LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) inatarajiwa kusimama kwa takriban wiki moja kupisha michuano ya Samia Women Super Cup inayotarajiwa kuanza kesho, kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha.
...
Wakuu
Katibu Tawala Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mahida Waziri Amekabidhi zawadi ya Mitungi ya Gas kwa kutoka kampuni ya Taifa Gas na Kiwanja kwa washindi wa shindano la Kupika Pilau...
Hivi ndivyo Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu alivyomuelisha Kada wa ccm Balile wa Jukwaa la Wahariri
Lissu amedai kwamba Watumishi wa Tanzania wanawajibika kwa Rais na wanaweza kutimuliwa kazi...
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema kumekuwa na mwitikio mkubwa kwa wananchi kujitokeza katika vituo mbalimbali vya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaofanyika mkoani...
Wakuu
Umoja wa Madereva na Makondakta wa Daladala Mbeya Jiji (UDEKO) umetoa wito kwa Mbunge wa Mbeya Mjini na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, kugombea...
Whethe mpango huo wa kitapeli utafanikiwa ama laa, lakini mwisho wa siku pesa ndio itakayo wagombanisha na kuvuana nguo hadharani uongozi mpya wa chadema. Ni suala la muda tu kwa jambo hilo...
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM ) Rehema Sombi Omary amewataka Viongozi wa UVCCM Mikoa yote Nchini kuandaa Kambi za Mafunzo maalumu kwa Vijana ili Kuweza...
Mimi ni mwanachama wa CCM na najivunia uanachama wangu, lakini sijawahi kuchangia chama kwa njia yoyote. Najiuliza, je, mchango wa mwanachama unatakiwa kuwa wa kifedha tu, au kuna njia nyingine za...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha , ameahidi kutoa Bajaji mpya na runinga kwa Bi. Arafa Yusuph Matoke (74),ambaye ni miongoni mwa maelfu ya wanawake wanaoshiriki shamrashamra za kuelekea Kilele cha siku ya...
Mdau wa maendeleo mkoani Iringa Elia Kitomo amekabidhi mifuko 10 ya simenti katika shule ya Msingi Ibogo inayopo kijiji cha Magubike kata ya Nzihi ndani ya jimbo la Kalenga mkoani Iringa.
Kitomo...
Ombi langu kwenu (JWTZ) ni kwamba mwaka huu na mwakani tunaelekea kwenye chaguzi za nchi yetu na hapa ndipo usalama mkubwa ndani ya nchi unapotakiwa kuangaliwa kwa ukaribu zaidi, niwaombe sana...
Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa masikitiko makubwa na kulaani vikali kutekwa kwa wananchi wawili Dar es Salaam na Kigoma katika mazingira yanayotia shaka, huku Jeshi la Polisi likionyesha...
Tuko live kwenye mkutano wa Viongozi wa Chadema na Jukwaa la Wahiriri wa habari.
Mambo yanayozungumzwa humo ni mazito sana.
Tundu Lissu anasema kuna hali isiyo na usawa ktk kugawa majimbo sehemu...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyika siku ya Jumapili Machi 2, 2025...
Lissu amesema "Tutatembea nchi nzima kuwaambia Watanzania hamuwezi mkawa mnaenda kupiga Kura kwenye chaguzi za kutoana Kafara, tuungeni mkono kubadilisha taratibu za Uchaguzi"
Kupata taarifa na...
https://www.youtube.com/live/OFc_2MInLSo?si=01-pw3HvWrVbJbkX
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, ametoa maoni yake kuhusu hali ya ndani ya Chama cha Demokrasia na...
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameshauri serikali kuitisha Bunge la dharura kufanya marekebisho ya sheria za uchaguzi, akisisitiza msimamo wa chama hicho wa ‘hakuna uchaguzi bila mabadiliko'...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amchana Mwandishi wa Habari baada ya kuonekana haelewi dhamira ya movement ya Chama ya No reform no election, amwambia maswali yake ni 'Nonsense' kisa kuzuia...
Katika siasa za Tanzania, mada ya uchaguzi na mabadiliko ya kisera inaendelea kuwa na umuhimu mkubwa. Chadema, chama kikuu cha upinzani, kimekuja na kauli mbiu inayosema "No reforms, No election."...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.