Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Samson Chacha, Tarime KATIKA hali isiyo ya kawaida, mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Christopher Ryoba Kangoye ambaye alikuwa mmoja wa wagombea ubunge wa CCM kwenye Jimbo la Tarime, alijikuta akiangua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
KWENU TUME YA UCHAGUZI, swala la mabango kuwa na picha za ikulu sio kitu muhimu sana ukilinganisha na maeneo mengine muhimu ambayo yanaweza kwa kiasi kikubwa kuchangia kushindwa kwa wagombea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maalim Seif Sharif No Comment i !!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KAMA UMEFUATITILI KAMPENI ZA KAGAME NI KAMA HIZI ANAZOFANYA JAKAYA,KAMPENI HIZI TUNAITA KAMPENI ZA HISIA,MTU AMBAE HAFIKIRII ATAONA KWELI JK ANAJALI WAZEE, WATOTO NA WALEMAVU KWANI PICHA NYINGI...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Picha Juu ni mheshimiwa baada ya kuanguka Jangwani Ndugu Rais, Pole sana kwa shughuli nzito za kampeni na pia kwa kukumbwa na sahibu la kudondoka pale Jangwani Jumapili ya tarehe 21 ulipokuwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
JK alipokuwa Kawe aliwaambia wagombea ubunge na udiwani kwa tiketi ya CCM kuwa wenyewe wajibu kero za wananchi na ilani ya uchaguzi ya CCM wamwachie yeye. Sasa tofauti iko wapi? Hivi kazi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sheikh Yahya usiigeuze Ikulu hekalu la wapiga ramli! * Kama ni uhuru, sasa anautumia vibaya * Serikali haiongozwi kwa ushirikina Na Daniel Mbega BADO Watanzania tunajiuliza kuhusu kitendo cha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mtanzania usitumike kama Condom, Condom ni muhimu during sexual intercourse na uchafu thereafter. Mafisadi watakutumia sasa kisha watakutosa wakishinda............ Nimeona niiweke hapa huu ni...
0 Reactions
4 Replies
982 Views
Wana-JF: Gazeti moja liitwalo Tahmini leo lina stori kuu ukurasa wa mbele kwamba marais wastahafu -- Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa wamekacha kumkampenia JK, kwa sababu wanaogopa kuumbuliwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu nimesikia habari kwamba jana kulikuwa na vurugu mwz, eti kidogo mabomu yapigwe na dr.slaa ndiye ameepusha ghasia.magazeti hayafunguki humu na jf sioni chochote.nijuzeni tafadhali wenye hizo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wajumbe je tayari hoja zimekosa kwa mkuu wetu maana ameahidi yote sasa yameisha na hana jipya tena? Je tayari ganzi inaanza kuingia taratibu na kila kisemwacho ni ahadi za miaka iliyoopita au...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MGOMBEA ubunge wa jimbo la Njombe Magharibi kupitia chama cha Demokrasia na maendeleo (chadema) Thomas Nyimbo ameuonya uongozi wa serikali ya wilaya ya Njombe mkoani Iringa pamoja na aliyekuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa Kampeni wa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amesema chama hicho na mgombea wake havihusiki na taarifa za kuongezewa nguvu za ulinzi usioonekana...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Tuesday, 31 August 2010 15:56 BY BERNARD JAMES AND BERNARD LUGONGO (The Citizen) There is a growing concern that the inability by opposition parties to field candidates for parliamentary and...
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Hakikisha ukiingia IKULU kazi ya kwanza ni kurudisha hizi pesa Twin Towers Billioni 221 CIS Billioni 199 Richmond Billioni 172 Richmond Billioni 23...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Dr. Slaa 23: 1 Kisha Dr. Slaa akauambia umati wa Watanzania pamoja na wafuasi wake wa CHADEMA pale Jangwani, 2 "CCM na Mafisadi wana mamlaka ya kufafanua Sheria za Watawala na Ilani zao...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Hivi majuzi nilikuwa katika safari ya kuelekea katika vijjiji fulani, kukatokea malumbano ambayo yalinisisimua sana. Basi lilikuwa limejaa sana, konda 'anapanga' abiria. Abiria hawakufurahi lakini...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waungwana wa JF mbona tangu Dr. Slaa atangazwe kugombea Urais kupitia Chadema, Tafiti zote zilizokuwa zinafaunywa na wataalam wa REDET hazipo tena?. Ni Matokeo hayapikiki tena, wameona Ngoma Nzito?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana-JF: Gazeti moja liitwalo Tahmini leo lina stori kuu ukurasa wa mbele kwamba marais wastahafu -- Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa wamekacha kumkampenia JK, kwa sababu wanaogopa kuumbuliwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
First Lady Thandiwe Banda Two women from Chinsali and Isoka have sued First Lady Thandiwe Banda over her money-dishing trips to various districts in the country without any Parliamentary...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Back
Top Bottom