Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Tanzania is an exceptional case when it comes to the pattern of violence and instability that has prevailed in many parts of Sub Saharan Africa since independence. Despite the presence of numerous...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
kwa nini sera za ccm zimekuwa za jumla jumla mno, mfano -tutaimarisha usafiri wa nchi kavu, majini na angani -tutashughulikia suala la kadhi -tutaboresha sekta ya kilimo na mifugo -tutaimarisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KWA muda mrefu sasa vyombo kadhaa mbalimbali vya habari na watu binafsi vimekuwa vikieneza habari kuwa Dk. Wilibroad Slaa ni Padre wa Kanisa Katoliki na kuwa kwa vile aliwahi kuwa Padre (kuhani)...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Tarehe 31 Octoba ni siku ambayo wakristo wengi wataamka mapema kuwahi kanisani ili wakitoka tu wakapange foleni tayari kwa kuchagua hatma ya nchi hii kwa miaka mitano ijayo. Kwa wale wasio...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KIKWETE NI KIRAZA SANA? HUDANGANYWA KILA WAKATI Rais anayemaliza muda wake ameonekana kuwa na uwezo mdogo wa kuongoza kwani amekuwa akidanganywa kila wakati. Pamoja na kupewa cheki feki...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jk promises flood victims new houses Monday, 06 September 2010 10:48 By Venance George, Kilosa The Chama Cha Cha Mapinduzi (CCM) presidential candidate, Mr Jakaya Kikwete has said the...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hebu angalia hiyo picha hapo chini. Ona hao watoto walivyorundikana humo darasani. Ona walivyobanana kwenye hayo madawati. Angalia hao walio sakafuni. Wengine wameinama sijui hata kwa nini. Labda...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Nimepokea kwamasikitiko habari ya kutupwa pingamizi lilokuwa limewekwa na Cahama cha Chadema dhidi ya mombea wa ccm Rais jakaya Kikwete! Kutokana na makosa yaliyofanywa na CCM!Hapo ndo unapoona...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwani Kikwete ana tatizo gani? Hiyo dummy cheki imeandikwa dola laki mbili kwa maneno na dola 300,000 kwa namba. Je hapa Kikwete alipewa cheki ya dola ngapi? Mbili au tatu? God know how...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Hawa ni wapiga kura japo walemavu...nawafananisha wapiga kura hawa ktk kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi kama 'Mti mbichi' nikiwa na maana ndio wanaotegemewa kukiingiza chama chochote...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba niseme wazi kuwa jimbo la NZega lipo wazi na wakazi wa NZega wote kwa moyo mmoja wameamua kumchagua Ndg Meza mgombea wa Chadema ninapo sema wakazi wa Nzega nina maana zaidi ya nusu ya wana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JINAMIZI la uchakachuaji wa matokeo ya kura za maoni pamoja na migogoro ya ardhi katika maeneo mbalimbali nchini jana liliipa CCM mtihani mgumu baada ya wananchi katika maeneo tofauti kumzomea...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mgombea wa ubunge wa Jimbo la Singida Magharibi, kwa tiketi ya Chadema Elisha Nkhambaku amerudi tena CCM baada ya kufatwa na uongozi wa juu wa CCM ukimsihi arudi CCM ambako alijiengua baada ya...
0 Reactions
70 Replies
6K Views
je ni kwa nini raisi anaposhiriki uchaguzi haachi madaraka ya uraisi hamuoni hili linanyima haki sawa kwa wagombea.......
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwanasayansi huyu wa siasa pamoja na mambo mengine anasisitiza kwamba,"mfumo wa vyama vingi unashabihiana na maendeleo ya viwanda na jamii na hufanya kazi vizuri kwenye jamii zilizostaarabika na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Slaa akata anga Morogoro LEO Dk. Willlibrod Slaa alikuwa mkoani Morogoro, katika wilaya za Mikumi na Mvomero. Mikutano imefana. Amesisitiza haja ya Morogoro kuwa na wabunge wa upinzani...
0 Reactions
61 Replies
7K Views
Wananchi wa vijiji vya Mvumi na Mvomero mkoani Morogoro, wamewashitaki mfanyabiashara Jeetu Patel na Waziri Mkuu wa Awamu ya Tatu, Frederick Sumaye kwa mkuu wa nchi, kwa kujimilikisha ndefu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu, Ninaomba kunielewesha kidogo juu ya muungano wa vyama vya upinzani mbeya mjini. Kwanza kabisa napenda kujua kama CHADEMA imo, Pia kama haimo kwanini? Kwa sasa naona kampeni za huyo jamaa wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa kweli inasikitisha sana hasa kwa sisi wapenda mabadiliko na wafuasi wa CHADEMA kuona haya mapungufu ya wazi katika kampeni za CHADEMA. Ukizunguka maeneo mengi Tanzania, mijini na vijijini...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom