Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wakuu, kama tulivyomsikia Mbowe akizungumza namna alivyoibua vipaji vya kisiasa , na miongoni mwa aliowataja kama matunda yake ni kitila Mkumbo wakati anasoma! Kuna ukweli hapa? Mwenye kumbukumbu...
0 Reactions
0 Replies
226 Views
Wakuu, Mbowe amekuwa kama Sukuma gang lia lia, kazi ni kuongelea legacy tu, utafanyia nini chama.... aaah unajua nimetoa damu na kamasi kwenye chama hiki, nipeni niwaongoze tena :BearLaugh...
2 Reactions
10 Replies
223 Views
Mgombea nafasi makamu mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche amesema kutokana na hali ya kisiasa ya sasa ya nchini inahitaji watu wagumu kuziongoza ili kuleta mabadiliko. Soma Pia: Yanayojiri...
2 Reactions
4 Replies
316 Views
Mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Ezekia Wenje ameulizwa kuhusu takwimu za madai ya ubadhilifu wa fedha za mkakati wa 'Join the Chain' ambazo alizitoa katika mkutano na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Makada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) George Sanga, Gudluck Mfuse na Octatus Mkwela walivyopokelewa kwa shangwe na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA Mlimani City Dar Es Salaam...
2 Reactions
5 Replies
668 Views
Kwa kweli Rais anastahili pongezi kuliokoa taifa hili. Kipindi kile upinzani ulikuwa kama uko ukimbizini. Jamaa alikuwa katili zodi ya Adolf Hitler. Nakumbuka mpaka akina Boni Yai walivuliwa...
2 Reactions
23 Replies
823 Views
Moja ya jambo ambalo ningependa libali kwenye kumbukumbu na vitabu vya historia za uchaguzi nchni ni pamoja na majina ya timu iliyoandaa uchaguzi wa mabaraza na sasa uchaguzi wa viongozi wakuu wa...
3 Reactions
2 Replies
229 Views
Wakuu Mgombea akiwa Kikaangoni Katika hali ya kushangaza mgombea wa umakamu mwenyeketi Chadema Zanzibar, Suleiman Makame Issa (62) ameshindwa kuitaja falsafa ya chama hicho wakati akijinadi...
0 Reactions
0 Replies
285 Views
Kwa siku mbili kati ya tarehe 18,19/01/2025, CCM itakuwa na mkutano wake maalum huko Dodoma. Kwenye mkutano huo, pamoja na mambo mengine, wajumbe watapiga kura ya kumthibitisha (siyo kumchagua )...
41 Reactions
184 Replies
5K Views
Mgombea wa Mkamu Mwenyekiti wa Chadema Zanzibar, Hafidh Ali Salehe amedai vijana walipewa nafasi ya kukiongoza chama hicho na hawakufanya kitu, hivyo wazee wana uchungu nacho. Msingi wa Salehe...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
Bado Tupo! Mchezaji anaweza mzuri kwenye ku- defence, ku-drible, kushambulia lakini akawa anashindwa kwenye final touch kumalizia kufunga Bao. Huyo Mbowe tayari alikuwa ametepeta, Timu yake...
17 Reactions
81 Replies
4K Views
Uchambuzi wa Numerology Numerology inahusisha kupunguza tarehe ya kuzaliwa hadi Nambari ya Njia ya Maisha (Life Path Number) ili kufunua sifa za kibinafsi na uwezo. Uchambuzi: Mbowe akiwa na 4...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Baraza la vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Jimbo la Mbeya Mjini, Hassan Mwamwembe, amesema anatamani Tundu Lissu aibuke kidedea kwenye kinyang'anyiro cha uenyekiti wa CHADEMA Taifa ili...
0 Reactions
4 Replies
248 Views
Wakwanza mimi kunyoosha mikono SSH kapiga pasi ndefu sana, kapiga butua kali sana, kusema ukweli umepigwa mwingi wa ali ya juu, We have been caught up by surprise haieleziki hasira na kicheko...
3 Reactions
2 Replies
235 Views
Wakuu, Akiwa anazungumza kwenye mkutano mkuu ambao utaenda kuamua nani atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Lissu amshukuru Mwenyekiti wa Chama, Freeman Mbowe kwa kufanya nae kazi kwa kipindi cha miaka...
5 Reactions
58 Replies
3K Views
Wakuu Katibu wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wilaya ya Kahama Samwel Peter akieleza namna gani wajumbe wa mkutano Mkuu wa Chama hicho wamekuwa wakishawishiwa kwa fedha kuelekea...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Hellow!! Ni UKWELI kuwa wachawi na wasio wachawi hufa maana hiyo ni Amri Toka Kwa muumba kuwa Kila mwanadamu shart arudi mavumbini. Sasa juzi hapa Mzee mmoja mtani wangu katoa kauli kwenye umati...
0 Reactions
1 Replies
238 Views
Kwa chama tawala tayari tumeona ndugu Nchimbi yupo pale kuchukua nafasi ya Dkt. Mpango, ambapo Rais aliyepo ni ndugu Samia. Aliyemtangulia ni Hayati Magufuli. Au tuweke hivi; 1. Rais wa kwanza...
1 Reactions
17 Replies
667 Views
Wakuu Mbowe kaamua naye, kamteua Boni Yai Freeman Mbowe mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA amemteua Mjumbe na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai...
4 Reactions
51 Replies
2K Views
Je Sheria zinaruhusu Uchaguzi kufanyika Usiku wa manane? Naomba Ufafanuzi tafadhali
2 Reactions
12 Replies
345 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…