Kamati ya Siasa Mkoa wa Kilimanjaro imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa maji unaosimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi MUWSA
Mradi huo unaogharimu Tshs; Milioni...
Wakuu
Machawa wameunganisha nguvu mpaka kisiwani na kushiriki Pilau Day. Hawa wanasiasa wanachukulia poa uchawa lakini baadae utawageukia baada ya wananchi kuamua kubadilika na kuupizia porojo...
Rais Samia akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa LPG Terminal GBP GAS-Tanga, leo tarehe 01 Machi, 2025.
https://www.youtube.com/live/yU7aLIfGklo?si=e92RxILwhAd_xAwv
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Mwanasiasa na Waziri Mstaafu, Sophia Simba, amesema ni wakati muafaka kwa wanawake waliokaa muda mrefu kupitia Viti Maalum Bungeni kuwaachia nafasi vijana ili kuendeleza harakati za uwezeshaji wa...
Hellow Tanganyika!!
Akihojiwa kuhusu ushirika wake kumleta chamani Lowwassa, amedai ,Yeye na Mnyika walipewa taarifa juu ya ujio wa Lowassa mwishoni kabisa, hivyo wasingekataa,
Alipoulizwa...
Machache lakini mazito
Soka na wenzake wanasadikiwa kukamatwa na jeshi la polisi. Soka aliitwa kufuatilia pikipiki yake iliyopo polisi (ni vigumu raia kujua taarifa za kitabu cha RB cha polisi)...
Simba wa Kizimkazi mh Tundu Antipas Lisu amepeleka kilio chake kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia juu ya kutekwa na kupotea kwa kijana Deus Soka
Makamu Mwenyekiti huyo wa CHADEMA...
Wanaharakati wa haki za binadamu na wanachama wa CHADEMA wamekuwa wakipaza sauti kupitia X kijana wao Deusdedith Soka kuchukuliwa na wanaosemekana na polisi na mpaka sasa hajulikani alipo.
Vijana...
Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi, Mwanza.
Ameandika Martin Maranja Masese
Amani Manengelo ni kiongozi wa...
Hamis Lisu, mmoja wa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Ikungi, mkoani Singida, ameamua kutogombea ubunge wa jimbo la Singida Magharibi.
Uamuzi huo umetokana na kile alichosema kuwa...
Wakuu,
Baada ya Rais Samia jana kuonekana akiwa anakula vitumbua, msanii Steve Nyerere amezindua Challenge mitandaoni ya kuitwa "Vitumbua Challenge" kama mnavyoona pichani
Muda mfupi baadae na...
Wakuu
Baada ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, kudai kuwa chama hicho kimezuiwa kufanya mkutano wake uliopangwa kufanyika jioni ya leo, Februari 27, 2025, katika hoteli ya Sea...
Ni jambo la busara kuwawezesha akina Mama katika uteuzi wa viti maalum Bungeni. Wanapokuwa Bungeni wanapata uzoefu jinsi ya kuongoza na kuishi na jamii kwa ujumla.
Pamoja na mazuri yote...
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga tarehe 28 Februari, 2025.
Rais Samia akihutubia wananchi Uwanja wa Mkwakwani-Tanga Februari, 2025
https://www.youtube.com/live/Lqk6B8qSCoI?si=2Z5y6iUkJ_BXBm31
Mbunge wa Tanga Mjini, Ummy Mwalimu, amemuomba Rais Samia...
Kipindi Mzee Slaa alipoulizwa ni nani alimpiga risasi Lissu, akasema ni Chadema wenyewe na Lissu anajua. Imepita takriban miaka nane Slaa anatuambia yupo tayari kurejea CHADEMA. Je, ni nani...
Mkoa wa Arusha tayari umeanza shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha siku ya Wanawake duniani kinachotarajiwa kufanyika Machi 08, 2025 kwenye uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid Jijini...
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, amejibu mashambulizi yanayohusiana na wito ulioibuliwa na baadhi ya madiwani wa jiji la Arusha wakimuomba Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda...
RC Chalamila akiongea katika Kongamano la maombi ya kuliombea Taifa pamoja na kumuombea Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan linalofanyika katika viwanja vya leaders...
Baraza la Vijana la Chama cha Mapinduzi CCM Mkoani Kagera limewataka Vijana mkoani humo kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Octoba Mwaka huu 2025.
Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.