Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

MWENYEKITI wa kampeni ya mgombea urais wa CCM, Abdulrahman Kinana juzi alisema kwamba wapinzani hawana jipya. Alitoa kauli hiyo wakati akimnadi kwa wananchi wa Arusha mgombea ubunge wa tiketi...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Hivi mwaka 2005 Kikwete alipoahidi maisha bora kwa kila Mtanzania, kati yetu humu kuna aliyemwamini kweli au niko peke yangu tu ambaye sikuamini hayo?
0 Reactions
31 Replies
3K Views
  • Closed
Dk. Slaa awindwa • Mikakati ya kumchafua yashika kasi na Asha Bani MGOMBEA wa urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), hivi sasa ndiye anayeonekana kuwindwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nimepata hii habari kutoka kwa blog ya Michuzi. Hivi huyu Lyatonga ameugua ugonjwa gani au ni kweli kuwa alipandikiza ili aue upinzani? Mwenyekiti wa TLP Mh. Augustine Lyatonga Mrema...
0 Reactions
86 Replies
8K Views
Leo nimesoma makala ya Privatus Karugendo nikaipenda sana na anachokizungumzia kina ni cha msingi sana. Kikwete Tunajua amekuwa akianguka mara kwa mara ambapo tunapata mashaka na afya yake. Huyu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naona mpaka Judge Mkuu kaingia mkenge akizani video wanayo TBC peke yake. Sasa kwenye hii vieo kuna matusi gani jamani Wewe Tido Mhando ebu angalia? Makamba tuambie ni kipande ipi hapo ni matusi?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kijichi Ward Chairman Jackson Gabriel (CCM) this week led a group of over 200 CCM members to allegedly defect to Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) when Chadema was launching...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Narudi tena kwa huyu mgombea ubunge wa Muhambwe, Jamal Tamim! Ametajwa huko nyuma kuwa elimu yake ni ya darasa la saba. Lakini ametajwa pia kuwa alitumia pesa sana kununua kura za maoni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wabunge wengi wa ccm wapo tayari kufanya lolote ili wapate kurudi bungeni.....uchunguzi wa kina unaonyesha wananchi wamechoshwa na wanaitaji mabadiliko..
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Uendeshaji wa Serikali - Chadema imefanikiwa kunishawishi kuwa ukubwa wa serikali iliyopo ni tatizo kubwa la kuendesha nchi hii. Serikali ni kubwa mno na CCM wala CUF hawalizungumziii suala hili...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa uchunguzi wa kina inaonekana wananchi hawana hamu na wagombea ubunge wa ccm,kwani wengi wao wanonekana kujali maslai yao,kitu ambacho wananchi hawana huwakika nacho ni mgombea uraisi,kikweke...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Jakaya Kikwete ameshangazwa na Wapinzani kwa kushindwa kuishukuru serikali ya CCM hata kwa jinsi ilivyowasomesha na badala yake wamekuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mheshimiwa Makamba, uliwahi kufukuzwa kazi ukiwa kama mkuu wa wilaya, uliondolewa si kwa utendaji wako mbaya wa kazi bali wakuu wengi wa idara wilayani kwako walikuangusha. Ukiachilia mbali siasa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo nimejikuta nacheka sanaaa.. Mwenyekiti wa Kampeni ya Urais ya Kikwete Bw. Kinana akihojiwa mapema leo asubuhi na ITV amevisihi vyama vingine visiwaeleze sana mambo mabaya na yenye kubebesha...
0 Reactions
67 Replies
6K Views
Umati Mkubwa ulijitokeza kumlaki Dk. Slaa katika eneo la Haydom, jimboni Mbulu Dk Slaa anamtambulisha mgombea ubunge wa Hanang, Rose Kamili, katika eneo la Endosak, jirani na nyumbani kwa Waziri...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimemuomba Msajili wa Vyama vya Siasa kuiagiza Chadema kuisoma na kuielewa vizuri Sheria ya Gharama za Uchaguzi na sheria nyingine za uchaguzi ili kuepuka usumbufu. Ombi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimeshtushwa sana na baadhi ya watu nadhani ni mashabiki wa CCM ambao wamekuwa wanasema viongozi wa chadema wanaelimu ndogo. Naomba kuuliza kutoka kwa mashabiki hao wenye shahada the so called...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bado naikumbuka ccm ya Mwl. Nyerere; wakati ule chama kilikuwa na maadili na miiko ya uongozi. Chama hakikuwa sahihi 100% lakini angalau kilikuwa kikimjali kila mtanzania. Wengi tulitegemea ccm...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa mtazamo wa haraka haraka katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, nimeshuhudia wanasiasa wengi wakishidwa kutimiza ahadi walizotupa hapo mwanzo. Na sasa wanarudi tena katika majukwaa ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dear JF Members, I know some of you, have much expectation in this year general election... e.g. expecting president coming from opposition camp or even thinking of better composition of...
0 Reactions
1 Replies
863 Views
Back
Top Bottom