni yangu binafsi ninavyoona,
Uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 unapokaribia, hali ya kisiasa nchini Tanzania inazidi kuwa na changamoto. Ninavyo ona ni kama vile...
Vijana wa upinzani Tanzania hasa kupitia vyama vikubwa vya chadema na act wazalendo ,wamejikita twita! Wanadhani kwa mabishano na kelele za twita wanaweza kuleta mageuzi yoyote katika nchi hii ...
Kama unaamini kuwa CHADMA ni Chama cha Siasa basi karibu umsikilize mchungaji Msigwa atakavyokuprove wrong.
Mchungaji Msigwa anaijua CHADEMA nje ndani na ametuomba wana CCM tuamini anayosema kwa...
* Mama akikuteua acha kauli na maneno ya dhihaka dhidi ya watanzania
* Uchaguzi uliisha kwa kuacha makovu na majeraha kwa baadhi ya watanzania
Tutashinda kwa mkono au boksi haifai
Vijana...
Tofauti ya binadamu na wanyama, ipo kwenye ustaarabu, lakini kwenye mambo mengine mengi, tunashabihiana.
Wanyama wanakula kama tunavyokula wanadamu.
Wanyama wanajamihiana, kama ilivyo kwa...
Nape na makamba kurudi CCM kuchukua Nafasi za uenes na ukatibu.
Baada ya Tenguzi katika nafasi zao za Uwaziri January Makamba na mwenzake Nape watapangiwa majukumu katika Chama kutokana na uzoefu...
Pamoja na Nape kuwa bomu bingwa wa uropokaji, Chama changu kitukufu tuwe macho na Peter Msigwa staili yake ya kuzungumza bila kupima kauli zake inaweza kukiponza chama.
Ana speed kali juzi Kawe...
Anapoikosoa chadema chama kilichompa utajiri alionao Leo anakosea sana. Hata CCM lazima wawe makini na mtu kama Msigwa. Iko siku atayachukua ya madhaifu ya CCM na kuyapeleka kwingine maana...
MWANASIASA mkongwe na Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa amesema anamuunga mkono Mwenyekiti Chadema, Freeman Mbowe kuhusu uamuzi wa kutangaza kushiriki katika chaguzi zijazo hata...
Taarifa za uchunguzi wetu zimebaini kwamba hakuna Mkandarasi hata mmoja atakayetoa hela kwa ajili ya ununuzi huo wa kinachoitwa chopa ya kampeni ya Rais, hakuna na hatakuja kuwepo.
Bali kipo...
Kipindi hiki kuelekea uchaguzi kuna mambo mengi tutaona. Leo nimesikia sauti ya watanzania wakihamasishana ili kumshinikiza Mbowe aachie ngazi.
Mara kadhaa Dr Slaa ametoa tahadhari kuwa kitendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.