Habari za nakala za gazeti la Changamoto, lilokuwa limesheni makala juu ya maisha binafsi ya Dr Slaa, zilinishitua sana kwa sababu siyo kitu cha kawaida, nilishituka zaidi kwa sababu makala kuu ya...
Mkulo asema Bunge lilibariki mishahara
Kinana naye atoa ufafanuzi kilichojiri
Makamba kama kawa aendelea na kejeli
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewasilisha utetezi wake rasmi dhidi ya...
Asante Mungu kwa kuipenda Tanzania hata ukamtuma mwanamapinduzi wa pekee Dr. W. Slaa ili kila Mtanzania atakayempigia kura apate kuleta ukombozi wa kweli.
Tazama umemtuma kwa wapenda haki ili...
Hii Comment nadhani imetulia, sasa tuhitimishe mijadala ya maisha binafsi na kuangalia masuala ya mustakabali wa TAIFA! Tujibu hoja za manufaa kwa wananchi...
East Africa Television (EATV), itazindua kipindi kipya cha uchaguzi kiitwacho Uchaguzi Express leo Jumatatu ya tarehe 06/ 09/ 2010 saa tatu kamili usiku.
Kipindi hicho kitakachokuwa kikirushwa...
KIONGOZI WETU AWE NA SIFA NA SI JINSIA
Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuna utaratibu wa kubadilisha viongozi wa ngazi mbalimbali za kisiasa kila baada ya miaka mitano...
Wakuu,
Muda si mrefu (saa 3 usiku) kwa mlio nyumbani kutakuwa na Jimbo kwa Jimbo ambapo hii leo mheshimiwa Augustine Lyatonga Mrema wa TLP atakuwa kwenye mdahalo na John Mrema wa CHADEMA...
Wakati wa mabadiliko ni sasa
Wakati wa maendeleo ni sasa
Wakati wa kumwingiza slaa ikulu ni sasa
Ni kauli mbiu tu jamani
Maisha yakiendelea hivi tutayaweza kweli ni wewe kufanya uamuzi sahihi...
Habari za kuvunjika vunjika zilizoifikia JIACHIE mapema leo (jana) asubuhi zinaeleza kuwa mmoja wa Wasanii wa muziki wa kizazi kipya,Fred Marik a.k.a Mkoloni (kulia) ambaye pia ni Mwanachama wa...
Dah,nimetoka mkutano wa ccm na bilal alikuwepo. Iringa wamechoka ccm na hawaoni aibu kusema hadharani kwenye mikutano. Hii ya leo AIBU, mama mbega lazma anataka kujiuzulu ni noma but encouraging.
Mimi najiuliza kama kweli Upinzani ukishinda je CCM watakuwa tayari kuachia madaraka??Au ndo kutumbukiza nchi katika vurugu je Upinzani unaweza kuongoza nchi??Je Kwa nini unadhani Jakaya Kikwete...
• Kisa, mitihani ya darasa la saba
na Mwandishi wetu
KAMPENI za Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani zinatarajiwa kusitishwa kwa siku mbili ili kupisha...
Source: Michuzi Blog
Mkazi wa Matombo, Morogoro vijijnini Mashariki, akiinadi CCM
My take:
CCM ni Chama ambacho kila wanachama wa kada mbalimbali bila kujali dini, kabila, rangi wala...
Yes:
Nchi yenye zaidi ya miaka 45, imeshindwa kutoa quality presidentt material... hii inathibitika kwenye kampeni za siasa zailizo sasa. Tumeshindwa kubaki na sera, na ubora, sasa tupo kwenye...
WanaJF inabidi tukae tayari tujiandae nchi hii haitakuwa salama siku za mbeleni
Taasisi za kidini enzi za mwalimu zimekuwa kimya zikifanya mambo yake lakini baada ya kuingia utawala wa JK mambo...
Mwaka 2005 alikuja na kauli mbiu tamu sana, eti maisha bora kwa kila mtanzania. Nimeona sehemu nyingi, picha nyingi pamoja na maelezo ya watu wengi kuwa mambo sia kama walivyotaka iwe.
Mwaka huu...
Pasipo kutarajia,CCM inaweza kulazimika kuuambia umma kwanini mafisadi waliotajwa kwenye List Of Shame (orodha ya mafisadi sugu iliyowekwa wazi na Chadema viwanja vya Mwembeyanga) hawajachukuliwa...
MAALUM KWA WAKAZI WOTE WENYE KUMILIKI ARDHI NA NYUMBA PEMBEZONI MWA JIJI LA DAR ES SALAM NA MJIJI YOTE MIKUBWA.
Eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam zamani lilikuwa na Vijiji vya Ujamaa 52...
Akinukuliwa na Clouds FM radio na Channel 10 naye amesema:
CHADEMA Hawajatumia lugha ya kistaarabu kwa mgombea wao
Adai hawawezi kukaa kimya Mwenyekiti wao na Rais akitukanwa
Adai wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.