Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kutenga siku moja kwa kila mwezi ili kusikiliza na kuzitafutia ufumbuzi kero za mwananchi mmoja mmoja
"Amefanya hivyo...
Kichama na kiserikali namfahamu Komredi Kinana tangu miaka ya 80. Naujua uhodari wake kijeshi (kwakuwa nami nilitumikia mojawapo ya vyombo vya ulinzi na usalama), kiserikali na kichama. Komredi...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inatarajiwa kujifungia kwa siku mbili kuanzia leo kuandaa Azimio la Mtwara la kushiriki au kutokushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa...
Zitto Kabwe amedai wamepenyeza watu ndani ya CCM sijui lengo la hao watu ni nini ila ninachofahamu mimi chama chake kimekuwa CCM B kwa muda sasa.
ACT Wazalendo iliundwa baada ya Zito na Kitila...
Lissu amesema sehemu nyingine duniani Polisi hutaja njia ambako maandamano yatapita na kutoa tahadhari kwa wafanyabiashara pamoja watu wanaotumia barabara hiyo wajue itatumika kwa maandamo, lakini...
.Kwa mujibu wa kalenda ya uchaguzi wa Tanzania, uchaguzi wa Rais, Wabunge, na Madiwani unafanyika kila baada ya miaka mitano. Hivyo, uchaguzi wa Rais 2025 unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba...
Wana-Ruangwa Wamshukuru Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb)
"Kwa muungwana ukweli kwake ni ibada. Ni ukweli Usiopingika kwamba, kwetu Wana Ruangwa...
Ukiangalia vizuri mapendekezo ya marekebisho ambayo vyama na wadau wanapigia kelele yarekebishwe ni ya msingi. Lakini sioni faida yeyeote ya maana kwa chama tawala cha CCM wala serikali kwa kuweka...
Hili ndio wengi ambao ni wafuatiliaji wakubwa wa siasa tunaliona.
Kumbuka generation za viongozi ambao wapo madarakani wenye kutaka kile kiti ndio walisumbua sana 2015 kwa ajili ya mkakati wa...
Mimi nafikiri maendeleo hayaletwi na chama au serikali bali na wananchi wenyewe kwa kufanya kazi kwa bidii na kwa kulipa kodi na kwa kuchagua viongozi sahihi ambao siyo mafisadi bali wacha mungu...
Alikuwepo diwani maarufu kwa jina la Kanyanyila aliyeingia madarakani mwaka 2015 kuongoza kata yake ya Lusungo. Ilikuwa ni jambo la kushangaza kwa mwanamke kushikilia madaraka makubwa ya kisiasa...
MBUNGE ZUBEIDA SHAIB Atembelea Miradi ya Elimu ya Jimbo la Mfenesini
Mbunge wa Jimbo la Mfenesini, Mhe. Zubeida Khamis Shaib amefanya ziara katika kukagua miradi ya elimu ya madarasa...
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu, hiki ndio kipindi cha kufanya tafakari za sifa za mgombea anayefaa na asiyefaa kuchaguliwa kuwa kiongozi.
Wakati wa kampeni ukianza...
Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa ni Katibu Mkuu wa Chama Cha DP, Abdul Mluya amasema wao wanayafahamu maandamano kwani wao walishapigwa ila kama CHADEMA wanataka maandamano basi...
Kama ilivyoelezwa tangu awali, hatimaye ile Neema ya Maandamano ya Kupinga Ugumu wa Maisha, Dhiki na Ufukara ikiwa ni pamoja na kupinga miswada mibovu ya sheria za uchaguzi Imeingia Jijini Arusha...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama ametoa wito viongozi kuhakikisha wanawapatia wenyeviti wa Mashina wa Chama cha Mapinduzi taarifa muhimu za utekelezaji...
Wadau nawasabahi. Chama kikuu cha upinzania Tanzania Chadema kimetangaza kufanya maandamano ya amani tarehe 24 Januari 2024 ili kufikisha hoja zake kwa serikali na CCM ili ziweze kutekelezwa kwa...
Habari wanajamvi!
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikifuatilia siasa za Tanzania na kuna mengi ya kuzungumza japo muda ni mchache ila kwa hili la maandamano ya chadema yanayotarajiwa kufanyika tar 24...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.