Mwenyekiti wa Wabunge wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mbunge wa Viti Maalum, Mariam Kisangi amesema, ziara waliyoifanya kwenye baadhi ya viwanda mkoani Pwani wakiambatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema vyama ya ukombozi kusini mwa Afrika viendeshwe Kwa kuzingatia mahitaji ya wakati huu bila kusahahu shabaha ya...
Waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia,wanawake na makundi maalum Doroth Gwajima amesema kuwa serikali inampango wa kuifanya siku ya wanaume duniani 19 november kuwa rasmi kwa maadhimisho ya siku...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Ujenzi kukaa na Wizara ya Uchukuzi kukubaliana kwa pamoja kutafuta mwekezaji atakayeshirikiana nao...
Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Ajira,Vijana na watu wenye ulemavu,ameshiriki na wananchi ujenzi wa msingi wa Zahanati ya...
Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM Viti vitatu Bara Ndg. Shamira Mshangama katika ziara yake ya Mkoani Dodoma ametembelea na kukagua ujenzi wa nyumba ya Katibu na kuchangia tofali 500 na mifuko 10 ya...
Wakuu
Mbunge wa Viti Maalum, Sylvia Sigula, amezindua kituo cha mafunzo ya ushonaji, urembo, mapambo, na ujasiriamali kwa vijana wa Mkoa wa Rukwa, ikiwa ni hatua ya kuwawezesha kujiajiri na...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda ameishukuru Wizara ya Katiba na Sheria kwa kuona umuhimu wa kuendesha mafunzo hayo na ni wazi kuwa mafunzo hayo yataongeza uelewa na tija kuhusu masuala ya...
Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa umoja huo, Rehema Sombi wamempigia simu Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakimkaribisha mkoani humo ambapo...
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amesema kuwa maridhiano ndani ya vyama vya upinzani yamekuwa yakileta madhara na kuwajeruhi, na kwamba wamejifunza kutokana na...
Wakuu,
CHAMA cha National League for Democrats (NLD) ,leo jumapili kimetangaza kuanza kwa mchakato wa ndani ya chama wa kuwapata wagombea wa nafasi za Udiwani, Ubunge na Rais kuelekea Uchaguzi...
Wananchi wa Jimbo la Muhambwe Mkoa wa Kigoma amefurahishwa na maamuzi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM 2025 yaliyompitisha Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea Urais wa Tanzania katika...
Wakuu
Huko Arusha, Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda amesema kuanzia Jumatatu Machi 3, mpaka Machi 7 kila Mwanaume wa Arusha am-post mpenzi au mke wake kwenye mitandao ya kijamiii kuonesha upendo...
Kuna namna nchi yetu ipo jalalani tena pakubwa mno.
Jana nilipoona mjadala kati ya Chadema na wahariri wa vyombo vya habari nikajikuta nakumbuka haya:
1. Hivi mara ya mwisho kuwa na mjadala wa...
Mwenyekiti wa Chairman Mh. Tundu Lissu ni kiongozi wa chama aliyebeba maono ya wengi humu JamiiForums. Ni maono ya kuiona Tanzania ikipiga hatua. Tofauti na kiongozi wengi wa serikali na CCM...
Akiwa anachambua kauli ya No Reforms No Election, Zungu ambaye ni mchambuzi maarufu wa siasa nchini amesema na mtangazaji wa kipindi cha Morning Bantu cha ST Bongo amesema:
"Kama...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani Juma Kassim Ndaruke ametoa rai kwa wa Umoja wa wanawake wa Chama cha Mapinduzi Kibiti kusimama kidete na Rais Dkt Samia Suluhu...
Lissu amesema watatumia njia mbalimbali kuzuia uchaguzi, ameeleza pia no reform no election maana yake siyo kususia uchaguzi.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila...
Ziara ya Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe yazidi kupamba moto Jimboni akiongozana na Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya na Sekretaileti ya CCM Wilaya ya Kibondo chini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.