Serikali imeidhinisha matengenezo ya barabara za Mkoa wa Mara kwa jumla ya shilingi Bilioni 42.166 kwa mwaka wa fedha 2024-2025.
Kauli hii imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi...
Marekani ndio nchi iliyoanzisha democrasia katika mfumo wa vyama vingi.
Marekani kupitia IMF , WORLD BANK, wameineza sera ya democrasia, katika nchi masikini kuanzia miaka ya 1980s. Nguvu ya uma...
Taifa lina utani sana hili yani watu wenye matatizo wananmchangia mtu mwenye pesa akaendelee kuzichota pesa. Na hawa wamefanya hivi kwa sababu hiyo maboboda yenyewe wamepewa na Tulia huyo huyo...
Paul Makonda ni kama anaendelea kujitengenezea jina huko Arusha kwa ajili ya ubunge.
===
Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda, akimshika mkono kijana mjasiriamali anayeuza nyanya mitaani, ishara ya...
Katika kuendelea kuwafanya Watanzania ni wajinga na watu wasiojua chochote, nimewasikia Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephen Wassira na Mwenezi wao Amos Makalla wakidai kuwa, yalishafanyika...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameeleza kuwa baadhi ya viongozi serikalini wamekuwa wakitumia mizengwe dhidi ya watu wanaoibua ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma.
Akizungumza katika...
Umoja wa madereva wa bodaboda wa Mbeya Mjini umemtaka Mbunge wa Jimbo hilo, Dkt. Tulia Ackson, kurejea kugombea tena Ubunge wa Jimbo hilo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 ili aendelee na kazi...
Mwanasiasa mkongwe na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbrod Slaa, ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya No Reform, No Election, akisema kuwa si msimamo...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina ameeleza kuwa baadhi ya viongozi Serikalini wamekuwa wakitumia mizengwe dhidi ya watu wanaoibua ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma.
Akizungumza katika...
"Msikate TAMAA kabisa , endeleeni kutuma pesa hata kama mnakutana na changamoto kama hizi. Mwisho wa uhuni umekaribia sana." - Godbless Lema
Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema uchaguzi mkuu mwaka huu utafanyika kwa mujibu wa katiba na sheria kwani...
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti ametoa wito kwa wananchi kutowachagua wabunge ambao hawakuwa wakifanya ziara katika majimbo yao na sasa wameanza kusogeasogea kipindi hiki cha uchaguzi...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Mimi nilikuwa ni pro Lissu alipokuwa anapambana na FAM
Lakini kusema ukweli so far sijaona kipya.
Juzi nilikuwa namsikiliza akizungumzia njia atakazotumia kustopisha Uchaguzi. Lissu bado...
Wakuu,
Lissu anaposema No Reforms No Election ndo huwa anamaanisha mambo haya.
Huyu baba alizunguka Kisesa yote kipindi hicho na bado akapata kura 0
Hii ni ishara tosha kuwa CUF inatakiwa...
Wakuu anayejua pigo la radi aje atuelezee linavyokuwa, ili tupate picha ya kitakachotokea hiyo October.
===
Mjumbe wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Victor...
“Hao wanaojitoa ufahamu kwamba No reforms no Election hayo ni maneno ya kwenye kanga, Reforms zinafanywa na bunge ni mambo ya kisheria, naomba msidanganywe tupo tayari kwa uchaguzi, na hao...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho kinaendelea kujipanga kwa uchaguzi ujao, huku akibeza kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
“Asilimia kubwa ya vijana ambao wanatekwa ni vijana wa upinzani ni vijana WanaCHADEMA ni vijana wanaharakati.
Kwa kuwa watu wanaotekwa ni watu wenye mrengo huu wa kimageuzi ni watu wanaoiunga...
Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku. Chadema mpya hongereni na harakati za kuleta mabadiliko ya kikatiba kwa Tanzania.
Tumeona nia yenu ni njema sana ktk kuleta na kupigania haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.