Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew tarehe 3 Machi, 2025 amekabidhi Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora baada ya kuikarabati kwa...
Mbunge wa Viti Maalum Sylvia Sigula amezindua kituo cha mafunzo ya ushonaji, urembo, mapambo na ujasiliamali kwa Vijana wa Mkoa wa Rukwa lengo likiwa ni kutoa mafunzo na vitendea kazi kwa Vijana...
Mwanachama wa ACT Wazalendo ambaye pia ni Waziri Kivuli Ofisi ya Waziri Mkuu- Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira, Ndolezi Petro amesema wanamuunga mtu yeyote anayekuja na hoja ya mabadiliko kwa...
Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imesema katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 hakuna mtu ambaye atazuia wala kuleta vurugu katika uchaguzi huo huku Jumuiya hiyo...
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Levina Rajabu mkazi wa kata ya Bondeni katika mji mdogo wa Bomang’ombe wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro amesema endapo atafariki dunia kabla ya uchaguzi...
Leo mheshimiwa Lissu amelihutubia Taifa na kulieleza hatua kwa hatua juu ya uamuzi wa chama cha CHADEMA kuwa KAMA HAKUNA MABADILIKO YA MSINGI KWENYE KATIBA NA SHERIA zinahosu uchaguzi nchini basi...
Kama una akili timamu na unawaza kwa kutumia kichwa na sio tumbo (maslahi binafsi) utagundua kuwa Nchi yetu imefika hatua mbaya sana.
Kiongozi yeyote anapojua kuwa sio kura za Wananchi...
Freeman Mbowe ndio mwanasiasa wa upinzani mahiri kuwai kutokea tangu Tanzania iumbwe, anaebisha ilo ni mjinga.
Amewaacha mbali sana wanasiasa wote wa upinzani mtu pekee aliyekuwa anamkaribia...
Wakuu,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene (Mb), amesema Mawaziri Watatu, akiwemo yeye, Waziri wa TAMISEMI, na Waziri wa Elimu...
Mwandishi wa Habari Pascal Mayalla amshauri Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kutembelea jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati.
Mweyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kibiti, Juma Kassim Ndaruke ametoa rai kwa wa Umoja wa Wanawake wa chama hicho Wilayani Kibiti kusimama kidete na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, Amos Makalla ameshangaa hofu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kutotaka...
Mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia tiketi ya CHADEMA, Aida Khenani apokelewa kwa kishindo Jimboni kwake akielekea kwenye maadhimisho ya siku ya Wanawake duniani ambako leo Machi 04, 2025 Wanawake...
Mwenyekiti wa taasisi ya Samia Us, Geoffrey Kiliba ambaye pia ni Mwanafunzi wa chuo cha DIT akiambatana na wanafunzi wenzake wamepinga vikali kauli iliyoasisiwa na Chama cha Demokrasia na...
Wakuu aliyekuwa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti CHADEMA Taifa, Odero Odero alipofanya mahojiano na Edwin Odemba amegusia suala la wale wa kila jambo tunamshukuru mama, tunamshukuru Rais, yani...
Katika Hali ya Kutia Moyo na kuonyesha mshikamano kwa kiongozi wao, Wananchi wa Kata ya Katangara Mrere wilayani rombo Mkoani Kilimanjaro wameamua Kufanya maombi kwaajili ya kumuombea Mkuu wa...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, ameyasema hayo leo katika Mkutano wa viongozi wa chama na jumuiya ngazi ya...
Wanabodi ,awali ya yote nawatakia Mfungo mwema wa Ramadan na Kwaresima inayoanza kesho.
Bado kama mtanzania naona kitendo Cha Mama kumpendekeza na kupitishwa kwa Dr Emanuel Nchimbi kuwa mgombea...
Katibu wa NEC, Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA. Amos Makalla akizungumza na Wanachama maeneo ya Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam, alipokuwa kwenye mkutano na Mabalozi, Viongozi wa...
Ndio unaweza niita Mkoloni au Mfuasi wa Mfumo Dume , Vyovyote vile iwavyo, ukweli ni kwamba, Kuna Nafasi za Kiuongozi na Kiutendaji hazitakiwi kupewa Wanawake Kwa sababu tu ni Wanawake !!.
Badala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.