Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Ndugu zangu Watanzania, Leo nataka niwapeni uchambuzi wangu na Elimu kidogo juu ya nani angefaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA baada ya Mbowe kung'atuka uongozini na kuruhusu mawazo mapya na fikra...
7 Reactions
112 Replies
3K Views
1. Je, katika kumpata mgombea wake wa Urais kwa muhula wa pili, CCM inataka kurudi kwenye utaratibu wake uliokuwa ukitumika wakati wa mfumo wa chama kimoja ? 1.1 Wakati wa uchaguzi chini ya mfumo...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Huu ni ukweli na mchungu kwa "Waheshimiwa" ambao waligeuka "Waishiwa" wa "Hoja" na wakaamua kukifia"Chama Cha Maslahi" CCM na kuridhia uuzwaji wa Bandari zetu nchini.kwa bei ya bure kumpatia...
14 Reactions
51 Replies
2K Views
Hapana shaka CCM ni SSH: ACT-Wazalendo ni ZZK: CHAUMMA ni HRS: CHADEMA ni nani? Maoni yangu; -Chadema wange 'vujisha' mgombea wao ili wananchi wamzoee, wampime ....kusudi, ikifika 2025...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Nchi inaenda vizuri sasa Chadema nao waanza kusikiliza kero za migogoro ya Ardhi kama Waziri Slaa. Safi sana. Waziri Slaa upo? https://youtu.be/9UCoZSg0Iv4?si=DgrXa7z7wsWBmgSt
0 Reactions
1 Replies
251 Views
Habari Tanzania! Naomba kwa kuwakumbushia kuwa endapo mkifanya mabadiliko ya KATIBA msisahu kuboresha kifungu cha umri wa RAIS kisomeke umri kuanzia miaka 30 na kuendelea. Kiukweli wananchi...
4 Reactions
81 Replies
2K Views
ZITTO ANAPOMFUNDA MBOWE KWA VITENDO. Aliyekuwa kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na mpigania demokrasia ndani ya vyama na serikali kwa ujumla Zitto kabwe aachia ngazi baada ya miaka kumi ya...
4 Reactions
33 Replies
949 Views
Ni furaha kila kona yenye watu Wenye Mapenzi Mema na Chadema baada ya kupatikana Wenyeviti wapya wa Mikoa wakiwemo Chacha Heche (Mara) na Gratian Matovu (Kagera) Kituo kitakachofuata ni...
3 Reactions
10 Replies
928 Views
Huyu ni Padri huko jimbo Katoliki,Mafinga, Iringa....Kwa sasa nyota ya SSH haishikiki, inakimbia kwa kasi ya mwanga au sauti. Si kwa wananchi wa kawaida, walimu na kila kada, kila kona ni Samia...
2 Reactions
9 Replies
590 Views
Ni miaka 62 sasa Toka Tupate Uhuru, Lakini matakwa ya Watanzania na Tanzania walioitaka Bado haijafanikwa kupatikana.. Walau hata kwa 40% Bado Nchi inajitahidi kufikisha angalau matakwa kwa 50%...
3 Reactions
15 Replies
805 Views
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo Mh Zitto Kabwe amemtaka mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Jacob Boniface ajikite kwenye mambo ya Chadema badala ya kuvamia vyama vingine Zitto Kabwe amesema wao...
13 Reactions
94 Replies
5K Views
Sheria hii inaweka masharti ya kusimamia uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, kufuta Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, 1985 na Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, 1979 na kuweka masharti mengine...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kada wa CCM na Mwandishi nguli wa Habari Maulid Kitenge amesema Makada ndani ya CCM wanataka wale wote Waliotaka kuzuia Urais wa Dkt. Samia Wabanwe Kitenge amesema Makada hao hawajafafanua...
2 Reactions
0 Replies
443 Views
Makosa ya 2015 na 2020 kupata wabunge bila Kupingwa yasijirudie tena, kuna haja ya kupata wabunge waliopita kwa jasho ili wakifika bungeni wafanye Kazi sio ndio ndio zinakuwa nyingi baadae...
1 Reactions
2 Replies
322 Views
Leo 25/03/2024 Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ameonekana kwao Hai, Mkoani Kilimanjaro, ambako amehutubia mkutano kabambe wa Hadhara kwenye eneo la SHOW VIEW kata ya Bomang'ombe . Hali ndio...
10 Reactions
45 Replies
3K Views
Sheria hii inabainisha muundo, majukumu, utaratibu wa upatikanaji wa Wajumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na sifa za Mkurugenzi wa Uchaguzi, kuweka utaratibu wa uendeshaji wa vikao vya Tume...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MBOWE ADHARIRIKA HAI, WANANCHI WAMKIMBIA UWANJANI Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa miaka 20 tangu mwaka 2000 akiwakilisha Jimbo...
4 Reactions
50 Replies
4K Views
Sonko, Faye na wengi wengine wametokea magerezani vitani dhidi ya watawala: Vita dhidi ya watawala haviwezi kuwa vya maelewano. CCM yupi ataridhiana na nani ili kwamba atoke madarakani? Labda...
11 Reactions
100 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania na Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Mheshimiwa Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Vijana wenzangu tuliozaliwa miaka ya 1980 tumeona yaliyotokea wiki hii... Senegal wameweka Rais kijana wa miaka 44 ofisini pamoja na changamoto zote za kufungwa jela na kufutwa chama za siasa...
11 Reactions
46 Replies
1K Views
Back
Top Bottom