Kwenye jimbo langu, vyama vingine pia vina wagombea, lakini baada ya kikao cha NEC nilisafiri kidogo nje ya nchi nimerudi sasa na kukuta wansambaza habari kuwa nahojiwa na TAKUKURU!! uongo kabisa...
Napenda kuona CHADEMA wakati huu wa kampeni ikiwakumbusha wananchi umuhimu wa kupiga kura na kuhakikisha kura zao zinaehesabiwa kwa yule mgombea wao waliyemchagua.
Hii itahitaji CHADEMA kuwa na...
Habari zinakuja kwenye wire ni kuwa, mgawanyiko ndani ya ccm unaendelea kufutuka na sasa ngoma ndo mwanzo inaanza. Kwa waliodhani kuwa zile kashfa zote za kumweka Kikwete ikulu mwaka 2005 zilikufa...
Jamani kuna kitu kimoja kinakera sana katika mambo haya ya kampeni- kuona vyombo vya habari vikiwa biased bila hata kuficha. Channel Ten nawauliza swali, je mmeamua kuwa makada wa CCM na kuacha...
hili hasa ndilo waliokuwa wanastahiki kuambiwa hawa jamaa zetu kwa muda mrefu.
sasa ni juuu yao kumeza au kutema.
Makamba: Viongozi Chadema wana akili ndogo
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM)...
Inaonekana Tume ya Uchaguzi kwa sababu wanazozifahamu wameamua kutoa tafsiri mpya kwa maana ya kampeni ya Uchaguzi. Ninavyoelewa mimi kufanya kampeni ni kujinadi kwa wapiga kura kwa nini...
Nimegundua kuwa humu kuna washabiki wengi sana wa siasa, wakereketwa nk.
Je wewe ni kati ya wapi hao? unaweza kujibu uongo au ukweli, japo ukeli hupendeza zaidi, au ukajipa jibu mwenyewe halafu...
Wakuu,
Jana tulikuwa na mchakato wa kura za maoni jimboni kwetu. Tulikuwa wagombea wawili katika chama chetu. Nimefanikiwa kushinda kura za maoni kwa kishindo na kumuangausha mpinzani wangu...
Hali imekuwa ngumu upande wa Mzee Makamba baada ya wananchi wa Bumbuli kumkataa mwanae Januari Makamba na kumuunga mkono mtu mwingine katika nafasi ya ubunge.
Mzee Makamba amepagawishwa na taarifa...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekwepa kumwekea pingamizi mgombea urais wa CCM, Jakaya Kikwete, kama kilivyoahidi na badala yake kimepeleka malalamiko kwa Msajili wa Vyama vya...
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Jakaya Kikwete ametoa mpya na kali ya mwaka baada ya kuahidi kutoa babaj 400 nchi nzima kusaidia akina mama wajawazito mara wanapapatwa na uchungu na kuhitaji...
Katika pitia pitia zangu katika blogu ya Issa Michuzi (MICHUZI) nimekutana na hii habari;
"HOJA BINAFSI KUHUSU MALALAMIKO YA KAMPENI ZA UCHAGUZI KWA GLOBU YA JAMII KUA GLOBU YA JAMII...
Naomba ndugu zangu mlio CCM mnipe good convincing arguments za kukipa Chama chenu kura yangu kwa miaka 5 ijayo....
Sitaki paragraph nyingi. Ningependa unandike kwa point. mfano:
1. Tumekamata...
Habarini bandugu, nilipenda kujua kitu kimoja, juzi siku ya jumapili nilikuwa maeneo ya mwananyamala kituoni nasubiri daladala kuelekea stesheni nikaona vijana wadogo wako kikundi kama 30 hivi...
Kama kweli Rais Kikwete amefanya mengi mazuri , hadi kupigiwa chapuo la kupewa tena uongozi wa juu wa Taifa hili, mi najiuliza gharama zote hizi wanazotumia za nini ?nayatizama mabango njiani hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.