Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

1. SOFIA MNYAMBI SIMBA 2.JUMA ATHUMAN KAPUYA 3.JOELI NNKAYA BENDERA 4.JUMMANNE MAGHEMBE 5.MAKONGORO MILTON MAHANGA 6.LAWRENCE MASHA akaTOZ au BACK FROM AMERICA 7.WILLIAM MGANGA NGELEJA 8.PHILIP...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika hali ya kushangaza katika Mdahalo ulioendeshwa na TBC1 kwa wagombea wa ubunge Arusha mjini, imeonesha dhahiri Mgombea wa CHADEMA Mr Lema amepita bila kupingwa baada ya mpinzani wa wa...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Elimu kutolewa bure hadi chuo kikuu hivi kwa uchumi gani wa tz.Ifike kipindi kwel kuwe na mdahalo wa wagombea urais ili sera zingine watueleweshe.Mfano rais kikwete alituhadi mambo mengi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Gazeti la RAI toleo la leo limejaa makala za kuiponda Chadema na mgombea wake wa urais, na upande mwingine kuifagilia CCM na mgombea wake. Ni rahisi sana ku-confuse gazeti hili na UHURU au...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mhashimiwa Mabere Nyaucho Marando!! Unapinga mafisadi eh! Toa kwanza boriti mkuu. Ulipokuwa kiongozi wa NCCR-Mageuzi, enzi Mhe. George Liundi akiwa msajiri wa vyama aligundua kwamba chama chako...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi ni kweli Prof.Lipumba alikuwa mshauri wa Mzee Mwinyi kwenye masuala ya uchumi wakati Mwinyi akiwa raisi??????
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Kwa maana jinsi hii Mungu aliipenda Tanzania, hata akamtuma Dr Slaa (a.k.a Silaha ya maangamizi) ili kila mtanzania atakayemkubali na kumchagua katika uchaguzi wa rais mwaka huu 2010 apate...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jakaya Mrisho Kikwete's video clip: http://www.youtube.com/user/vijanazaidi#p/u/3/2DlUeI8T6FY
0 Reactions
17 Replies
2K Views
"Mteja wetu wa Kachumbari ulinufaika sasa hivi una nafasi ya kujishindia milioni 40, Pikipiki 64 na baiskeli 200. Tuma neno CCM kwenda 15016 Kujiunga ni bure." Ujumbe huu umeniudhi sana baada ya...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
habari za uhakika ni kuwa ccm bado wana upungufu wa magari ya kampeni. wameagiza magari kutoka nje ya nchi kupitia toyota na dt dobie TZ. wamewaambia wanataka magari araka iwezekanavyo kutoka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana Jamii. Mimeshangazwa na kauli ya katibu Mkuu wa CCM Mwl. Luteni Makamba ya kwamba hakuna picha za Ikulu katika mabango, hivi haoni ama anafanya kusudi,pale karibu na ofisi ya Tigo pana...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Huyu mgombea wa Chadema mheshimiwa Dr W.Slaa hatoweza kuukaribia ushindi kabisa na hapo alipo ni kuanguka kwake kisiasa au kwa lugha ingine tunasema ndio mwisho wake. Ukiangalia migongano ndani...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
TANZANIA ni nchi yenye rasilmali nyingi sana. Nyingi sana. Lakini jambo la ajabu na kusikitisha, idadi kubwa ya watu wake ni masikini, tena masikini sana, fukara wa kufukarika, wasiokuwa na makazi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KIKWETE BAADA YA KUANGUKA MNAMTAKA AZIMIE? Jamani nasikia Kikwete Hatapumzika kama ratiba ilivyokuwa awali kwamba kwa vile anaanguka mara kwa mara atafanya kampeni kwa awamu ili aweze...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Toka mfumo wa vyama vingi uanze kumekuwa na kawaida ya kuwa na polls estimate kabla ya uchaguzi. Na mara zote imekuwa in favour of CCM. Je mwaka huu vipi mbona hatuwasikii. Je hii si dalili...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala udumavu wa kiakili, tena asiye na utando wa buibui wala tongotongo za ufisadi...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Sunday, 5 September 2010 Slaa anachumbia mtalaka na huyu wa Kikwete ni nini? Bila shaka watanzania wengi wanajua kuwa Rais wao aliyemaliza muda wake Jakaya Kikwete kuanzia alivyokuwaMakongo...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Wadau wa JF,Poleni na majukumuu ya kuleta mapinduzi ya kifikra katika jamii. Nimeona nami niwashilikishe hili japa bado mi mchanga katika siasa lakin kuna jambo nikifikiria linaniuma na ningependa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
kutokana na wananchi wa nzega kutokubaliana na kuenguliwa kwa mgombea wao aliyeongoza kura za maoni. mgombea waliompitisha Dr Hamisi Kigwangala ameshindwa kuanza kampeni hadi sasa kutokana na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ushabiki wa vyama hauna maana ndugu zangu.tufungue macho yetu, masikio yetu na akili zetu tuangalie mambo ya msingi yanayogusa taifa letu kwa ujumla wake. Angalia rasilimali zilizoko nchini...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom