Wakati unaingia ulidhani sukuma gang ndio adui yako ukawafyeka sukuma gang wote.
Ukaja kugundua bila kanda ya ziwa huwrzi kufika kokote ukaanza kuneutralize kwa kuwapromote makonda,Biteko na...
Maskini. Wameamua tu kumdhalilisha. Wakimaliza kumtumia ataachwa ajiozoee somewhere. Wameamua kwa makusudi kumpiga picha wamemshikisha picha
Hakutegemea kwa kudhalilishwa hivi. Mwangalie usoni...
1. Aliyezinunua na kuzisambaza atalaaniwa kuanzia miguuni mpaka kichwani.
2. Kila atakayepokea na kuzitumia Pikipiki hizo laana ya Watanzania itakuwa juu yake, kwa hiyo mishe mishe zote...
Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni
Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi...
KAULI ya Waziri wa Mambo ya Nje, Mheshimiwa January Makamba aliyoitoa jana Ikulu ya Magogoni kwamba hata kama hatumkubali Samia ni wetu tu ina maana gani hasa kipindi hiki cha kuelekea 2025...
Naandika haya nikiwa na uchungu mkubwa, sina hata muda wa salamu maana tutachoshana tu.
Nilikua nikisikia maafisa wa serikali wanashauri vijana tujiajiri, nilidhani ni wanafiki, kumbe wanapitia...
Tukumbuke tu kwamba kumekuwa na malalamiko mengi ya wateja wa mitandao ya simu, kuktwa salio pasipo kujiunga na huduma yoyote ile. Hivyo basi kwa kauli hii ya waziri, haina budi wahusika watoe...
Mheshimiwa Mwenyekiti Freeman Aikael Mbowe na Makamu mwenyekiti Tundu Antipas Lissu nianze kwa kusema ninawaheshimu sana.
Mmepigwa mawe mengi sana ya maneno ya kisiasa, mmevumilia mengi sana...
Ni angalizo tu sisi tunaoangalia kwa jicho la rohoni tunaiona mbali sana
Uchaguzi ujao kila tutakapojikwaa tutategemea Ushauri na Uzoefu wa mstaafu mmoja tu aliyebaki Mzee wetu mpendwa JK...
Tuhuma kuwa ndani ya Chama cha CHADEMA Kuna taasisi imeundwa inaitwa Mbowe Foundation lisichukuliwe kuwa ni Jambo la kisiasa, Hawa watu wamejitanabaisha kuwa wana uwezo wa kuongoza nchi, sio...
Shalom,
Kazi ya uzushi ya kubweka, kubwaka na kubwata vyataka ule ushibe
Nimewaza kuhusu kauli za mchungaji Msigwa hasa juu ya tuhuma za Mbowe kuwa fisadi na Chadema kuwa Mali binafsi ya Mbowe...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Butiku amewaonya wanasiasa na wanachama wa CCM kuacha mara moja kampeni za kumchangia Rais Dkt. Samia Suluhu fomu ya kuwania nafasi...
Huyu Rais kaanza kampeni mapema kabla ya muda. Sijui anaogopa Nini? Tume ya Uchaguzi ni ya kwake, Polisi wa kwake, JWTZ wa kwake nk ila kaanza kampeni kabla ya muda.
Naomba nimpe Rais ushauri...
CCM na wana-Hai wameshafanya maamuzi, Hai mwaka 2025 jimbo linakabidhiwa kwa Fuya .
Saashisha ameshaanza ziara katika Kata mbalimbali za jimbo hilo kwa ajili ya kuaga wapiga kura wake, na...
Imani za kishirikina zimekuwepo sana kwenye chaguzi zetu kuu. Sana.
Huu ni mwaka uelekeo wa uchaguzi Mkuu 2025. Kumekuwa na wimbi kubwa la watoto kuibwa na kuuawa. Mara nyingi sana tunasoma...
Samia hana jipya kama ilivyo kwa Rais wa Marekani wa sasa, kinachotofautisha tu ni kiwango cha demokrasia wenzetu wapo mbali sana.
Samia anatakiwa madarakani na majambazi ya rasilimali za nchi...
Salaam, Shalom!!
Hongera kwa kuaminiwa na chama chako kwa nafasi ya Katibu Mkuu.
Kuna vurugu na wimbi linaendelea la watu ndani ya chama chako kuanza compaign mapema Kwa GIA ya kuchangishana na...
Naomba niwaase viongozi na wafuasi wa chadema wote kwamba; sisi nchi yetu ya Tanzania ni nchi ya aman umoja na mshikamano kamwe sisi Kama raia wakawaida hatutaruhusu vurugu ya aina yoyote ile...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Uhamiaji Nchini kutembelea na kufanya ukaguzi kwenye vituo vya uandikishaji na uboreshaji wa daftari la kudumu la Wapiga kura ili kuwabaini Watu...
Salaam, shalom!!
Kwa mara ya kwanza, kuna viongozi wapo madarakani, KAZI waliyopewa kuikamilisha, Bado hawajaimaliza,lakini ghafula wamegeuka na kuanza kujitangaza wazi wazi Kwa nafasi ya VITI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.