Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Bunge limepata tuzo ya mshindi wa kwanza wa taarifa bora ya hesabu ya mwaka 2023, ambapo akifungua mkutano huo wa 18 wa Bunge, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amesema tuzo hiyo imetolewa na Bodi...
1 Reactions
5 Replies
161 Views
Uchawa kama wa Tanzania,kila waziri akisimama kuongea ni kumsifu trump,muda mchache uliopita trump alikuwa anaongea na waandishi wa habari,kuhusu ajali ya ndege kugongana hewani,yeye kalaumu...
1 Reactions
4 Replies
305 Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema Chama na serikali yake haitakubaliana na azimio lolote litakalotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
0 Reactions
16 Replies
495 Views
Baraza la madiwani katika Halmashauri ya Kibaha mji limetoa tamko na kuazimia rasmi kwa pamoja kumpongeza Rais wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuweza kuridhia maombi na kuweza...
0 Reactions
1 Replies
136 Views
Katibu wa UVCCM Wilaya ya Sengerema amewaonya baadhi ya viongozi wa jumuiya wanaotumika kupanga safu za wapiga kura wa maoni ndani ya CCM, akisema wanakiuka taratibu za chama hicho. Ametoa wito...
1 Reactions
3 Replies
236 Views
Kwako Rais wa JMT Mhe.Samia Suluhu Hassan Waziri wa biashara Dkt. Suleiman Jaffo Nawasalimu kwa jina la JMT, Awali ya yote nachukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na...
1 Reactions
5 Replies
197 Views
Wakuu, Akizungumza hivi karibuni, Mwenyekiti wa CHAUMMA Hashim Rungwe amesema kuwa hajaweza kuzunguka na kufanya mikutano ya hadhara sehemu mbalimbali nchini Tanzania kwani chama hicho hakina...
0 Reactions
9 Replies
291 Views
Uzuri wa Kiongozi mwenye miaka 80+ anakuwa anapigania future ya Vilembwe CCM mnaona mbali sana Kwa sababu Vilembwe ndio vinatishiwa na Artificial intelligence Mlale unono 😀
6 Reactions
29 Replies
818 Views
Vita ya DRC imegeuka kutoka kuwa mgogoro wa kijamii hadi mgogoro wa kimaslahi ya ulinzi na uchumi, taifa letu likiwa eastern na southern Africa linapaswa kutambua yafuatayo. Kama JWTZ...
44 Reactions
133 Replies
5K Views
Ukiniuliza kama Tanzania ina kiongozi, nitajibu kuwa ina rais lakini si kiongozi. Ukiuliza kama Tanzania ina sera, nitakujibu kuwa ipo sera ya uchawa. Ukiuliza, kiuchumi Tanzania inaongozwa na...
17 Reactions
74 Replies
1K Views
Balozi Mteule na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbroad Slaa amesema tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la...
26 Reactions
419 Replies
43K Views
Kuna msemo wa wahenga wa Zamani kuwa kuna kundi la nyani lilishangilia baada ya kusikia mkulima wa mahindi amekufa wakaambiana sasa watakula mahindi kwa uhuru bila kurushiwa mawe. Hawakujua kuwa...
6 Reactions
46 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Stephen Wasira, ameikaribisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA katika uchaguzi lakini ameipa angalizo kuwa isitatarajie kuambulia...
1 Reactions
24 Replies
715 Views
Lema anatofauti za wazi kati yake na Katibu wake wa Kanda za Kichadema ya Kaskazini Bw AMANI Golugwa akimtuhumu kuwa ni fisadi mkubwa ndani ya CHADEMA anayekingiwa kifua na Freeman Mbowe. Amani...
1 Reactions
43 Replies
2K Views
=== Kafulila akijibu tuhuma ya Mbunge wa Kisesa CCM Mhe Luhaga Mpina kwamba Waziri wa Fedha ametumia zaidi ya Trilioni Saba (TZS7T) bila fedha hizo kupita katika mfuko mkuu wa Serikali hazina...
12 Reactions
144 Replies
5K Views
Rais Samia amedai Wafanyabiashara wadogo na wakati wengi wao wanakimbia ulipaji kodi hali inayosababisha kuingia kwenye mikopo na "Asiyejua anasema Serikali inakopa tu, kwani tunakopa kununua sare...
6 Reactions
138 Replies
4K Views
Wanabodi, Siamini ninachokisikia hapa kwa kiongozi Japo wote tunamasikio inawezekana sio wote tunaweza kusikiliza kitu tukasikia, hivyo kwa faida ya wengine naomba kusema kwa kifupi tuu mimi...
78 Reactions
221 Replies
23K Views
Lema huenda akaingia katika moja ya vitabu vya kumbukumbu kutokana na michango yake yenye kuwa na ukamilifu mkubwa baada ya kutabiri. Alitabiri vifo vya wakubwa na vikatokea Ametabiri watu...
16 Reactions
130 Replies
8K Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza uchunguzi kubaini kashfa ya kontena tisa zenye namba za kulipia kodi TZDL 16-10-25830 zilizoingizwa nchini na Kampuni ya Silent Ocean Ltd ambazo zilinaswa...
13 Reactions
116 Replies
17K Views
We kweli wa kusema Wassira hana kitu? We unamjua Wassira au unamsikia, hivi wewe Heche ukae na Wassira muongee habari za kidunia utamweza Wassira wewe? Au huyo bosi wako akae na Wassira waongee...
2 Reactions
21 Replies
900 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…