Naanza kuelewa Sasa, huwenda ni kweli kwamba Watanzania ni watu wa hovyo na ambao hawawezi Kila kitu na hawawezi Kuibadirisha nchi Yao kutoka Hali mbaya ya umasikini na kuwa nchi yenye neema na...
Wadau nawasalimu.Watanzania Tumekuwa tunapiga kelele KUDAI KATIBA MPYA. Viongozi badala ya kuendeleza Mchakato wa Kupata KATIBA MPYA wameanzisha Jambo jipya na lisilo na TIJA la Kurekebisha baadhi...
Wana bodi, ni tumaini langu unaendelea vizuri na sherehe za pasàka pili.
Baada ya kusikia Kwa muda mrefu suala la watu tofauti tofauti kujitokeza na kudai watamchangia Mama pesa za kugombea Urais...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema Muuwaji hawezi kupata nafasi ya kuuwa tena na Muonezi hatapata nafasi ya kuonea tena wala kutesa tena
Ili kulinda Demokrasia ya...
Wakuu,
Mtando wa ClubHouse umezuiwa kupatika nchini toka mwaka jana (2023) mwanzoni, ambapo huwezi kupata kupata huo mpakata utumie VPN.
Hii ni ukiukwaji wa haki ya kujieleza na kupata kupata...
Hebu angalia Magari ya serikali yanavyotumika vibaya, tena bila huruma kwa Wananchi makapuku wanaoitwa Wanyonge
Baada ya Hapa anapanda Punda na kushangiliwa na Wajinga .
Kiukweli hii Nchi...
Rais Samia amemtua Paul Makonda kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha baada ya kudumu kwa kipindi kifupi sana kwenye uenezi na itikadi.
Wako waliokuwa wanamaifia Makonda sana ni haki yao ila ukweli ni...
BASHUNGWA ASHIRIKI MISA YA PASAKA JIMBONI KARAGWE.
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent L. Bashungwa ameungana na Waumini wa Parokia teule ya Kayungu Jimbo Katoliki la Kayanga...
Chama cha siasa kwa ujuzi na uzoefu niliyo nayo kinapigiwa kura na wananchi kwa itikadi sera yake na ilani yake yenye msingi wa itikadi na sera zake.
CCM ni chama cha kijamaa na kadri miaka...
Itakuwa ni rasmi, baada ya trh 04.04.2024 jembe PCM anatinga chuga city, maskani ya machalii wa afrikani Geneva.
'Wasiempenda kaja' wenye roho mbaya naye huyo hapo anaingia mjini, iwe kashushwa...
Lakin saa inakuja, nayo sasa ipo, ambapo mtavuna mnachokipanda, kwa jicho la mbali mnamuona kama anakijenga chama, katika jicho la upeo wa roho anadhoofisha chama, bosi wake na Viongozi wakuu...
Ndugu zangu Watanzania,
Mwenyekiti wa machifu mkoa wa Shinyanga Kidola njange amesema ya kuwa umoja wa machifu na watemi mkoa wa Shinyanga kwa pamoja na umoja wao wamekubaliana kumsimika katibu...
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa Paul Makonda ametoa maagizo ya chama kwa waziri wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa kumsimamisha kazi...
Wakuu,
Chaguzi zimekaribia kuanza na tayari Wabunge wetu wameshaanza kurejea majimboni kushirikiana na wapiga kura wao kwenye masuala mbalimbali.
Binafsi naona hizi ni sarakasi tu na uzi huu...
Wanasiasa wenye mvuto na ushawishi kwa jamii chukueni tahadhari. Wapo watu wameletwa Duniani kuongozwa ila wanatamani kuongoza.
Kipindi hiki hali ya tamaa uwaka sana mioyoni mwa wanasiasa. Malipo...
Katibu mkuu wa Chadema John Mnyika amesema Wananchi wanawataka washiriki Uchaguzi wa serikali za mitaa
Wananchi wamesema watalinda kura ije mvua lije jua.
===
"Mimi nimepata wasaa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.