Hao ni baadhi tu ya watakaolitimua vumbi kuzisaka kura za CCM kanda ya ziwa.
Watasaga sore za viatu kuzisaka kura za mama samia na wagombea wa CCM kupitia a very sophisticated campaign network...
Wakuu,
Tunapoukaribia Uchaguzi Mkuu 2025, ni muhimu kutathmini changamoto za chaguzi zilizopita (2015 na 2020) na kushirikiana katika kutafuta suluhisho
Jiunge nasi kwenye mjadala maalum...
Mwenyekiti wa Chadema na Wakili wa Dkt. Wilbroad Slaa, Tundu Lissu amesikitishwa kushikiliwa kwa muda mrefu mteja wake huyo ambaye ana umri wa miaka 76 bila kupewa dhamana huku akieleza kuwa ni...
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mkoani Pwani Ridhiwani Kikwete, amefunguka kuhusu sakata la dawa za kulevya na kuipongeza serikali hususani Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kwa kuanzisha...
Ni mwendelezo wa kupambana na MADAWA ya kulevya, ndugu Ridhiwani kikwete ameunga juhudi zinazofanywa na Paul makonda kutokomeza biashara haramu ya MADAWA ya kulevya. Ni wakati sasa wabunge wakaiga...
Umoja wa Mataifa, Congo na Rwanda – Paul Kagame auliza maswali magumu
"Tumesikia kuhusu Walinda Amani Umoja wa Mataifa ndani ya Congo una zaidi ya miaka 30 sasa…"
— Paul Kagame...
Rais wa...
Ujumbe huu ni Kwa ajili ya ndugu Bashiru Ally kakurwa.
Kwakuwa umepoteza Mvuto wa kisiasa basi rudi Nyumbani CUF ukagombee urais.
PIA SOMA
- CUF yaanza maandalizi mapokezi ya Dkt. Bashiru...
Katika hali ya kushangaza, Mbowe hajatokea kabisa leo Katika tukio la kitaifa la kumkabidhi ofisi Lissu.
Kwa hali ilivyo ni kama uongozi uliopita umekomba kila shumuni kutoka kwenye akaunti ya...
Wakuu
Mbunge wa Kilombero, Abubakari Asenga amependekeza TBC waandae taarifa ya habari ya taifa, na vyombo vyote nchini virushe.
Hiki kituko ni cha mwaka kwa kweli, kwani hao TBC si waandae na...
Hii Taarifa nimedokezwa na Wadau wa kanazi kuwa Dr Bashiru anataka udiwani wa kata kanazi.
Kama ni kweli basi nadhani ameamua kujiua kisiasa na kukubali matokeo.
Mheshimiwa Rais Samia ninakutumia salamu za pongezi nchi hii unaiongoza vizuri sana, tangu nianze kupiga kura sijawahi kuipigia CCM ila safari hii kutokana na uongozi wako mzuri mama nitaipigia...
Kuna kila dalili kuzuka vita kati ya DR Congo na Rwanda. Nchi kubwa ya Congo inaweza kuamua kupigana vita na Rwanda ambayo ni ndogo kabisa kulinganisha na DRC.
Mwanzo wa vita pamoja na kiburi na...
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imeandikisha rekodi Mpya ya Mapato ya nusu mwaka Kwa kukusanya zaidi ya Trilioni 16.5 kwa.kioindi Cha miezi 6 au nusu mwaka ya mwaka wa Fedha 2024/2025.
Kiwango...
Wakati Chama cha Mapinduzi kinaelekea kutimiza miaka 48 tangu kuzaliwa kwake, moja ya kitu kinajivunia ni kuwa na ofisi nzuri zenye hadhi na muonekano wa chama.
Hii ni ofisi ya CCM Kata ya...
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema hadi kufikia March 2024, deni la Serikali lilikuwa shilingi bilioni 91,708.3 (Tsh. trilioni 91.7) ikilinganishwa na shilingi bilioni...
- Paulina Gekul na Salaah wa Silent ocean wote ni watu wenye nguvu na ushawishi katika jamii kwa kadiri ya kada zao za kimajukumu.
- Wote ni wana CCM kindaki ndaki
- Wote walijichukulia sheria...
Viongozi wa Jeshi na Polisi wastaafu ruksa kujiunga na upinzani. Hii itasaida kupunguza wizi wa kura na haki maana nyie ndiye mlikuwa viongozi mnawasaidia kuiba kura.
Sasa mpo mtaani mnaona...
Salaam,Shalom!!
Nimesikia Mh Mwigulu, waziri wa Fedha akilalama kuwa, Wafanyabiashara waliopewa nafasi ya kukusanya Kodi Kwa niaba ya Serikali ni chanzo Cha kukosekana mapato ya Serikali...
Wakuu,
Trump aliahidi kusitisha misaada kwa nchi za Afrika pindi atakapoingia madarakani kutokana na kile kinachosemwa matumizi mabaya ya viongozi wa Afrika ambao wanatumia misaada hiyo kwa...
Katika hali sintofahamu mwigulu anawatisha madiwani wa halmashauri ya iramba ambao wamekwisha azimia kumvua ukurugenzi Bi Halima Mpita kutokana na kufanya ufisadi wa milioni 800 toka ahamie iramba...