Naibu waziri mkuu na waziri wa Nishati anatuambia nchi Ina umeme wa ziada, Cha ajabu kukatika kwa umeme kupo pale pale. Huku Arusha wilaya ya Arumeru halmashauri ya Meru tangia usiku mpaka sahizi...
Kwanza nitoe pongezi kwa viongozi wote waliochaguliwa na kuteuliwa katika uchaguzi huu wa CDM 2025 .
Pili mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi mkuu , pesa zinahitajika sana na adhani hutuna uhakika...
Baadhi ya vijana wa UVCCM kutoka mkoa wa Kilimanjaro wameeleza kutoridhishwa na uteuzi wa Rais na Makamu wake kwa mwaka 2025.
Kauli zao zinaonyesha kushangazwa na sababu za kutekelezwa kwa...
Wakuu,
Januari 21 ulifanyika Uchaguzi Mkuu CHADEMA kwenye nafasi ya Mwenyekiti na Makamu Wenyeviti kwa Bara na Zanzibar, ambako Lissu alitangazwa kuwa Mwenyekiti mpya CHADEMA, siku hiyo pia...
Nimemuona Lissu anawashambulia sana akina Halima Mdee na wenzake badala ya kutengeneza Mazingira rafiki ya kurudisha wale Viongozi ambao CHADEMA imetumia muda wake mwingi kuwaandaa, na hasa...
Chama cha ACT–Wazalendo leo tarehe 05 Agust 2020 kinafanya Mkutano wake Mkuu Diamond Jubilee–VIP Hall.
#MkutanoMkuuACT2020
#KaziNaBata
#TheFutureIsPurple
=====
UPDATES
======
#UCHAGUZI2020...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameongoza kwa mafanikio matembezi ya kuunga mkono maamuzi ya Chama kwa kuteua Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt...
Na Mwandhishi Wetu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas amewahamisisha Wataalamu wa utafiti wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI), kuandaa miradi mbalimbali...
1:Chaguzi Dodoma vs Mlimani city.
Hapa naipongeza chadema kama chama,wajumbe kama watoa maamuzi na wagombea Kwa kuwa kuonyesha utayari wa kupokea matokeo yoyote ambayo wangeyapata.
PONGEZI zaidi...
MJEE/MZEE WA MUSOMA.
Katika wilaya ya Musoma kuna eneo mashuhuri kwa uvuvi na shughuli za kilimo linaitwa Majita,hili ni eneo linalokaliwa na Wajita kwa sehemu kubwa na Wakwaya ambao pia ni jamii...
Kahama, Tanzania
TANZANITE NI RASILIMALI INAYOPATIKANA TANZANIA PEKEE, HIVYO TUWEZE KUONGEZA THAMANI
YAKE
https://m.youtube.com/watch?v=TAir66Cw5X8
Sekta ya madini tupo nyuma katika kuongeza...
Msemaji wa Serikali Mh Msigwa amesema kimsingi ATCL inapata Faida kutokana na kusababisha Watalii kuongezeka mara Sugu
Msigwa amesema huwezi kupima faida ya ATCL Kwa kuangalia mauzo ya ticket...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Serikali tayari imeshanunua treni 10 za mchongoko ambapo treni 8 zimeshawasili na...
▪️Awapatia miradi ya Kiuchumi na kutunisha mfuko wa Kikundi.
▪️Wafanyabiashara wamshukuru kwa kuwajali na kuwaendeleza kiuchumi
▪️Wampongeza Rais Samia kuboresha miundombinu ya masoko Jijini...
Mbowe ameumiza watu wengi sana kwenye hizi siasa za Upinzani safari hii asiruhisiwe kabisa.
Mzee Mbowe Kamfukuza Zitto Kabwe Kisha jamaa kaanzisha chama Cha ACT Wazalendo Sasa Kinaongoza Serikali...
Prediction: Huo mkono wa huyo kijana naona kama una ujumbe fulani au hoja kinzani
Prediction: Naona mpaka mpambe wa Rais anasubiri amri tu hapo......
Disclaimer:
Picha haina lengo la...
Ni kauli ya kushangaza kidogo kama mahakama Haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo Watuhumiwa mmewapeleka hapo kufanya Nini kwanini wasiende moja kwa moja mahakama yenye nguvu kisheria ya...
Huyu Tundu Lissu ni mwanasiasa mwenye uchu sana na madaraka na ninawasi wasi na jinsi alivyomtuhumu Mbowe kuendesha siasa za maridhiano kama kweli ilitoka moyoni au alitaka kupata uungwaji wa...