dalili hizi ni tosha kuwa chadema sasa imeshakamata nchi
dalili ya kwanza
ratiba ya kampeni ya ccm imebadilishwa ambapo mgombea urais sasa hatapumzika
dalili ya pil
ccm wameshaonesha...
CCM is the best ever. Look at the accomplishments that JK administration has been able to accomplish!
More and more students are enrolling in our local universities. The economy has been steadily...
Tofauti na chaguzi zilizopita ukiachilia ule wa kwanza 1995 CCM imeonyesha kuwa na wasiwasi wa hali ya juu kufanya hata waliokuwa hawafuatilii mambo ya uchaguzi kuanza kujiuliza kulikoni...
(Mwananchi) CHAMA cha Mapinduzi(CCM), kimebadili ratiba za kampeni kwa mgombea wake wa urais, Jakaya Kikwete na sasa atafanya kampeni bila kupumzika tofauti na awali alipopangiwa siku za...
Dk Willibrod Slaa ameingia mkoani Shinyanga kusaka kura za urais. Na Chopper yake imeanza kazi upya baada ya kufanyiwa matengenezo madogo kwa siku nne zilizopita. Wananchi waliochoshwa na usanii...
Nukuu ya Leo kutoka kwa Dk. Slaa
"Simamia, Dhibiti, Wajibisha." Hii ni kauli nzito iliyotolewa na mgombea urais kupitia Chadema, Dk. Willibrod Slaa, akisisitiza umuhimu wa uongozi...
Rais anapovaa kofia mbili yaani "urais" na "ugombea urais" anatumia kofia moja ya "urais" ili kujihakikishia ushindi, hivyo kufanya uwanja kutokuwa sawa kwa wagombea wote! Japokuwa duniani hakuna...
Habari za uhakika toka kambi ya CCM, zimeeleza kuwa CCM kwa kutumia serikali yake iliyopo madarakani inafanya mpango wa kuzima mawasiliano ya simu hasa za mikononi ili watu wasiwasiliane kujua...
Kwa kiasi fulani nimefuatilia ziara zinazoitwa za kampeni za Kikwete. Kinachonishangaza ni jinsi anavyotumia mamlaka yake kushawishi watanzania wampigie kura.
Akiwa Bukoba aliagiza ununuzi wa...
Ifuatayo ni sehemu ya makala iliyoandikwa na mwandishi maalum na kuchapishwa na gazeti la mwanahalisi la tarehe 8-14,Septemba 2010..nimechagua baadhi ya vipengele vilivyonigusa
''wapo...
Nimemsikia Raisi wetu akiwaeleza wananchi ktk moja ya kampeni zake leo kuwa asilimia 51 ya wahitimu wa kidato cha nne shule za kata wamepata nafasi kwenda kidato cha tano. Mimi binafsi nina...
MGOMBEA wa ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Mpanda Mjini, Sebastiane Kapufi katika Mkoa mpya wa Katavi, anadaiwa kutishia kumuua kada mwenzake kwa tuhuma za kwamba amekuwa...
CCM Union presidential candidate, Jakaya Kikwete, has advised pastoral nomads to embark on modern animal husbandry, warning that their present livestock keeping method will render the areas...
Mwanzoni mwa mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM mwaka 2005, wengi walitarajia Dr Salim Ahmed Salim angelichaguliwa kwa kura nyingi kutokana na ukweli kwamba yeye ndiye alikuwa anaonekana...
Hii ndio title ya story iliokuepo jana kwenye Mwananchi ikawa inaelezea video moja inaonyesha vikao vya kisiri vinavyofanywa na CCM kupanga mikakati ya kushinda kwa njia yeyote hata kwa kumwaga...
Mwaka huu tumejaliwa kupata mgombea bora kabisa katika kiti cha uraisi naye ni Dr. Silaa., Ana kila sifa ya kuwa raisi wa nchi yetu. Mpaka sasa hakuna mtu au chama ambacho kimeshasema udhaifu au...
Mtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na
mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala udumavu wa kiakili,
tena asiye na utando wa buibui wala tongotongo za ufisadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.