MWANANCHI: CHADEMA YAMSHTAKI JK KWA WANANCHI
TANZANIA DAIMA: MKE WA Dr. SLAA AFUNGWA ''KUFULI''
TAZAMA: SLAA ADAIWA BILIONI MOJA
RAIA MWEMA: UNYUMBA WA DK SLAA WALIPUA SIRI NZITO
JAMBOLEO: DK...
Kampeni chafu imeanzishwa na chama cha mafisadi kuhakikisha kuwa Chadema na wagombea wake hawashidi katika uchaguzi wa mwaka huu. Kampeni hii imeanza baada ya kuona kuwa upepo unawaendea vibaya...
jana tume ya uchaguzi imetupilia mbali ombi la wakristu la kubadili siku ya kupiga kura (31 oct) kwani ni siku ya ibada.
Ivi kweli ingekua ni siku ya Ijumaa na waislam wangeomba ibadilishwe, ombi...
DAWA YA KUDUMU MIGOMO VYUO VIKUU YATANGAZWA
Kuelekea Uchaguzi Mkuu Mwaka 2010, Kupitia ilani za vyama vya upinzani pekee yaani CHADEMA na CUF elimu itakuwa bure na kwa hali hii kwa sababu migomo...
Siaza za "Maji taka" zilizoanzishwa na CCM zimemuweka Dr. Slaa kivutio katika magazeti mengi nchini kwa takribani siku kadhaa na kuzika taarifa nyingi za mpinzani wake JK.
Wadau hiyo ina...
Jana nilikuwa naangalia kipindi kimoja katika kituo cha Televisheni cha TBC1 kiitwacho MCHAKATO MAJIMBONI, na jana walikuwa jimbo la Arusha mjini, niliwaona wagombea wote wa ubunge jimbo lile...
mwanazuoni jenerali anatuambia:
"Tunachagua kama vipofu, kisha tunalalama kama vichaa. Sasa tuamue: ama tuchague viongozi wetu kwa makini, au tukae kimya wakati wakitunyanyasa. Wachagua hovyo...
Wana-JF:
Nimeona ni vyema niwawekeeni hii sehemu ya mwisho ya stori katika Mwanahalisi la leo kuhusu sakata la Dr Slaa, Mahimbo, na Josephine. Ningekuwa na muda ningeweza kui-key in yote, lakini...
Kwanini hili Tanzania Daima nao wanachelewesha taarifa mtandaoni?
Tanzania Daima - Sauti ya Watu
Bado kuna gazeti la jumatatu, 6 septemba 2010
Au ndo wanasubiri wauze kwanza?
Sisi wengine tuko...
Awali yote napend kuwaslimia ndugu zangu wa Jamii Forum,Leo napenda kuzungimzia pingamizi la CHADEMA dhidi ya mgombea urais wa CCM kuhusu kukiuka mkataba wa Sheria ya gharama za Uchaguzi ya mwaka...
Ndugu watanzania tukiwa tunaelekea uchaguzi mkuu ni vema tukatumia nafasi hii kuwachambua wagombea wetu ili kuangalia uwezo wao wa kiutendaji na sio uwezo wao wa kisanii. Kama picha zinavyoonyesha...
Katika utetezi wake CHADEMA ilisema malalamiko yamewasilishwa nje ya muda na pia CHADEMA iliwasilisha maelezo na vielelezo kuthibitishwa kilichozungumzwa jangwani ikiwemo ilani, orodha ya...
Na Exuper Kachenje
CHAMA cha Mapinduzi(CCM), kimebadili ratiba za kampeni kwa mgombea wake wa urais, Jakaya Kikwete na sasa atafanya kampeni bila kupumzika tofauti na awali alipopangiwa siku za...
Tayari yamesha divert attention kutoka kwenye madhambi yao ya ufisadi na kushindwa kuongoza na sasa tupo hapa tunamzungumzia Josephine na "kuibwa" kwake NA Dkt. Slaa.
Nimekoma nayo haya majamaa...
Najua kuwa JF ni jukwaa la watanzania wa kada mbalimbali. Kwenye home page kuna kura ya maoni inayohoji ni nani anayekubalika zaidi kuwa raisi. Majibu yake wote tumeyaona. Lakini tunajua kuwa...
Wengi watakubaliana na mimi kuwa biashara ya mavazi ni moja kati ya biashara isiyopitwa na wakatati, ni kama vile ilivyo biashara ya vyakula, kwani mtu atahitaji kula na kuvaa kila siku...
On salary increment, Mr Marando said Mr Kikwete told a rally on 22nd August, (according to the media), that he had increased the minimum wage from 135,000/- to 235,000/-, was a lie because...
Wadau nimetembelea blogu ya Zitto Kabwe na kufurahishwa na jinsi Kampeni zake zinavyoendelea kule Jimboni kwao. Haya ndo mambo ambayo CHADEMA nzima walipaswa kuyafanya. Jambo ambalo inambidi Zitto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.