Chadema wameazimia kuanza Kufanya Kumbukumbu za Wanachama Wao wote waliouawa kuanzia walipopata Uhuru
Hayo yamesemwa na Katibu mkuu Mnyika
Source Clouds tv
Enzi ya awamu ya tano, aliyepata kuwa mwenyekiti wa ccm John Magufuli, walinzi wake walikuwa wakivaa sare za chama hiko kwenye mikutani na shughuli za chama hiko.
Lakini kwasasa ni tofauti, kwa...
1. Mambo mengine CHADEMA mnajichanganya aisee.
2. Huyu mtu hata kujieleza hawezi ana cheo huko CHADEMA?
3. Kiwango chake cha juu cha Elimu? Usikute ngumbaru mwenzetu!!
Wakuu,
Hilda amehoji imekuaje loe Polisi wanajifanya kujali sana usalama wao wakati wakiwa na matukio yao polisi huwafanyia vurugu na kuwataabisha?
"Hapa Mlimani city kuna gari za Polisi 16...
Lisu ameongozana na wafuasi wengi ambao badala ya kushawishi wachaguliwe wanashawishi wanachama waamini kwamba Mbowe anatumia fedha.
Lakini najiuliza mbona uchaguzi wa mabaraza yote hakuna rushwa...
Habari zenu wanaJF wenzangu
Hapa katikati ya mvutano wa nani anaefaa kuwa mwenyekiti wa Chadema. Baada ya upepo kuonekana kwenda upande wa Lissu, wazee wa kazi wakakaa kikao kimya kimya kama...
Wakuu
Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma"
Pia, Soma:
Ezekia Wenje: Siwezi kununa...
Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA wahoji ulinzi wa Polisi kwenye Mkutano wao wa Uchaguzi huu ikiwa hawajawahi kufanya hivyo kwenye chaguzi zao zilizopita.
Nimeona bandiko la ndugu yangu Yericko Nyerere akieleza sababu anazoona yeye zina mashiko za kwanini atamchagua Freeman Mbowe kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA na si Tundu Lissu. Pamoja na urefu wa...
Basi bwana, baada ya kifo cha Jasusi mbobezi zilipenya za chini ya kapeti kuwa Jasusi karestishwa.
Watu wakachimba zaidi kutaka kujua kulikoni Jasusi kujasusiwa?.
Wanyetishaji wa kijiweni...
Ninachokishuhudia Mlimani City ni afadhali kabisa ya vile Vyama 14 Marafiki wa CCM ambavyo havifanyagi uchaguzi
Mbowe hata akishinda bado atadharaulika hadi na rafiki zake Ntobi, Wenje, Yeriko...
Kama ilivyo utamaduni wetu ni kupiga kura na kuzilinda.
Kesho wajumbe watafanya kazi ya kupiga kura.
Baada ya hapo kazi ya kuzilinda kura tutaifanya sisi wananchi pamoja na wanachama kwa ajili...
Mgombea Uenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, amekuwa wa kwanza kuwasili katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaa, ambapo leo Januari 21, 2025 unafanyika uchaguzi wa kuwapata viongozi wa juu wa...
Wakuu,
Kama unafuatilia kwa ukaribu Uchaguzi unaoendelea sasa hivi hapo Mlimani City utagundua kuwa kwa nje kuna mkusanyiko wa makada tofauti tofauti wanaojitambulisha kama Team Lissu na Team...
Kwa wajumbe wote wa mkutano mkuu CHADEMA Taifa, DSM;
Nimeshitushwa sana na X-Twit hii ya Askofu Mwamakula...
Je, kweli mambo yako hivi..?
MASWALI KADHAA YA KUJIULIZA:
1. Nani anafanya hivi...
Mjumbe hauwawi na Mimi nimeikuta hivyo naiwasilisha kama ilivyo.
https://x.com/kigogo2014/status/1881590456691401155?t=rwwABbDTO6ZXy_9zmde1mw&s=19
My Take
Binafsi nimefurahia tuu kuona SSH...
Wanabodi,
Wale wenye access na Plus TV, watch now kipindi cha Uso kwa Uso, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman asema uongo wa wazi wa mchana kweupe kuhusu muungano wetu.
Mhe...
Lissu hajaweza na hataweza kutoka kwenye hulka yake ya uanaharakati (activism). Hii ni hali ya chini kisiasa au utoto wa kisiasa. CHADEMA chini ya Mbowe kilishavuka hatua hiyo kitambo sana...
Kinyume na hapo watakua wanaendeleza unafiki wao ule ule wa sitaki nataka na tamaa za uongozi. Asubuhi anautaka umakamu, jioni anautaka uenyekiti kamili.
Na safari hii hakuna makapi kutoka CCM...