Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyikasiku ya Jumapili Machi 2, 2025...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
Wakuu, Mapema leo Naibu Katibu Mkuu wa ACTWazalendo -Zanzibar Omar Ali Shehe alidai kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Hadija Anuwar alitekwa na watu wasiyojulikana wakati wa uandikishaji...
1 Reactions
9 Replies
279 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) amesema Vyombo vya Habari vyote nchini...
2 Reactions
2 Replies
259 Views
Nimeamini msemo wa Vunja mifupa ungali meno iko. Huyu ni aliyekuwa Waziri wa Afya Ummy Mwalimu. Adabu kama zote. Hadi Jokate anamshangaa Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi...
14 Reactions
90 Replies
6K Views
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman amewapokea na kuwakaribisha Chawa wa Rais Samia huko Zanzibar na kuwaahidi kuwa Serikali ipo nao na inaunga mkono mambo wanayofanya. Aidha...
5 Reactions
17 Replies
664 Views
Jumapili MKOA wa Singida unatarajia kuyatumia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kila mwaka Machi 8, kwa kugawa mitungi ya gesi 29,000 yenye bei ya ruzuku kwa wanawake ikiwa ni...
1 Reactions
4 Replies
146 Views
Hii nchi na viongozi wake wanasikitisha sana. Moja kati ya 4R alizokuja nazo Rais Samia ni Mabadiliko (Reforms). Samia alisisitiza mabadiliko katika sekta mbalimbali ili kuboresha maisha ya...
7 Reactions
9 Replies
302 Views
Chama cha Mapinduzi (CCM), kimetoa onyo kwa watu wote wanaojipitisha katika majimbo kutaka ubunge kabla ya muda sahihi, hivyo kitawashughulikia. Akizungumza katika uzinduzi wa ofisi ya CCM Wilaya...
1 Reactions
5 Replies
229 Views
Hellow Tanganyika! Akizungumza baada ya kuachiwa huru DPPP akiingia mitini Kwa madai kuwa, Hana Nia ya kuendelea na kesi, Dr Slaa amedai kuwa ,kilichomuondoa CHADEMA 2015 sasa hakipo. Sasa...
11 Reactions
109 Replies
3K Views
Askofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano...
15 Reactions
34 Replies
1K Views
Viongozi mbalimbali wa Dini wakiwa katika Viwanja vya Leaders tayari kwa ajili ya maombi ya Kitaifa ya kuliombea Taifa Amani pamoja na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Samia Suluhu...
4 Reactions
47 Replies
2K Views
Serikali imejenga shule mpya 171 na vyumba vya madarasa 3,300 kwa Mkoa wa Geita kwa kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan lengo likiwa kuwaondolea wanafunzi adha ya...
1 Reactions
3 Replies
145 Views
Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wilayani Nyangh'wale Mkoani Geita wameaswa kutojiusisha na Vitendo vinavyoweza kupelekea kuvunja amani sambamba na kutojihusisha na Shughuli za kiuhalifu . Kupata...
0 Reactions
0 Replies
82 Views
Zaidi ya watu 140,000 wanatarajiwa Kuandikishwa katika Daftari la kudumu la Mpiga kura Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
0 Reactions
0 Replies
89 Views
MJUMBE wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa kupitia mkoa wa Kilimanjaro, Victor Makundi amekitaka Chama cha Wanasheria nchini, Tume ya maadili ya Mawakili na Mahakama kuu...
0 Reactions
11 Replies
684 Views
Tundu Lissu bado anawaamini wajomba wa nje kwa kuwapelekea malalamiko yake. Rais Trump ni chaguo la Mungu pale anapotufundisha kuwa ili kupambana na ukoloni mamboleo basi uwe na MISULI yako...
1 Reactions
14 Replies
490 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema wapo baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wanaounga mkono kauli ya chama hicho ya bila mabadiliko hakuna uchaguzi inayojulikana kama...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Daraja la Mto Pangani na Barabara ya Bagamoyo (Makurunge), Saadani, na Tanga Pangani. Ujenzi wa Daraja la Mto Pangani utagharimu...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitembelea Bandari ya Tanga na Kuzungumza na Wafanyakazi wa Bandari, leo tarehe 01 Machi, 2025. --- Rais wa Jamhuri ya Muungano...
0 Reactions
12 Replies
473 Views
Ikiwa imebaki miezi michache kipyenga cha uchaguzi kupulizwa viongozi pamoja na wanachama wa CCM mkoani Geita wamepewa angalizo kuepuka makundi yanayoweza kusababisha mpasuko na badala yake...
0 Reactions
0 Replies
101 Views
Back
Top Bottom