Dkt Slaa amedai kuwa Rais aliongea na Mbowe na akampa mzigo wa kumsaidia kushinda uenyekiti wa Chadema, watanzania wamesoma habari hizo, wameona, wamesikia na wanaambiana kwenye vijiwe vya kahawa...
Wakuu,
Alaaaah, kumbe wafanyabiashara walichoma soko la Kariakoo wenyewe? Hii ndio sababu hatujui ndani ya kilichokuwemo kwenye ripoti rya tukio la moto ule?
======
Moja ya mambo aliyosema...
Mungu tenda miujiza yako kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka huu 2025 CCM ishindwe sababu wamejimilikisha ukuu wako.
“kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu.
”
— Luka 1:37 (Biblia...
Habari ndio hio!
https://youtu.be/50jLdDcptGc
Mwingine huyu(Kijana Mzalendo) ndio kabisa kawavua nguo na anasema wanatakiwa warudie na kwamba kuna fukuto kubwa.
Kaongea mengi sana huyu bwana...
Afande G. Mkunda
Ni muda wako wa kulinda historia na heshima ya muda mrefu iliyowekwa na watangulizi wako
Yanayoendelea DRC hatuwezi kuyaacha yaendelee, Sisi kama MABABU wa ulinzi na ukombozi...
Hamna wakati mwingine ambao Tanzania inahitaji DRC iliyotulia kama ilivyo Sasa !!
RWANDA ni ka Nchi kadogo sana, Ambako kana maeneo machache ya kimkakati linapokuja suala la uchumi , wako limited...
Wakati Chama cha ACT Wazalendo Mkoa wa Lindi kupitia kwa Katibu wake wa Jimbo la Lindi Mjini Bw. Ahmad Zuberi wakitoa malalamiko juu ya kutoshirikishwa katika masuala ya uandikishaji wa wapiga...
Chama cha ACT Wazalendo mkoani Lindi, wametoa malalamiko yao mbalimbali kwa Afisa mwandikishaji wa uchaguzi katika Jimbo la Mjinga pamoja na Jimbo la Lindi mjini Bwana Juma Mnwele kutokana na...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akiwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuungana na jopo na mawakil linalomtetea Dk. Wilbroad Slaa...
Maslahi ya Tanzania hapo Congo ni yapi?
Rwanda inafahamika maslahi yake hapo Congo sisi wengine tunapeleka Congo vijana wetu kwenda kufia wacongo kwa maslahi yapi kama taifa?
Hii ni dunia ya...
Wakati deni la Serikali likifikia Sh71.55 trilioni, Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina amesema Serikali ilikopa fedha zaidi ya kiasi kilichoidhinishwa na Bunge na kutaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu...
Ni Wasira ndiye alimuondoa Warioba katika ubunge wa Bunda, walipelekana mpaka mahakama ya rufani.
Sijamsikia Warioba akitoa hata pongezi, kulikoni!?
N. B:
Ni Wilaya ya Bunda ambayo imetoa...
Kwa Maafisa Elimu Kata zote, Wakuu wa Shule za Serikali za Msingi na Sekondari, Moshi Manispaa, Kilimanjaro
Mkurugenzi wa Manispaa, Mwajuma Nasombe, kwa mamlaka aliyonayo, anawataka watumishi...
Kwanza tuelezwe na Nchimbi na timu yake zile shilingi millioni Samia alikua anachangiwa kuchukua fomu ya chama kugombea kuteuliwa kugombea urais zimeenda wapi.
Hilo ni jambo linaonyesha kuna...
Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa masafa marefu Tanzania, Hassan Dede amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha kuwaokoa Madereva 43 waliokuwa wamekwama katika Mji wa Goma Nchini...
Kwanza hii ndiyo unapaswa kuwa ajenga muhimu kwa wagombea wote. Katika mambo ambayo serikali imeamua kuyakwepa kwa namna ya kuziba masikio ni hili suala la ajira kwa wahitimu mbalimbali, hii ni...
Mange yupo sawa kwa hili
https://youtu.be/wMER57zVsfg?si=ZIhQ0ZUpmoGYodnJ
Miradi ya treni yote na barabara badala ya kutoa kwa kampuni za Tanzania badala yake wanatoa kwa China
Dar es Salaam. Baada ya kuitwa kuhojiwa kuhusu tuhuma za kuhusika na biashara ya dawa za kulevya, Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete amesema taarifa hizo zilitingisha familia yake, lakini...