Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Ujumbe wake huu hapa --- Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Nyasa ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini mchungaji Peter Msingwa amesema...
16 Reactions
84 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Wakuu, Mwaka huu 2024 tutafanya uchaguzi wa serikali za mtaa na mwakani 2025 tutafanya uchaguzi Mkuu ambapo tutachagua Madiwani, Wabunge pamoja na Rais. Kwa kuzingatia chaguzi za nyuma mpaka...
1 Reactions
9 Replies
321 Views
Amos Makalla Katibu Mwenezi wa CCM, Ambaye ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA (siyo Vijana Jazz wala TOT), amebuni mbinu mpya ya kuandikwa na magazeti uchwara ili avume. Sasa hivi...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Nilianza kupata mashaka urafiki wa Nape na Kinana siku ya uchaguzi wa wa wabunge wa Afrika Mashariki kwenye bunge lililoisha, uchaguzi ule tuliufanyia Karimujee, Nape akiwa Mwenezi na Kinana akiwa...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
''Serikali wameomba tuwape muda ni sawa, lakini kwa muda ambao nimekadiria ili serikali iweze kufanya maamuzi, hili suala kweli wanataka kulichambua walione likoje nawapa miezi minne (4) huu ukiwa...
5 Reactions
41 Replies
1K Views
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) imeitaka serikali kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuhakikisha inaufungia mtandao wa 'X' zamani ukijulikana...
7 Reactions
48 Replies
2K Views
Hapa Africa nimeshuhudia Marais wengi ila huyu nahisi anapendwa zaidi ya wengine wengi. Hakika, Sijawahi kuona Rais anagawa Love bites kwa raia wake kama hivi, "Rais Samia, People do love You...
11 Reactions
52 Replies
2K Views
CCM, kiuhalisia, kamwe haiwezi kuheshimu demokrasia wala haki za wananchi kuwachagua watu wanaotaka wawaongoze. CCM inaamini katika kupora kura au kupora maamuzi ya wananchi. Inaamini zaidi...
4 Reactions
8 Replies
918 Views
Rais Samia akizungumza na wananchi wa kata ya Laela ,Wilaya ya Sumbawanga Vijijini Rukwa mesema leo tarehe 17 Julai 2024 ikiwa siku ya mwisho ya kukamlisha kwa ziara yake ya siku tatu "Wengine...
6 Reactions
84 Replies
3K Views
Ninafahamu Uchaguzi unapofanyika wenye wajibu wa kutenda haki ni Tume Serikali na vyombo vya dola na wala siyo CCM yakulaumiwa. Ebu safari hii fuateni maelekezo ya Amir Jeshi Mkuu wenu Samia...
1 Reactions
3 Replies
314 Views
Taarifa hii Nyeti imefichuliwa leo kwenye Hitimisho la Mikutano hiyo mikubwa ya kisiasa kuwahi kufanyika katika ngazi za vijiji, lililofanyika Mjini Arusha, Kata ya Murrieth, Idadi ya mikutano...
6 Reactions
42 Replies
1K Views
Kuanzia leo, sitamlaumu tu aliyehujumu uchaguzi bali hata aliyehujumiwa kisha akakaa kimya bila kuchukua hatua stahiki. Kwa miaka mingi, vyama vya upinzani vimekuwa vikilalamika kwamba wameibiwa...
1 Reactions
0 Replies
192 Views
Ukweli ambao utawaumiza wazee wa matusi pale ufipa ni juu ya picha za mikutano ya Mwenyekiti wa Chadema ndugu Freeman Mbowe katika ziara ya mikoa ya Kanda ya Kaskazini kuanzia Manyara...
8 Reactions
62 Replies
2K Views
Wakuu, Tangu nimezaliwa sijawahi kuona sherehe za kisiasa zimepangiliwa kisayansi na zikawa na watu wengi kama nilizoona mwaka huu katavi kwenye maadhimisho ya wiki ya wazazi 2024. Viongozi...
1 Reactions
0 Replies
267 Views
Mambo yote anayokosoa msigwa katika chama alichotoka kukihama kwa mtu mwenye akili timamu sioni hoja za msingi kuwaaminisha watu kuwa chadema ni chama dhaifu ni chama gani kwa sasa hii utakipima...
2 Reactions
22 Replies
702 Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema video inayosambaa ikimuonyesha akisema kuna mbinu nyingi za CCM kushinda uchaguzi ikiwamo zisizo halali imepotoshwa na...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Lema asema Nape mpumbavu wewe sisi tunaweza kumuiba mkeo na kukaa nae chumbani kwetu, hii imekuja baada ya kauli ya Nape kuhusu ushindi kwenye chaguzi ambapo alisema ushindi unategemea nani...
13 Reactions
38 Replies
2K Views
Ameandika Lema katika mtandao wa X: "Jana wakati nakemea kauli yako katika mkutano wa hadhara Murriet Arusha dhidi ya kauli yako na mipango yenu ya KIPUMBAVU juu ya wizi na uporaji wa kura katika...
1 Reactions
6 Replies
740 Views
Ndio taarifa zilizopo hapa Miyomboni Iringa kwamba inadaiwa miamba hiyo ni miongoni mwa wanaopitapita mitaani kuweka mambo sawa Hata hivyo Jesca ambaye ni Mbunge wa sasa na Team Lowassa...
6 Reactions
25 Replies
941 Views
Aiseee CCM ni wakongwe ndio maana wao wako busy mitaani kusajili wapiga kura wapya na wanachama wapya mitaani. Lakini CHADEMA wamejikita kwenye mitandao tu kuangalia linalotrend wapinge au watoe...
3 Reactions
26 Replies
545 Views
Back
Top Bottom