Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wanachama wanadai Prof. Lipumba hajafuata mchakato wa kikanuni wa kugombea uenyekiti, ikiwemo kutofuata utaratibu wa kuchukua fomu. Wanasema Lipumba hakuchukua fomu, hakurudisha wala kusaini na...
5 Reactions
36 Replies
1K Views
Wakuu Hawa ndio vijana tunaotarajia kuwa viongozi wa kesho, lakini badala ya kusimamia maslahi ya wenzao, wanajikita kwenye kampeni za kusifia bila hoja. Badala ya kushinikiza fursa na maendeleo...
1 Reactions
3 Replies
354 Views
Rais Samia ametoa angalizo kwamba CCM isitegemee historia kupata ushindi kwenye uchaguzi Mkuu Bali ijenge Sera zinazobeba matamanio ya Wananchi wa Sasa Ni lazima tujenge Sera za kuaminika mbele...
3 Reactions
16 Replies
539 Views
Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Lindi kimewataka Vijana kujipambanua na kugombea nafasi mbalimbali za kiongozi ili nao wawe viongozi na sio kuwabebea mabegi Wagombea Ubunge na Udiwani...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Wanabodi Niko hapa Ukumbi wa FCC jijini Dar es Salaam, kuwaletea live ya Kikao Kazi cha Baraza la Ushindani, FCC na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF. Hivi sasa Mkurugenzi Mkuu wa FCC...
1 Reactions
3 Replies
154 Views
Kipindi cha uchaguzi na maajabu yake, utasikia maneno na mipango ya busara kutola kwenye chama kikongwe huku wakijitenga kuwa chanzo cha uharibufu na umasikini uliopo, watatoa mawazo chanya yenye...
0 Reactions
1 Replies
111 Views
Sijui kama hapa ni mahali muafaka kwa hii lakini taarifa zilizonifikia hivi punde ni kuwa yule mwarabu anayetajwa kuwa ndiye mmiliki wa Dowans, Brigedia Jenerali (mstaafu) Sulaiman Mohammed Yahya...
0 Reactions
774 Replies
67K Views
Bunge la 12 Mkutano wa 18 kikao cha 8 Januari 6, 2025. https://www.youtube.com/live/v7nIhzdKxfM?si=_aHP4U9aOM7XzizK Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema ni muhimu kwa Tanzania kuzingatia Sera...
0 Reactions
0 Replies
121 Views
Wakuu Wote tunakumbuka kipindi cha Magufuli mambo yalivyokuwa. Baada ya purukushani zake za kutishia wapinzani, kuzorotesha uchumi na mwisho kuona majority ya watanzania hawamkubali zikaanza...
7 Reactions
82 Replies
5K Views
Connect them if you can: Loliondo Gate => Yaeda Chini => Dowans and CCM! What is the connection? There is a connection, a troubling one that is. In 1992 some UAE royalty became interested in...
11 Reactions
276 Replies
50K Views
Ukosefu wa ajira kwa vijana, kutasababisha ongezeko kubwa la uhalifu.
1 Reactions
6 Replies
195 Views
Kuna upuuzi unafanyika nchi hii nadhani ni kuzimu tu wanaweza kuuelewa. Tunaposema kuna haja ya kupata KATIBA MPYA kuuondoa huu upuuzi tuna maanisha kweli maana hii nchi imefikia hatua mbaya...
2 Reactions
52 Replies
2K Views
Wasalaam, Appease, Propitiate and Placate! Tuliza, Fidia, wape waone na kusikia wanachotaka kusikia! Kwenye sayansi ya siasa hizi ni nguzo zitumikazo mara kwa mara kuongoza, ebu leo tujikite...
2 Reactions
23 Replies
398 Views
Naona kama Magoti anataka kupandisha mabega juu kuliko ya aliyemteua. Maji ya mto huwa hayapandi juu zaidi kupita chanzo chake, bali huteremka chini. Naona Magoti anajiona ni mnyampara kama wale...
7 Reactions
73 Replies
9K Views
Nashauri idara hii itunze vitu hivyo kama mavazi, magari vitunzwe. Hii iende hata kwa marais wengine.
1 Reactions
8 Replies
289 Views
Sitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna...
67 Reactions
218 Replies
28K Views
Wakati Rais Samia anaingia Ikulu, baada ya muda mfupi vyama vya upinzani Tanganyika pamoja wanahabari wa kujitegemea wamekuwa wakipaza sauti zao juu ya Rais Samia katika uwongozi wake, Moja ya...
0 Reactions
3 Replies
160 Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Leo. Kwa vile huu ni mwaka wa Uchaguzi, na mimi mwandishi wako wa makala hizi, zaidi ya kuwa ni mwandishi na mtangazaji wa kujitegemea...
5 Reactions
25 Replies
808 Views
Rais Samia amewashangaa watendaji wa Serikali kutoa leseni za biashara ndogo ndogo Kwa wageni akitokea mfano Mchina muuza Mitumba Kariakoo. Naungana na Rais Samia,hili ni jambo amenifurahisha...
4 Reactions
43 Replies
1K Views
Miongoni mwa watu ambao watakuambia mimi sifuatili siasa, ni bsadhi ya hawa wenzetu wanaofanya kazi karika mashirika ya kimataifa na kulipwa hela nyingi kiasi kwamba waona siasa kwao haina maana...
5 Reactions
10 Replies
387 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…