Leo katika kipindi chake cha mapitio ya magazeti cha 06.50am asubuhi, kituo cha television cha ITV kinachomilikiwa na IPP Media kilifanya tukio ambalo sikulitegemea kwa kwa kituo hicho...
Wakubwa,
Hi ni kauli inazungumzwa sana hasa na MAKADA WA CHAMA CHA MAPINDUZI mitaani na kauli hii hii hii ilizungumzwa pia na mtoto wa hayati baba wa taifa kwamba ni kweli ukiweka pembeni...
KATIBA mpya
Tume huru ya UCHAGUZI
Ofisi huru ya MSAJILI wa vyama
TAKUKURU huru
Kuiondoa MAHAKAMA kutoka c idara ya mahakama na kuwa mhimili kamili ambapo CJ anakuwa na status sawa na speaker wa...
Hapa kuna mambo jamani hivi mtu kweli,tangu aingie madarakani hajawahi hata mara moja kutembelea baadhi ya sekta muhimu zilizopo ndani ya kata yake mpaka anaondoka madarakani halafu leo anagombea...
Helikopta ya Slaa yapata tabu kutua Mpwapwa
Thursday, 02 September 2010
Salim Said, Mpwapwa
HELIKOPTA ya mgombea urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chadema, Dk...
Habari za TBC zafanyiwa mageuzi makubwa baada ya malalamiko makubwa toka kwa wadau mbalimbali kama vyama vya siasa, jukwaa la wanahabari, wananchi na mitandao kama JF.
Ni matumaini hali hii ya...
1.Uchumi au kushuka shilingi ya Tanzania kama iko kwenye victoria falls
Utaukuzaje uchumi wa Tanzania na shilingi ya Tanzania kuwa yenye thamani?
2. Elimu ya Tanzania
Utafanya mbinu gani...
Gazeti la tz daima leo lina taarifa kuwa wafanyakazi wawili wa mgodi wa Buzwagi wametimuliwa kazi kwa kujihusisha na siasa na kuishabikia CHADEMA.
Inaonekana hawa jamaa wanajua kabisa kuwa...
nina 100,000/= kwa ajili ya kampeni nataka kumpa Rais wetu mtarajiwa, dr. W. Slaa kwa ajili ya kampeni. Nilijaribu ku PM kwake lakini hadi sasa hakuna jibu huenda yupo busy na mambo ya kampeni ...
Rais Mstaafu Benjamin Willium Mkapa
MGOMBEA mwenza wa nafasi ya urais kupitia CCM, Dk Mohamed Gharib Bilal amewaambia wananchi wa Masasi kuwa, rais mstaafu wa awamu ya tatu ambaye ni mkazi wa...
Dobo, Tafuteni kwanza taarifa za kueleweka na uhakika, wakulima sasa hivi wanalipwa shilingi 7,500/= kwa kilo moja ya kahawa na siyo 700/=kama anavyodai DUNI.
Source: Coffee Board
& Coffee...
Kiongozi wa Kampeni za CHADEMA Prof. Baregu amekanusha madai yaliyotolewa na CCM kupitia Meneja wa Kampeni za CCM Kinana na Katibu Mkuu wa CCM Makamba kuwa CHADEMA wametumia lugha ya matusi katika...
kuna habari kuwa TBC wameweka hadharani makubaliano waliyoingia na vyama vya siasa ya kuzingatiwa kila wanaporusha matangazo ya mikutano ya hewani. binafsi sijafanikiwa kuyaona,kama kuna mwenye...
Tutageuza majengo yote ya Serikali Dodoma kuwa vyuo vikuu na vyuo vya ufundi kwa kuendelea na azma yetu ya kuachilia mbali mpango wa kuhamishia makao makuu kwenda Dodoma. Dodoma itakuwa ni jiji...
Kwamba ufisadi na ubadhirifu katika serikali ya Kikwete unagharimu asilimia 25 ya pato la taifa.
Na kwamba Kikwete anahusika moja kwa moja na:
1. IPTL
2. Bulyanhulu
3. Kagoda
4. EPA
5. Deep...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa, amelia akitoa machozi kutokana na hali ngumu inayowakabili wakazi wa...
Silaa tafadhali kutaka kwako kura kusikufanye ukatunyang"anya tonge wafanyakazi mdomoni. Tunazitaka sana hiyo nyongeza ya mshahara no matter imetangazwa wapi? we mbona umeahidi mengi? hizo ahadi...
WHY DO WE STILL NEED JK IN POWER?
I would ask watanzania wenzangu to think about what am going to talk about with reasoning. It is not easy for a president kutekeleza
Vitu vyote ambavyo...
Hivi huyu Salma au Salima anahusika vipi kwenye kupiga kampeni? Je, ni kiongozi wa UWT? Je, gharama anazotumia zinatakiwa kujumuishwa kwenye zile za mgombea urais wa CCM? Hivi ni kwa nini...
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini mwenendo wa vyombo vya habari..hasa baada ya tukio la jumamosi......kwa wale ambao wameangalia kwa makini mtagundua kuwa .....televisheni ya TBC ...hawazipi tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.