Wameona haitoshi wameanza kufunika mabango ya wapinzani, wao wakifanyiwa mchezo huu si watasema wapinzani wameanza matusi na uhuni. Hapo bango la mgombea wa CUF likiwa limefunikwa na la CCM, sijui...
Kuna taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa vifaa vya kupigia kura vikiwemo shahada na masanduku tayari vimewasili chini siku chache baada ya kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu. Linalosikitisha...
Wana-JF:
Kesho (Ijumaa), kituo cha televisheni cha ITV katika kipindi chake cha Kipima Joto saa 3 usiku, mada kuu itakuwa ni Sheria ya Matumizi ya Fedha katika kampeni iliyotiwa saini na JK...
JK analindwa na Usalama wa Taifa je, hawa wengine inakuaje wakati tayari ni asset ya Taifa letu? Kwani kuna uwezekano wa kuwa rais! Mkapa alilindwa alipoteuliwa tu kuwa mgombea urais; sasa kwa...
Katika kipindi cha Jahazi cha tar 31/8/2010 mtangazaji Kibonde amejifanya kuwa mtetezi wa JK na CCM kwa kuliponda pingamizi ya Dr Slaa na CHADEMA kuhusu JK kukiuka Sheria ya Gharama za Uchaguzi...
Habari toka redio maria saa nne usiku huu, nimesikia mgombea udiwani kata ya nduruma amefariki ghafla baada ya maumivu makali ya kichwa tangu alipopitishwa na chama chake. Maumivu hayo...
Kuna taarifa za kuwa Katibu wa CCM kata ya Isamilo ambako katibu wake aliuawa kwa kuchoma kisu na Meya wa Jiji Bihondo akakamatwa kwa mauaji, amelishwa sumu na sasa yupo mahututi Bugando kwa...
Binafsi nimeipenda,
Haya nawe endelea!!!!!
MTANZANIA YEYOTE MZALENDO WA KWELI, MWENYE AKILI TIMAMU, ASIYE NA MTINDIO WA UBONGO, WALA MTUMWA WA HILA CHAFU, WALA UDUMAVU WA KIAKILI, TENA ASIYE NA...
Naomba nijuzwe tangu Kampani za Mwaka huu zizunduliwe Agosti 21 mbona sijasikia kampeni za vyama vifuatavyo:
1. NCCR-MAGEUZI
2. UDP
3. TLP
4. SAU
Je! Hivi vyama ni kwamba havijazindua rasmi...
Nasikitishwa sana na kauli za viongozi wa CCM za kutaka vyama vya upinzani visizungumzie habari za ufisadi na matumizi mabaya ya uongozi vilivyokuwa vimetamalaki katika serikali iliyopita...
Nimeshangazwa na mabango mengi yenye picha za RAIS anayemaliza muda wake, akiwa na watoto wadogo na wazee. Picha hizi huwa zinaandikwa kwamba chama kinajali watoto na wazee na rika zote, hivyo...
WAKINGE UWAPENDAO NA THITHIEM!
Wakinge uwapendao na ccm, vunja ukimya zungumza na Chadema okoa taifa lako na mafisadi, badili mfumo wa kura yako.Tz bila ccm inawezekana kabithaa!!!
NA MWANDISHI MAALUM
NEW YORK-Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon amemtakia kampeni njema , Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Rais Jakaya Mrisho Kikwete, na mafanikio mema...
Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.Willibroad Slaa, akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni mjini Kibaya katika jimbo la Kiteto mkoani Manyara jana.
Alisema...
Makamba: Shibuda sawa na ganda la mua la jana hana mvuto kisiasa asema CHADEMA wamevuna makapi akimaanisha Shibuda.
Shibuda: Makamba ni sawa na gunia tupu, sawa na puto lenye hewa za kueleaelea...
Ni muungano wa waTanzania ambao unawajumuisha watu wa makundi yote, bila kujali dini, jinsia, rangi wala itikadi zao. Nia halisi ya muungano huu ni kuleta mabadiliko muhimu ya kiuongozi katika...
Mbio za muungano zilifikia kilele chake pale JK alipoamua kuuvulia njugaMuungano, na kuahidi kuupatia ufumbuzi wa kisiasa. Muungano ulijengwa na JK(Kambarage) na kusua sua bila mafanikio, na...
Tanzania daima leo imeripoti kuwa, imegundulika kuwa wanachama 400 wa CHADEMA waliorejesha kadi zao kwa KIKWETE na kukabidhiwa za CCM, kumbe ni mamluki na kadi zilikuwa feki. Hata viongozi...
Tusiukubali kamwe uhuni huu wa CCM
Maoni ya Mhariri
KATIKA mchakato wa kupata wagombea ubunge na udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa uchaguzi mkuu ujao, kumefanyika uhuni.
Bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.