Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

"Mjadala juu ya urithi wa Baba wa Taifa kwenye katiba na siasa za Afrika Mashariki kwenye chuo kikuu chake cha kwanza. Wakati UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako...
12 Reactions
65 Replies
2K Views
Wakuu, Mbunge wa Jimbo la Mchinga na mke wa Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Mama Salma Kikwete, amesema kuwa moja ya kumbukumbu asizoweza kusahau maishani mwake ni wakati wa kuhesabiwa kura...
3 Reactions
16 Replies
751 Views
Naam, saiti hali ni tofauti kabisa na wanachosema viongozi wa chadema wanaokaa mikocheni wakiota ndoto za alinacha, saiti inamkubali Samia kwa asilimia kubwa, na ni atazuia uchaguzi?tunasema...
0 Reactions
3 Replies
175 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema kuwa chama hicho kipo tayari kwa mchakato wa kupata Katiba mpya ya Jamhuri ya...
0 Reactions
11 Replies
377 Views
"Tanzania ni nchi tajiri sana,Tanzania kwa gesi asilia duniani ni nchi ya 82, Tanzania duniani kwa makaa ya mawe ni nchi ya 50 kwa dhahabu ni nchi ya 22, kwa almasi ni nchi ya 10 kwa helium gesi...
1 Reactions
4 Replies
174 Views
Kwa jinsi ninavyoiona hoja ya CHADEMA ya no reform no election haija kaa vizuri inalenga kukiua chama moja kwa moja. Hoja ambayo ni practical na ingekuwa na mashiko ni kuelemisha wananchi wazuie...
5 Reactions
54 Replies
883 Views
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameendelea na zoezi la kutoa mitaji kwa akina mama wa Jimbo la Buchosa, ambapo leo alitoa shilingi milioni 2 kwa akina mama wa Kata ya Kalebezo. Kupata taarifa...
0 Reactions
9 Replies
169 Views
Wakuu Mawaziri wakisakata rhumba :BRUHMM: Waziri wa Maji, Jumaa Aweso na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa wakicheza muziki Jukwaani huku wakiwa na vikapu kichwa wakati wa...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bi. Zainab Telack, ameiagiza Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi, kuwa makini na usimamizi wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu. RC Zainab ametoa...
0 Reactions
4 Replies
204 Views
Chama cha ACT wazalendo kimeamua kuwashitaki viongozi wanaotumia vibaya madaraka yao kwa kukamata watu kinyume na sheria na kuwapiga pamoja na kuingia zoezi la uandikishaji wapga kura...
0 Reactions
1 Replies
125 Views
Mbunge pekee wa CHADEMA, Aida Khenani kutokea jimbo la Nkasi Kaskazini amesema kuwa fedha za maendeleo zinazotolewa siyo za CCM kama wanavyojinasibu bali ni fedha za wananchi. Amesema pia...
2 Reactions
4 Replies
297 Views
ANGELINA MABULA ATUHUMIWA KUTENGENEZA MPASUKO CCM, UBADHIRIFU WATAJWA Mbunge wa jimbo la Ilemela mkoani Mwanza, Angelina Mabula ameingia katika vita kubwa na viongozi wenzake wa Chama cha...
1 Reactions
12 Replies
598 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amemsifu Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, kwa kujitoa kwa wananchi licha...
0 Reactions
1 Replies
105 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi ameagiza kutafutwa aliko Mbunge wa Jimbo la Mwibara Charles Kajege kufuatia Mbunge huyo kutohudhuria vikao vya kujadili maendeleo vya huo toka apate ridhaa...
3 Reactions
10 Replies
792 Views
Sekretarieti ya Mkoa Wa Kagera Ikiongozwa na Katibu Wa Chama cha Mapinduzi Ccm Mkoa Wa Kagera Imeanza Ziara ya Kukutana Na Wazee Wa Wilaya Zote zilizopo Mkoani Kagera Kwa Lengo Akiongea na...
0 Reactions
0 Replies
77 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
0 Reactions
81 Replies
2K Views
Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA, Dkt Wilbroad Slaa ameeleza kuwa makosa yanayofanywa na serikali yanawapa wao (wapinzani) nafasi ya kutambulika dunia nzima, mathalani yeye kufungwa kwake...
3 Reactions
26 Replies
811 Views
Mbunge wa Chang'ombe, Juliana Shonza, amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya kazi nzuri kwa wananchi wa Wilaya ya Songwe kwa kujenga hospitali ya kisasa. Shonza alieleza kuwa hospitali...
1 Reactions
0 Replies
91 Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ndugu waandishi wa Habari, Ramadhan Kareem Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu (S.W) kwa kutujaalia Neema ya Uhai hadi sasa na kutujaalia kuwa miongoni mwa viumbe...
1 Reactions
0 Replies
244 Views
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani amesema kuwa mtu yeyote anayehukumiwa kifungo cha zaidi ya miezi sita jela, anapoteza sifa za kuwa kwenye Daftari la...
0 Reactions
1 Replies
175 Views
Back
Top Bottom