Dalili zote zinaonekana ule mwisho wa CCM hatimaye umekaribia. Watanzania wengi wameamka, wanajua haki zao kuliko kipindi kingine chochote sasa. Wakati wa watu kuwasikiliza watu kama wakina...
Mgombea ubunge Chadema ahamia CCM
Saturday, 04 September 2010
Julieth Ngarabali, Kibaha
MGOMBEA wa Ubunge wa Jimbo la Singida Magharibi, kwa tiketi ya Chadema, Nkhambaku Elisha amesitisha...
Gazeti moja la kila juma la kanda ya ziwa katika toleo lake la leo limeripoti mapungunfu kwenye kampeini za wagombea kuwa HAWATAKI KUULIZWA MASAWALI kutoka kwa wapiga kura
soma mwenyewe kupitia...
Dk Slaa awalipua Pinda, Mkapa
Salim Said, Singida
MGOMBEA kiti cha urais kupitia Chadema, Dk Willibrod Slaa amemlipua Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisema kuwa akiwa mwenyekiti wa kikao cha...
Energy and Minerals minister, William Ngeleja
Bermuda-based TanzaniteOne Ltd. says it had been granted a "staged" exemption from Tanzania's prohibition on exports of rough tanzanite larger than...
Ada ya kusajili vyama vipiya vya siasa nchini, imepandishwa kwa asilimia 2000 kuanzia leo!.
Ongezeko hilo limetangwa leo asubuhi na Msajili wa Vyama, John Tendwa, kuwa ada ya usajili wa muda...
Ni:
1."Nchi yangu,kwa umoja,amani na maendeleo yake nitaifia kwanza,iwe sahihi au imeboronga."
au
2."Chama changu na kikundi chetu nitakifia kwanza,kiwe sahihi au kina sera...
Wakuu jana Chadema jimbo la Nkenge wamezindua kampeini za kutafuta kuchaguliwa kuwa wawakilishi wa jimbo zilizofanyika eneo la Ishozi na Mgombea wa Udiwani pamoja na mgombea wa ubunge Mr Phocas...
Na tuweni wakweli? Katika wagombea URAIS bila kuangalia chama..ukiambiwa pigia kura "UADILIFU, HAKI na UZALENDO nani anastahili??? Jibu lako nani apewe uongozi wa nchi???
Mtanzania yeyote...
Mtu mwenye data aziweke ukumbini tuone impact ya magazeti haya ya Udaku.
Kila gazeti wanauza copy ngapi kwa siku?
Daily News
habari leo
Mwananchi
Tanzania Daima
Nipashe
Guardian
Tangu kuanza kwa kampeni za ubunge na urais tumeshuhudia majibizano mengi ya maneno na kuchafuana kunakolenga kupunguza nguvu ya upande mmoja. Katika kuchunguza kwangu nimegundua kuwa walengwa...
Mh. Raisi J.M Kikwete ametoa ahadi kuwajengea nyumba wakazi waliokumbwa na mafuriko wilayani Kilosa ktk kampeni yake ya uchaguzi. Pia itakumbukwa kuwa Kiongozi wa Libya alitoa ahadi kama hiyo, ila...
CCM wanatumia nguvu nyingi sana kujitangaza! Wamezagaa kila mahali kwenye mitandao!
Cha ajabu ni kwamba CHADEMA sijui hata kinachoendelea, siamini kwamba CHADEMA hakuna uwezo wa kufanya hivyo! A...
Mwaka huu duh! Kuna kazi kweli kweli. Wagombea urais wawili wakuu wanaochuana vikali katika kampeni yaani JK wa CCM na Dr Slaa wa Chadema wote wawili wamejikuta wanafunguliwa kesi za madai...
Kuna ka-kampuni fulani niliwahi kuambiwa ndo kana-haki miliki ya kuratibu mambo yoote ya madini ya Tanzanite.
Haka ka-ofisi kako based Johannesburg - sehemu za Sandton, hivi kuna ukweli wowote...
WATU wanaoaminika kuwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Kijiji cha Sengenya wilayani Nanyumbu, mkoani Mtwara mwishoni mwa wiki iliyopita waliwazingira na kutaka kuwapiga viongozi wao...
Wanasiasa wa Tanzania mbona kama wana sound the same? Au ni masikio yangu tu? Hebu msikilize Zitto hapa
YouTube - Maendeleo-Mkutano wa Nane Kijiji cha Mgaraganza, Kata ya Kagongo,Kigoma Kaskazini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.