Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema Mapambano yamewezesha mh Faye kushinda Uchaguzi wa Rais Senegal
Mnyika anasema November 2023 alikuwa Nchini Senegal kama sehemu ya Ujumbe kutaka...
Kwanza agenda ya Mbowe na Chama chake anachokimiliki ilikuwa ni Katiba Mpya, wamepambana weeeee hoja yao imekufa kifo cha mende baada ya miswada kupitishwa bungeni na kuwa sheria.
Akawapotezea...
Hakika nimeukumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2019 na 2020 jinsi Rais magyfuli, CCM tume ya uchaguzi na vyombo vya ulinzi na usalama vilivyo uvuruga uchaguzi ule mpaka...
Kwa kifupi yamedoda, hayana mvuto na CHADEMA wamejifikishia ujumbe mkubwa wananchi hawadanganyiki. Yako wapi yale maandamano tuliyoaminishwa na kudanganywa eti yanatumika kufikisha ujumbe kwa...
MCHAKATO WA KUPATA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) UANZE SASA
Chama cha ACT Wazalendo, kupitia kwa Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara ndg Isihaka Rashid Mchinjita, kimewataka Wajumbe wote wa...
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe ameueleza Uongozi wa Kanda ya Kaskazini namna alivyonusurika kuuwawa June 2013 wakati wa Serikali ya awamu ya 4
Mbowe amesema Wasiojulikana walipanga...
Hili taifa linaangamia kwa ujinga, na ina hitajika uwe na akili ya ukichaaa kuamini kwamba Walimu wanao ishi life gumu sana, mishahara haitoshi, hawana posho, ila wao ndio wako mstari wa mbele eti...
Kama swali linavyouliza, ni kitu gani kimefanywa au hakikufanywa na Serikali iiliyoko madarakani ambacho kinakushawishi kuichagua au kutokuichagua tena?
Tukiwa tunakaribia uchaguzi wa serikali...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, leo kimefanya mkutano wa hadhara Arusha Mjini, kwenye eneo la soko kuu, mkutano ambao umejaza umati mkubwa mno!
Taarifa zinaeleza kwamba Mkutano huo umehutubiwa...
Tatizo la viongozi wengi ni kulewa madaraka bila kusoma nyakati. Msije hata siku mmoja kujidanganya kwamba Watanzania watabaki hivi hivi miaka hii ya mitandao.
Serikali isikojirudi na...
Uhuru wangu utakomea pale unapoanzia uhuru wa mwenzangu. Kuna wanaotaka kuandamana na kuna wasiotaka kuandamana itakuwaje hapo? Kuna magari na waenda kwa miguu watakaosumbuliwa na maandamano haya...
Ilikuwa jambo la muda tu kugeukana maana wanafiki siku zote muda huwaumbua ,
Walijikusanya wakapanga wakatekeleza kisha wakatoka huko walipo wakatangaza kifo cha jpm na kuamua kufunika yote...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaongoza wanawake kumchangia pesa za kuchukulia fomu Rais Samia ambapo alikuwa mgeni Rasmi.
Wanawake hao wapenzi wa Rais Samia wamemchangia Shilingi Milioni 120 Kwa...
Waziri Mhagama: Wanambinga Mhalule Chagueni Viongozi Wawajibikaji
Serikali kupitia Halmashauri ya wilaya ya Songea Vijijini yaahidi kushughulikia na kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ardhi katika...
Akihutubia kwenye mkutano wa BAWACHA, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe emetoa agizo kwa Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika kuhakikisha ngazi zote za chama nchi zima zinaandaa viongozi wa...
CHATANDA KUCHANGIA MIFUKO 50 YA CEMENT NA PESA MILIONI MOJA GEREZA LA MBOZI - SONGWE
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania Cde Mary Pius Chatanda( MCC) ameahidi kuchangia mifuko 50 ya...
Kwa mara ya kwanza hatutasahau unaamka asubuhi unaingia mtandaoni lakini inashindikana, unaangalia bando sina au , unauliza salio full bando ,unajiuliza hivi hii simu yangu imeharibika nataka...
Naelewa vizuri sana na nakubaliana na mantiki ya kuchukua wanafunzi wa kike wenye ufaulu chini kidogo ya wale wa kiume kuwapeleka kidato cha sita na vyuo vikuu. Naona hilo ni jambo lenye mashiko...
Ni kama sielewi CCM inataka nani awe mgombea wao ngazi ya Urais kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Kati ya Hayati John magufuli na Wana CCM wengine walioko hai.
Kwenye mitandao ya kijamii hivi...
Hii ndio Taarifa Mpya iliyosambazwa kwa dharula na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoka huko Mtwara .
Endelea kubakia hapahapa JF kwa taarifa kamili
========
Maandamano kufanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.