Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jensita Mhagama (Mb) Peramiho, amewapongeza Wenyeviti wa Mashina na Kata kwa kazi nzuri wanayofanya ya kulinda na kukipigania...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yaliyoletwa na Mungu, ya kupinga Dhiki, Ufukara, Ugumu wa Maisha, Bei kubwa ya bidhaa zote ikiwemo Vyakula, pamoja na kupinga miswada mibovu...
Ujumbe mzuri sana huu, huku ndiko kuiva kisiasa.
"Nawatakia heri CHADEMA kwenye maandamano kesho Arusha. Naamini kwenye siasa za ushindani wa hoja. Nitasikiliza hoja zao zenye mashiko...
Kama mada inavyosema Mimi ni mtanzania niliyezaliwa, Kijiji Cha Nakatuba kata ya Chitengule Jimbo la MWIBARA. Nimeamua nigombee UBUNGE jimbo la Mwibara 2025.
Nimeamua kuonesha nia ya kuligombania...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida wakati wa kikao cha Tathmini cha maandalizi ya maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilichofanyika tarehe 21 February 2024 Jijini Arusha...
Kutokana na maboresho ya sheria za uchaguzi na Tume huru ya uchaguzi nakusudia kutetea kiti ya ubunge.
Nimewiwa kufanya hivyo baada ya record yangu ya maendeleo kwa wananchi kuwa nzuri sana...
Siku chache baada ya kufanyika kwa maandamano ya CHADEMA mkoani Mbeya, Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Dkt. Tulia Ackson (CCM) ametoa wito kwa wakazi wa Mbeya kuacha kuhangaika na maneno ya...
Kupitia kwenye ukurasa wao wa Instagram, Radio ya EFM imepost video inayoashiria kuwa ni kejeli kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
Kwenye video hiyo iliyopewa Title "Subiri pajae ndio upige...
Mkuu wa mkoa wa DSM mh Albert Chalamila amewataka Wakuu wa Wilaya zote 5 kipanga ratiba ya Zoezi la Usafi kila Wiki Ili kupambana na maradhi ya maambukizi
Chalamila amesema amesikia kuna baadhi...
Leo kuna threads nyingi sana za vibwengo wa uvccm kuponda maandamano ya Chadema yaliyofanyika leo kuliko threads walizoanza kuhusiana na maandamano ya awali yaliyofanyika Dar na Mwanza.
Kusema...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa Mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Homera amekuwa akiandaa njama za kudhoofisha maandamano ya chama hicho yaliyopangwa kufanyika jijini Mbeya...
Chifu wa kabila la Wasafwa jijini Mbeya Chifu Rocket Mwashinga amesema anashangaa kusikia kwenye vyombo vya habari maneno yanazungumzwa kwamba machifu wa mbeya wameungana na msafara wa maandamano...
Nianze kwa kumnukuu Hayati Mwalimu Nyerere...
Inapotokea vipindi vya uchaguzi wagombea wakiwa wanatafuta kura, pamoja na sera nzuri za kujiuza wanazokuwa nazo, pia huweza kutumia njia nyingine...
Leo Tarehe 15 feb 2024 ni siku ya baraka Jijini Mwanza, baada ya umati wa wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki maandamano ya amani ya kupinga ugumu wa maisha n miswada mibovu ya sheria za...
Maandalizi ya maandamano ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Mwanza yamefikia asilimia 90 huku miongoni mwa waliothibitisha kushiriki ni mwanasiasa mkongwe, Dk Wilbrod Slaa...
Katika maandamano yaliyofanyika Mwanza, Februari 16, 2024, Freeman Mbowe amesema
"Tuna uwezo wa kufanya maandamano ya amani, lakini vilevile tuna uwezo wa kufanya maandamano ya shari.
Nawaambia...
Kamati ya Amani na Maridhiano inayoongozwa na Sheikh Alhad Musa Salum imesema siyo Haki Chadema Kufanya Maandamano wakati Huu nchi ikiwa Kwenye Misiba mitatu mikubwa
Kamati hiyo imewataka Chadema...
CHADEMA kikiwa ndio chama kikuu cha upinzani na chama ogopewa na watawala wa CCM kimepanga maandamano huko Jijini Mwanza.
Kuna waandishi wa habari wabaadhi vyombo vyenye heshima kubwa wamepewa...
Natoa kongole kwa maandamano ya CHADEMA, maandamano yenu mmemaliza kwa kundi moja tu. Maandamano ni hatua, maandamano yenu leo ni hatua, hatua ya kwanza mmemaliza kuwakutanisha watu wa mijini hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.