Mwaka 2010, Tundu Lissu aligombea kwa mara ya kwanza nafasi ya ubunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA akiwa na umri wa miaka 42. Mgombea wa Urais wa CHADEMA alikuwa Dr. Wilbrod Slaa na...
Waziri Kitila Mkumbo akihojiwa na Wasafi FM amesema kuwa Boniface Jacob hana uwezo wa kumshinda katika Ubunge jimbo la Ubungo. Anatia huruma sana, Hata kushinda kura za maoni ndani ya chama chake...
Huyu mwamba alipaswa kuwa Bungeni ili awe bize kujadili mambo ya Bungeni. Asahau mengine. Huku kukaa nje ya Bungeni kumemjenga Sana. 2025-2029 veggies tujipange
Nimefatilia sana nikaona Saikolojia ya Waandishi wa Habari yaani vile wanavyojisikia pindi wawapo na mazingumzo au mahojiano na Mwenyekiti Wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mh Tundu Antiphas...
Wakuu,
MBUNGE WA ARUMERU MAGHARIBI - Noah Lemburis Saputi Mollel
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Elimu:
Shule ya Msingi Olturumet (1986)
CSEE, Shule ya Sekondari Ilboru (2012)
Cheti cha...
Chama cha Demokrasia na Maendelea kimefanya uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa Chama Taifa, licha ya chaguzi zingine kufanyika ndani ya Chama ila mafahari hawa wawili walitikisa anga la Siasa ndani...
Nimepenyezewa taarifa jana usiku na mdau wangu kwamba Lema ndio anaye shinikiza na pia hadi kuratibu ba kutoa orodha ya wanachama wa kufukuzwa ndani ya Chadema hasa wale ambao alikuwa haelewani...
Kama kichwa cha habari kinavyosema wakuu.
1 John Joseph Pombe Magufuli a.k.a JIWE R.I.P jiwe waliokuchukia wapo hoi bin wa taabani.
2 Kim Jong UN π₯π₯π₯π₯π₯
3 Vladimir Putin π₯π₯π₯π₯
4 Ibrahim...
Tanzania = Tanganyika + Zanzibar π
β’ Mke wa Mwl, Julius K. Nyerere, Maria Nyerere.
β’ Wake wa Ali H. Mwinyi, Sitti na Khadija Mwinyi.
β’ Mke wa Benjamin W. Mkapa, Anna Mkapa
β’ Mke wa Jakaya M...
TAARIFA KWA UMMA
Wizara ya Elimu iwache kuwatumia wanafunzi katika shughuli za CCM
ACT Wazalendo tunalaani vitendo vinavyoanza kushamiri kwa kasi vya kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za...
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) imezinduliwa rasmi tarehe 24 Januari 2025 katika mikoa sita ya Tanzania, ambayo ni Kigoma, Geita, Kilimanjaro, Tabora, Katavi, na Mtwara...
Leo huko DODOMA wametangaza rasmi wagombea wa CCM wa nafasi ya rais wa JMT na rais wa Zanzibar.
Kama mnavyojua kwenye siasa hakuna kitu cha bahati mbaya, ni dhahiri huo mpango wa kumpitisha Samia...
Dada Catherine, wee ni Moja ya Wanawake makini, wachapa Kazi ,wawazi, na Wafia chama ,majasiri na makini.
Inawezekana ni kupitiwa tu na ushawishi , Binadamu tunakosea.
Ninaamini Kwa Kariba yako...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema maeneo yanayopata mvua za chini ya wastani hadi juu ya wastani yanatarajiwa kuwa na matukio ya hali mbaya ya hewa, kutokana na mabadiliko ya hali ya...
Wakuu,
CCM soon inaelekea kutimiza miaka 50. Lakini kuna mambo ndani ya chama hicho bado haya-make sense kabisa.
Kwa hivi karibuni, huko Dodoma kulikuwa na tukio la kumsimika Steven Wasira kama...
Amani iwe nanyi wana wa MUNGU
Leo nikifatilia kongamano la Ekaristi takatifu nimemuona baba Padre Kitima akiwapandisha madhabahuni katibu mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi, Katibu Mkuu wa CHADEMA...
Wakuu,
Nimekaa nimetafakari sana Tundu Lissu ataiongozaje CHADEMA wakati anaishi Ubelgiji? Mke wake anafanya kazi huko na watoto wake wanasoma huko sio rahisi kuondoka kawa ghafla sasa huyu...