Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Hii si ndoto ila ndio uhasia ulivyo na kama mtu ataiona ni ndoto basi aifikirie Ile ndoto tamu sana ya kufurahisha ambayo inaacha kumbukumbu za furaha. Ninaamini baada ya 2030 tutakuja kusema...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Binafsi nilishangazwa na namna walivyokuwa wakivuana nguo kila upande kati ya wafuasi wa mbowe na Lissu. Ijapo Mbowe alionesha ukomavu sana licha ya kuambiwa mwizi bado amekosa mvuto kabisa kwa...
1 Reactions
4 Replies
310 Views
Ni rasmi; agenda ya uchaguzi utakaoamua nani atakayeiongoza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa miaka mitano ijayo imeanza, na uhakiki wa wajumbe watakaofanya uamuzi umeanza. Uhakiki...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Aliyegundulika sio mjumbe atolewa chini ya Ulinzi mkali kwenye Ukumbi baada ya kugundulika kwenye Mkutano Mkuu CHADEMA, Mchakato wa Uhakiki ukiendelea. Bw. Marko Yohana amedai ameonewa, ameonesha...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuelekea uchaguzi Mkuu CHADEMA tunamsihi Mgombea Lissu akubali matokeo yoyote yajayo ili Tujenge chama kwa pamoja. **Pia apunguze kelele, Wajumbe Wana bills za kulipa
8 Reactions
64 Replies
1K Views
Kuna Vijana Wahuni wamelewa hapa Mlimani City wanapiga Makelele hovyo ya Lissu na Heche kila mahali kuanzia asubuhi hadi muda huu kiasi cha kuwa Kero kwa kila mtu hapa Mlimani City hata ambaye...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Sitaki kusema natabiri ila napenda kuwatadharisha shirika la reli wawe makini na SGR, hayo makosa madogo madogo ya hii train kusimama simama bila kuelewa sababu za msingi, mara wakati mwingine...
5 Reactions
19 Replies
769 Views
Wakuu wa kazi, juzi Chuo Kikuu cha Mzumbe walikaririwa na vyombo vya habari wakimtunuka Emmanuel Nchimbi PhD. Ieleweke kuwa kwa muda mrefu huyu jamaa amekuwa akiitwa Daktari kumbe hana PhD. Kama...
3 Reactions
82 Replies
10K Views
Katibu mkuu wa CHADEMA mh Mnyika amesema Chama chake kimeamua Kufanya Uwekezaji mkubwa kwenye Shamba lake la Kibaha Uwekezaji huo utahusisha Miradi mbalimbali ya Huduma na Uzalishaji Aidha Chuo...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
MAWAZIRI wawili wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete, miongoni mwa sita waliotajwa kujipa wasifu wa elimu wasiyokuwa nayo, wameanza kutekeleza mkakati wa kujisafisha. Tayari imethibitika kuwa...
0 Reactions
52 Replies
10K Views
Wakuu, Hivi wawakilishi wa mabalozi wa kichina wanafanya nini kwenye mkutano wa mkuu wa CHADEMA? Tunaweza kuelewa kwanini kuna mabalozi wa Marekani, Uingereza na Sweden kwenye Uchaguzi wa...
11 Reactions
67 Replies
3K Views
Salamu JamiiForums Juzi wakati timu yangu pendwa ya Arsenal na Aston villa zikitoka Sare ya bao 2 Kwa 2 nikaona bora nihame sehemu ile na kwenda sehemu nyingine nikazugezuge na habari za siasa ...
3 Reactions
7 Replies
360 Views
Nimekutana na Joseph Kusaga kwenye Kolido za Ukumbi wa Mlimani City hadi nimeshangaa Katika Nchi ya kutekana na kubambikiwa kodi kama hii inawezekanaje Mfanyabiashara kama huyu kujitokeza kwenye...
15 Reactions
18 Replies
1K Views
Bwana Yericko anasema Leo watamuonesha Tundu Lisu kwamba wao Huwa hawanunuliwi na matusi aliyowatukana na kuwapaka watayakomesha Leo Kwa kumchagua Mbowe Kwa ushindi wa zaidi ya asilimia 90%...
6 Reactions
53 Replies
2K Views
Ni wazi Tanzania inashirikiana zaidi kiuchumi na Nchi za Asia ya mbali na Middle East Kibiashara na kiuchumi kuliko Nchi za Mabeberu. Kwa data hizi hakuna Nchi yeyote ya Kibeberu inaweza yumbisha...
3 Reactions
69 Replies
1K Views
Wewe una watu wengi sana nyuma yako, kaa vizuri Na kikwete, kinana, samia, husein, wasira, Rostam I'li uweze kutimiza ndoto zako 2030.
5 Reactions
124 Replies
5K Views
Wakuu, kama mnavyojua, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefanya chaguzi mbalimbali kuanzia ngazi ya Kanda hadi Taifa. Jambo moja lililonivutia kufikiria kwa kina ni ushiriki mdogo wa...
1 Reactions
7 Replies
232 Views
Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar kimewataka wanachama na wananchi kujitokeza kwa wingi kumpokea Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiket ya chama hicho Dkt Hussein Ali Mwinyi ambae atawasili kesho...
0 Reactions
2 Replies
199 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) Mkoa wa Morogoro Ismail Rashidi Ismail amesema licha ya chama hicho kushindwa kufanya vizuri katika uchaguzi wa serikali za mitaa, lakini bado...
1 Reactions
9 Replies
442 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…