Bashe amuumbua Chiligati
ASEMA CCM HAIKUMTUMA KUMVUA NYADHIFA ZAKE
na Kulwa Karedia
SIKU mbili baada ya serikali kumtangaza aliyekuwa mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana...
Eid Mubarak wanaharakati na wakereketwa wenzangu na marafiki zangu.Ndugu tumsifu Yesu Kristo na bwana asifiwe kwa wengine.Sasa leo nimeamka nikatoka kutafuta gazeti ila sikuona cha maana sana...
Mimi inaniuma sana kuona namna vyombo vyetu vya habari vilivyo mahiri machachari katika kupotosha jamii kwa haswa katika ukweli wa hali halisi ya taifa letu kweli ukisoma magazeti yote...
Media mnamdanganya nani kumwita kikwete dr. Si ni nyinyi mlishabikia sana phd feki? Sasa mnapoandika dr kikwete mnataka tu naye aonekane yumo? Halafu mnatia kinyaa nyie
Ndugu zangu watanzania naomba tukubaliane kitu kimoja uchaguzi wa tarehe 31st October 2010 tusisahau kamwe sio kwa ajili ya Dr Slaa na Chadema ni kwa ajili ya mmambo tunahitaji yabadilike ili na...
Juzi katika kupita pita kwangu nilijikuta kwenye banda la muuza magazeti na nilikuta rundo la magazeti mengi ya kila aina. Mengine hata titles zake ndio mara ya kwanza kuziona, na mimi nilikuwa...
Nimekua nikifuatilia kampeini za CHADEMA lakini kitu ambacho nimekigundua mpaka sasa CHADEMA inafanya kampeini zake na Zitto anafanya kampaini kivyakevyake ZITTO NI CHACHU CHADEMA TUITUMIE MUNGU...
Kuwazuia wagombea wao midahalo ccm wamefanya vizuri.
Wanamageuzi wataonekana zaidi na ujumbe ni kuwa ccm wanaogopa,na au wanadharau wananchi.bravo ccm.nadhani mmetathmini mnavyowapa umaarufu...
Kwa wana JF, hivi kikwete alivyosema kwamba CCM imejenga maabara kubwa na ya kisasa ktk hospital ya Bombo Tanga na hakuna kama hiyo popote dunian, ya kwel hayo?
Nimejaribu kufuatilia na kubaini asilimia kubwa ya kila analoagiza Dr. Slaa linatekelezwa na rais, hii inamaanisha nini kuwa Slaa anaona mbele zaidi ya Kikwete?
Nikianza na suala la kupelekwa...
Zijue ahadi za wagombea nafasi ya Urais
Mgombea wa CCM Jakaya Kikwete, anaongoza kwa ahadi hizo baada ya kutoa ahadi kubwa zaidi 25 akifuatiwa na mgombea wa Chadema Dk Willbroad Slaa ambaye...
Habari wana jamvi naomba kufahamishwa garama ya kurusha makala kwa muda wa saa moja kwenye luninga kama ITV au Star TV leave away TBC maana huwezi watenganisha wao na CCM kuna makala moja ya...
Mwananchi imefanya kazi iliyonifurahisha. Imeweza kuorodhesha ahadi zilizokwishatolea na wagombea kiti cha uraisi. Kwenye ulingo ni JK akiwa na ahadi 22, akifuatiwa na Slaa 8 na Lipumba 7.
Soma...
Sokomoko sasa yazuka CCM Mwanza
Mwandishi Wetu Septemba 8, 2010
Kurejeshwa mgombea wa CHADEMA kwanza kutafuna
UAMUZI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumrejesha kwenye kinyanganyiro...
Mgombea udiwani Kata ya Kirumba, jijini Mwanza, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Novatus Manoko, amenusurika kufa baada ya kuvamiwa na kukatwa mapanga na watu wasiojulikana...
Leo wana JF Kinana kathubutu kusema Kikwete sio SIZE ya Slaa, nimekubali kwa sababu Kikwete ni "Dakta ??" na Slaa ni "Doctor PhD" ni tofauti mno kiasi kwamba hawawezi kusizeshana!
Miaka mitano ya awali nilikuwa najifunza na kupata uzoefu wa urais, Naombeni mnipe nafasi tena ya miaka mitano 2010-5 tuweze sukuma gurudumu la maendeleo. Wenyewe mnaona foleni zimeongezeka hapa...
Pichani ni mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini kupitia chama cha CHADEMA,Bw.Ally Khalfa Mleh
Mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh.Zitto Kabwe akisisitiza jambo wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.