Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wakuu, Hawa CWT si tawi la CCM? Imekuaje tena wanalalamikia chama chao kwenye majukwaa? ======================== Makamu Wa Rais Chama Cha Walimu Tanzania ( CWT ) Ndugu Suleiman Mathew Ikomba...
0 Reactions
3 Replies
132 Views
Heshima,hadhi na nguvu ya Taifa la Tanzania haikuja kwa majaliwa ya Mwenyezi Mungu ila ilikuwa ni kutokana na umadhubuti,dhamira ya dhati na utashi ambao Waasisi wetu wa Taifa walilijenga...
0 Reactions
0 Replies
53 Views
CCM ndiyo inayoongoza Serikali. Lolote baya au zuri linalofanywa na Serikali, CCM inabeba uhusika mkuu. Jukumu la kwanza la msingi kabla ya mengine yote kwa Serikali yoyote halali Duniani, ni...
1 Reactions
0 Replies
125 Views
Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Masaai amewashambulia wanaodhaniwa kuwa ni watia nia. Mbunge huyo amedai kuwa watu wastaafu hawapaswi kugombea ubunge. Akiongea katika mkutano na wananchi...
1 Reactions
11 Replies
351 Views
Kutokana na kuwepo kwa vikundi vingi vidogovidogo vya wajasiriamali vinavyozalisha bidhaa mbalimbali ikiwemo za vyakula wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro, vikundi hivyo vimeahidiwa kutafutiwa...
0 Reactions
0 Replies
50 Views
Mheshimiwa Balozi nikipata nauli nakuja kukupa hi hapo ubalozini, Andaa Suti kabisa tusalimiane ukiwa tumevaa suti , ingae Kama ya Makatibu katibu wakuu fulan hivi Aisee wanajukwaa Karibuni...
24 Reactions
109 Replies
6K Views
Kwa yanayoendelea nchini miaka mitatu ya serikali hii ya Chama hiki na mwenendo' na kauli za Vijana wa Chama hiki, kusema mnajali UTU ni uongo mchana kweupe. Watu waliopotezwa na kuuawa chini ya...
2 Reactions
5 Replies
260 Views
Najiuliza swali kubwa sana kwa aina ya baadhi ya waumini wa pande zote mbili wanavyochuliana kimoyo moyo na kuchekeana kinafiki mdomoni je ni sahihi kwa Kiongozi wa nchi kuchangisha Pesa ya...
2 Reactions
4 Replies
150 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
110 Views
Matukio katika picha wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chama kinachoendelea muda huu Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam. Kikao hicho kinaongozwa na mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu...
19 Reactions
62 Replies
3K Views
Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) wa 39 Ukumbi wa Jakaya Kikwete -Dodoma Machi 11, 2025...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Serikali ya CCM ni moja ya Serikali za Africa zinazo ishi kwa anasa kubwa sana, na katika vitu ambavyo Watawala wetu hawataki kusikiai ni kuishi ndani ya uwezo wa nchi. Ruto kwa mwaka unao...
4 Reactions
13 Replies
696 Views
  • Redirect
Utangulizi Kuweka ukomo wa vipindi viwili vya miaka mitano kwa nafasi za ubunge/uwakilishi na udiwani wa viti maalum wanawake ni hatua ambayo inazua maswali mengi na hofu miongoni mwa Watanzania...
0 Reactions
Replies
Views
Utangulizi Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, masuala ya viti maalum vya ubunge na udiwani yanazungumziwa kwa nguvu, lakini kuna maswali mengi yanayoibuka kuhusu uhalisia wa sera hii...
0 Reactions
5 Replies
391 Views
Mama Samia amekuwa akisifiwa na kupambwa kila mahali hapa nchini. Watu wanaomsifia mama, hawatekwi, hawapotezwi, wanapata nafasi za uoendeleo na teuzi kedekede. Lakini kwa wakosoaji hali ni...
12 Reactions
56 Replies
1K Views
Wanabodi Declaration of Interest Mimi Paskali sio GT, ila naweza kuandika contents kwa ajili ya ma GT only. JF ilipoanzishwa na Mkuu Maxence Melo na Mike Mushi, was meant to be a home of Great...
64 Reactions
265 Replies
23K Views
  • Redirect
Kauli Mbiu rasmi ya CCM kwa ajili ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 "KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE"
1 Reactions
Replies
Views
Naomba sana Mama yetu sisi walimu utumumbuke kwa kuongeza mishahara mwaka huu!Kumbuka mwaka juzi ulitupanga tu!Kumbuka mwaka huu tunafanya masmuzi kwenye box
0 Reactions
0 Replies
95 Views
Kwa miaka mingi, Watanzania tumeendelea kushuhudia mfumo wa uchaguzi usio wa haki, usio na usawa, na usioakisi matakwa halisi ya wananchi. Tumeshuhudia jinsi mchakato wa uchaguzi unavyotawaliwa na...
0 Reactions
0 Replies
46 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Mkoani Arusha, tarehe 08 Machi, 2025 amesema sherehe hizo zitakuwa zinafanyika...
10 Reactions
116 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…