Tume ya Uchaguzi Taifa umetengua maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi Nyamagana na kuamua kwamba uchaguzi utaendelea!
Seems funny though as the appeal was out of time and unprocedural! I will now...
Mtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala udumavu wa kiakili, tena asiye na utando wa buibui wala tongotongo za ufisadi...
Wadau nilikuwa napitia katiba katika tovuti ya taifa (www.tanzania.go.tz) nimekutana na hiki kipengele ambacho nimekuwa interested kujua zaidi:
38.-(1) Rais atachaguliwa na wananchi kwa mujibu...
• Amtaka aache kuikingia kifua CCM
Na Mwandishi Wetu, Tanzania Daima
SIKU chache baada ya mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mabere Marando, kuwahusisha...
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willbrod Slaa, akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni, kweny Uwanja wa Kwarah mjini Babati mkoani Manyara jana...
Nilikikuta kipindi cha Kipima Joto kikiwa ukingoni lakini Mchambuzi aliyekaribishwa alinikosha sana pale alipodai kuwa kama angeshirikishwa katika utungwaji wa Sherioa ya Gharama za Uchaguzi...
Wakuu baada ya chadema kuzindua jana mjini, wanazindua leo vijijini.tayari tupo bugabo na watu wamejaa na tayari viongozi wanazungumza.mwenyekiti wa chadema mkoa na mgombea ubunge bkb mjini...
Wadau, naomba nifahamishwe. ‘Matusi' ni nini katika medani hizi za kisiasa? Na nani mwenye mamlaka ya kutafsiri ‘matusi' katika kampeni hizi? Najua CCM wangependa sana kuwa watafsiri...
Ndugu zangu kabla ya kampeni kuanza nilipata bahati ya kutembelea hospital mbalimbali Huku kwetu kanda ya kaskazini. Ukienda utakuta wakina mama wanaosubiri kujifungua wamelala wawili kitanda...
JK ana magonjwa mengi. Pamoja na hayo yanayomfanya azimike, kuna ugonjwa huu wa "AHADIsm". Ndani ya wiki moja ya Kampeini ametoa ahadi mpya zisizokuwa katika Ilani ya CCM kama ifuatavyo...
Watanzania wapi tunakwenda Tafakari wewe mwenyewe... miaaka mitano iliyopita 1US dollars ilikuwa inakwenda kwa Tshs 1300 ila sasa 1 Us dollars inakwe 1,550 Tshs na bado inapaa bado tuu tunashindwa...
Hivi huku sio kuvunja maadili ya kazi yake? Kwa nini asitabiri hivyo 100 kuwa ni vya CCM? Huku sio kupigia kampeni CCM? Yaani na yeye anaungana na kazi ya Sheikh Yahya!!? Basis ya utabiri wake ni...
Baadhi ya Mitaa katika jiji la Dar-ES-Salaam, barabara zinapigwa greda (Mfano maeneo ya Magomeni). Kwa nini sasa na si mwaka jana? Nadhani hapa ni mahali pa kuanzia kampeni kwamba mchakato wa...
Mimi napata shida sana kuwaelewa CCM ni kwa jinsi gani wasivyo na UTU, HEKIMA WALA BUSARA.
Wanatumia zaidi ya shilingi bilion 20 kuandaa mabango, kanga, tisheti, kofia na vipeperushi na...
Ndugu wana JF leo nimepokea ujumbe toka Vodacom ukisomeka hivi:
"Samahani kwa usumbufu, mchango wako kwenda chama cha CHADEMA haukufanyika awali kwa sababu ya matatizo kiufundi. Tunaomba utume...
Unajua kila siku naendelea kuishangaa ccm na hila zake. Ahadi anazoaidi JK kutatua matatizo ya wananchi ambayo yamekuwa-created na mfumo wa ccm yenyewe!!!!!. Nianze na mfano huu; Katika ulimwengu...
sasa ninapotuma hii post, helkopta ya dr WS inarandaranda juu ya jiji la Idodomya na majira ya saa 9 mchana dr WS atahutubia umati wa watanzania kupitia viwanja vya barafu vinavyopakana na uwanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.